| Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 (permalink) | |||
|
||||
|
Views: 1265
|
||||
| The Following User Says Thank You to Alnadaby For This Useful Post: | ||
LazyDog (20th November 2008) | ||
|
||||
|
Kwanza kitu cha msingi hapo mheshimiwa tafuta a global definition ya MAFANIKIO or SUCCESS.......lakini kwa taarifa yako kila mmoja hapa anaweza kuja na definition yake tofauti na mwingine. So muhimu, tukubaliane kwanza katika jamii, Mafanikio or success ni nini na je, ni wakati gani utasema mtu fulani kafanikiwa? je ni kwa kuwa na majumba, mihela, magari,mademu bomba, cheo kikubwa, mcha Mungu etc ......halafu endelea from there!
__________________
CHANGIA JF: MKONO MTUPU HAULAMBWI- SIKONGE |
|
|||
|
Mafanikio ya mtu ni pale anapofikia lengo lake,anapokipata alichokuwa akikitaka.Kama lengo lengo lake katika maisha ni kuwa fundi mchundo basi akifaulu hapo anakuwa amefanikiwa.
Unapoweka lengo la kuwa bilionea ukawa hivyo basi hapo utakuwa umefanikiwa.Simple au vipi?
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT. |
|
|||||||||||||||
Kwa kuwa lengo lake halikuwa kuja kuwa na fedha nyingi, lengo lake lilikuwa ni kupata PHD, na sasa ana PHD anaishi mlimani uni ana-pick-up 4WD iliyochoka na Ngome wawili wa maziwa, hapo utasemaje, kwa kuwa lengo lake lilikuwa ni kupata PDH na sasa anayo. WHAT'S SUCCESS FROM YA POINT OF VIEW....au ni success ya Jay-Z kwenye american gangsta. Twende kazi. MJ |
|||||||||||||||
| The Following 2 Users Say Thank You to Mambo Jambo For This Useful Post: | ||
Next Level (19th November 2008), WomenofSubstanc (19th November 2008) | ||
|
||||
|
That's ma views mkuu
__________________
CHANGIA JF: MKONO MTUPU HAULAMBWI- SIKONGE |
|
||||
|
Kumradhi wakuu,
Naomba hii topic niiepeleke katika jukwaa la wajasiliamali...!
__________________
Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako! ![]() Thank you for supporting JF! <-----(click if you wanna support us) Waliochangia 2009: (click to read) JINSI YA KUCHANGIA JF (click to read) ![]() ![]() |
| The Following User Says Thank You to Invisible For This Useful Post: | ||
LazyDog (20th November 2008) | ||
|
||||
|
Mimi nadhani kabla sijaandika sana jaribu kuitafakari signature yangu kisha nitarudi na maelezo kidogo tu yanayoendana na hiyo slogan chini.
__________________
Welcome to JF Phase II... ![]() Contact me: Mobile: +255713444649 Email: maxence@maxence.co.tz Web: www.maxence.co.tz |
|
|||
|
Kuweka malengo ya kupata ajira ya mshahara wa laki mbili,hayo hayakuwa malengo halisi bali simple wish.Lengo halisi ni kuwa na burning desire ili kupata mafanikioa in a life time si temporary wish kama hiyo ya mshahara. Hilo la Nyerere kuwa successiful man..mimi silitambui.Success inaanzia nyumbani kwenye level ya family.Cheki familia yake utajua naotaka kusema nini.Nyerere as a man was never successiful.Alitaka kujenga Taifa la kiujamaa...where is that?Kama Rais hakuwa successiful kabisa!Mimi nataka kujua kwa nini Professor Machunda hakujenga hata kibanda...cha maana huko Ukerewe lakini mtu kama Mwita Gachuma ni tajiri mkubwa.Education ya Machunda ilikuwa na maana gani?
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT. |
|
|||
|
Nimeiona hiyo slogan mkuu.Sasa nasubiri mchango wako.Na wewe ni risk taker au..?
