Celebrities ForumMazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general) The right place for celebrity enthusiast!
Knowing how IKULU wanavyoiogopa Internet kama UKOMA i am 100% kuwa SALVA RWEYEMAMU hana mkono kwenye hili. I cant wait kuona watakavyoifunga hii face book page ya JK.
Kwani hata akija hapa JF mtamwandama jamani?Hongera kaka Kikwete...mbona kina Dr W Slaa,Kina Zito na wengi tuu wako hapa JF?one day they can be like kikwete presdaa je mtawasema pia kuwa wako kwa JF?hii ni blog la wasomi jamani na sasa ni sela za mitandao tuu..keep it up broda Kikwete tena weka na picha kibao za udogoni mkubwa..hata kama hi5 yumo bravo tuuu...
__________________
Mla halwa
The Following User Says Thank You to Magulumangu For This Useful Post:
- Vipi kuna sheria imevunjwa hapo? Wewe kesho ukiwa rais vipi nitavunja sheria nikisema tulikua wote zamani JF? Great Thinker vipi unasumbuliwa na mambo madogo kwani Rais ni nani mkuu si binadam tu hata wewe unaweza kuwa, au Bwa! ha! ha! ha! tuliza kitenesi mkuu1

Respect.
FMEs!
sio kila swali ni ugomvi...
maswali mengine ni kutafuta
infos ambazo can be helpfull
in some bussiness.
sio kila swali ni ugomvi...
maswali mengine ni kutafuta
infos ambazo can be helpfull
in some bussiness.
- Now you are talking, business, lakini ungenitafuta nje ya hapa maana hayo ya biashara ni ya binafsi, au? ya ugomvi ni yako mimi simo umeuliza swali nimekupa jibu!
- Samahani kwa kukukwaza!
FMEs!
The Following User Says Thank You to Field Marshall ES For This Useful Post:
It is not him who manages the page. I bet it is some mkereketwa or an Ikulu personel. It will be a joke if he logs in and updates his status.
there is absolutely NOTHING WRONG with that, there is no restriction of presidents into facebook, that's his personal life he choses to interact what is your problem? let him be !
real minds discuss facts, small minds discusses people!!
Kwani hata akija hapa JF mtamwandama jamani?Hongera kaka Kikwete...mbona kina Dr W Slaa,Kina Zito na wengi tuu wako hapa JF?one day they can be like kikwete presdaa je mtawasema pia kuwa wako kwa JF?hii ni blog la wasomi jamani na sasa ni sela za mitandao tuu..keep it up broda Kikwete tena weka na picha kibao za udogoni mkubwa..hata kama hi5 yumo bravo tuuu...
Na inawezekana ni mwanaJF tena wa kitambo.Labda ni Magulumangu? who knows?
__________________ Twenty Ten! Kijasiriamali zaidi! You are what you eat!
The Following User Says Thank You to Charity For This Useful Post:
Yeye ametengenezewa Fans Page. Lakini kuna viongozi wengine wa kisiasa wanaProfile kabisa na wanaandika kama Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, John Mnyika, Antoni Diallo nk
Inaelekea ana marafiki marais wengi tu kwa sababu ya uzoefu wake; na ndio maana na yeye alikuwa anautafuta!! FMES usikate tamaa age is just a number. KAZA BUTI!! After all unakwenda na wakati kwani upo mpaka kwenye face book!