Hakuna tatizo hapo kwani vijana siku hizi wameamua kuchakachua mimama sukari!!!
Tanzania inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno, tuwang'oe meno walaji ili wenye moyo wasijekata tamaa ya kuijenga!!!!
old story hii, tuletee mpya kama unazo
Wapime na ukimwi kwanza..
watoto wao watakuwa na nice lips!
shimo lishatanuka tayari hlo,acha kjana aonje leftovers!
Sharobaro anaona kapaaaaaaaaaata, anakula makapi tu ya TID, Kanumba, Mr.Blue, Jumbe.............
Kama kuoga ni usafi kwanini taulo linachafuka?
Mfupa uliomshinda fisi huo...kijana wa kimanyema pengine ana nguvu za kuuweza...
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Mkono wa mdada umekaa vibaya
dating bongo jamani? washatafunana hao toka day one. huyo almasi sijui anachukua mtumba huo very much used! tehe tehe.
hapendwi mtu ni pesa tu na ukifulia ndo bye bye.
So what? Unataka ku-date na yupi kati ya hao? Let them do whatever they want to do....
SIPENDI: "UDHAIFU wa Rais, UZEMBE wa Bunge, UPUUZI wa CCM"
jamani leave them alone!
Follow Us Here