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT. |
|
||||
|
Mkuu mimi naamini hivyo tu na daima nasimama katika slogan hiyo.
Sina ufanisi mkubwa katika maisha, lakini kuna mambo naweza eleza ama tunaweza kushirikishana. Sipendi kuandika mengi sana kwa mkupuo lakini ningependa twende kwa njia ya mjadala. Nianze kwa kusema kuwa ufanisi wowote unatokana na dhamira. Watu wengi wana dhamira lakini dhamira zao si thabiti. Wakidhamiria jambo basi katikati wanaingiza mambo. Ukichanganya mambo mawili wakati mmoja haijalishi wewe ni Genius kiasi gani bado utaharibu sehemu moja tena uombee sehemu hiyo isiwe ile ambayo ndiyo ingekuinua. Ni ukweli mwingine usiopingika kuwa dhamira yoyote inahitaji kujitoa. Hapo ndipo inaposimama slogan yangu. Maisha bila kuchukua risk hayafai hata kuishi! Ni kweli; ukiwa na elimu nzuri basi maisha ya kati unaweza kuyaishi. Yani yale maisha ya kupata walau milioni mbili (pesa ya kitanzania) kwa mwezi na kuwa na uhakika wa watoto kula na kusoma shule za kawaida (bila ufisadi) na kijigari chako cha kutokea utakuwa nayo. Wasomi wengi hawako tayari ku-risk, na walio-risk! Huwa sijui sababu nyuma ya hili lakini ukweli ni kwamba wengi wao wanaridhika na hali walizofikia na labda wanaogopa sana kuchafua CV zao. Ni wachache wenye kuthubutu! Hawa ni wazuri kwa maneno na wanaweza hata kuwa daraja la wale wenye uwezo wa kuthubutu kufanikiwa. Hawa huweza hata kuwapa mbinu za biashara wale wenye kuthubutu na kujikuta wanabakia na nafasi ya 'Consultants' (washauri?). Wale wenye elimu za kati huwa wanajaribu kila jambo. Lile ambalo wanaona linawezekana hulipangia mikakati ya namna ya kulifanikisha na endapo wanadhamiria kabisa kufanikisha basi hufanikisha. Nifupishe kwa sasa, niache nafasi ya wengine au hata mwanzisha mada kuongea ili twende sawa. Kama ni vitabu vya kusoma juu ya haya naweza kuwaletea lakini kwanza mada ikolee...
__________________
Welcome to JF Phase II... ![]() Contact me: Mobile: +255713444649 Email: maxence@maxence.co.tz Web: www.maxence.co.tz |
| The Following 4 Users Say Thank You to Maxence Melo For This Useful Post: | ||
Alnadaby (19th November 2008), Mambo Jambo (20th November 2008), WomenofSubstanc (19th November 2008), Yo Yo (19th November 2008) | ||
![]() |
| Bookmarks |
| Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) | |
| Thread Tools | |
| Display Modes | Rate This Thread |
|
|
Similar Threads
|
||||
| Thread | Thread Starter | Forum | Replies | Last Post |
| BoT Scandal: Tulikotoka, Tulipo, Tunakoelekea | Maxence Melo | Jukwaa la Siasa | 3062 | 17th May 2009 11:13 AM |
| Nchi imeuzwa | Mtanzania | Jukwaa la Siasa | 83 | 9th September 2008 04:22 PM |
| Your opinion please! | Bubu Ataka Kusema | Habari/Hoja mchanganyiko | 4 | 11th June 2008 01:29 PM |
| Je,hatujengi Ukabila Kwa Kila Mtu Kwenda Kulongea Kwao? | Pezzonovante | Jukwaa la Siasa | 5 | 27th May 2008 07:58 PM |
| Ripoti ya Richmond Bungeni | John Mnyika | Jamii Intelligence | 309 | 19th March 2008 08:00 PM |
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!