 |
 |

20th November 2008, 09:31 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Thu Apr 2008
Posts: 1,229
Rep Power: 2023
Thanks: 6,824
Thanked 557 Times in 379 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
Wananchi waliosikiliza hii habari watakuwa wameumizwa sana. Katika sehemu ya taarifa hii, alionekana pia huyo mzungu (Tim Clarke) akiongea. Kumuona huyo mzungu katikati yao ilinimaliza nguvu kabisa.
.
__________________
Watu wanaanza kutambua polepole kuwa CCM ni kapu ambalo limefumka kwenye makalio yake --- Jasusi
|

21st November 2008, 01:25 AM
|
 |
Member
|
|
Join Date: Wed Feb 2007
Posts: 15
Rep Power: 0
Thanks: 106
Thanked 7 Times in 4 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
"Tanzania is a predominantly rural country that is experiencing rapid urban growth. There is a high instance of poverty, and Tanzania is consistently ranked by the annual UN Human Development Index as one of the 20 least-developed countries in the world in terms of the citizens’ quality of life. With UN estimates of up to 89 percent of the population living on less than $2 per day, it is not surprising that poor housing conditions are prevalent in both the rural and urban areas of Tanzania..............."
source: Tanzania -- Habitat for Humanity Int'l
|

21st November 2008, 12:36 PM
|
|
Senior Member
|
|
Join Date: Fri Aug 2007
Posts: 63
Rep Power: 22
Thanks: 13
Thanked 29 Times in 17 Posts
|
|
Re: Yeah! Tanzanians are getting richer!!
Quote:
Originally Posted by Bubu Ataka Kusema
Tanzanian families getting richer, report says
DASSU STEPHEN
Daily News; Wednesday,November 19, 2008 @21:15
Income poverty at the household level has significantly decreased among Tanzanians over the past six years, Deputy Minister for Finance and Economic Affairs Jeremiah Sumari has said. Sumari quoted recent studies in Dar es Salaam yesterday indicating a significant segment of the local population who could not afford basic needs had gone down to 33.2 per cent - from 35.7 per cent between 2001 and 2007.
The deputy minister was speaking during an official opening of a three-day consultative meeting on a National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP) and Public Expenditure Review (PER). Mr Sumari also said the studies had also shown that food availability was also rising: some 19 out of 100 people in 2007 were able to cater for their food needs as compared to 16 out of 100 people in 2001.
Local experts also say the Gross Domestic Product (GDP) in the country is reported to have increased from 6.7 to 7.1 per cent within the same period of time. The other sectors which have in recent past witnessed a significant improvement included education, health, tourism, infrastructure and communication, said Mr Sumari.
He reiterated that the government through the 2025 development vision will continue to improve living standards among its people in all aspects of life. Speaking in the same occasion, a representative of development partners, Ambassador Tim Clarke, stressed a need for people's participation and good governance as a requisite in fighting poverty among the grassroots. “It very important to make effective and efficient use of public resources….. Dialogue that includes all key stakeholders is also very important in promoting people’s development and public ownership,” he noted.
|
No they are not, selective reading and quoting from the report. In fact the absolute number of poor people increased by 1.3 million between 2000/01 and 2007 thanks in part to an uncontrolled population increase.
|

21st November 2008, 12:42 PM
|
|
Senior Member
|
|
Join Date: Fri Aug 2007
Posts: 63
Rep Power: 22
Thanks: 13
Thanked 29 Times in 17 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
From most of the posts above there appears to be an inherent need for a lesson on understanding national accounts data. GDP calculations only tell you the market value of final goods and services produced in an economy in a given period of time. From this figure alone, there isn't much one can deduce about the finer meaningful points regarding the aspect of life, income generation, productivity, factor markets, etc to name but a few.
|

21st November 2008, 01:13 PM
|
|
Member
|
|
Join Date: Sun Feb 2008
Posts: 23
Rep Power: 0
Thanks: 1
Thanked 7 Times in 4 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
Jamani tuko kwenye "Information Age" tusichemshane kwa data za 2003 na kutoka kwa taasisi zisizo na "Authority".
Utafiti rahisi kwenye wikipedia utakupa data za IMF na World Bank za 2007
Siitetei Tanzania, bali tufanye mjadala wenye mtazamo sahihi.
|

5th December 2008, 01:51 PM
|
|
Junior Member
|
|
Join Date: Tue Dec 2008
Posts: 1
Rep Power: 0
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
Ni kweli kwamba gdp sio nzuri katika kusema ni nchi ipi tajiri au masikini mfano equatorial guinea wanairank ya pili duniani kwa utajiri zaidi ya usa ambapo si kweli;lakini watanzania tuna mengi tunayodaiwa kwa habari ya uchumi:kwani maisha ya mtu wa kijijini na mtu wa dar nitofauti kubwa sana je unajua kuwa kuna watu wanalala chumba kimoja na mifugo,wanashinda kwa mlo mmoja kwa siku:
|

5th December 2008, 03:10 PM
|
|
Member
|
|
Join Date: Sun Mar 2008
Posts: 47
Rep Power: 0
Thanks: 0
Thanked 20 Times in 14 Posts
|
|
Re: TANZANIA: HIVI tunajua hili?
[quote=Mtarajiwa;307490]GDP kisiwe kipimo pekee cha kusema nchi gani ni tajiri zaidi duniani na nchi gani ni masikini wa kutupa.
Watu wa development studies wana kitu wanaita INDICATORS OF DEVELOPMENT,ambayo ina vitu vingi ma hiyo GDP ikiwa ni kasehemu tu ambavyo kwa pamoja ndivyo vinapima uwezo wa kimaendeleo wa nchi tofauti.
Kuna vitu kama huduma za kijamii kwa mfano shule,hospitali,zahanati,maji safi na salama,kuna walimu wangapi katika nchi,uwiano wa madaktari na wagonjwa,vitanda hospitalini nk
Kuna vitu kama miundombinu,barabara,reli,,anga,simu,mzunguko wa pesa,upatikanaji wa ajira,nk nk
Mambo yako mengi.Kwahiyo unaposema GDP pekee ndiyo kipimo cha maendeleo,si kweli.Inabidi uziangalie hizo indicators zote halafu ndiyo utupangie list ya matajiri na masikini.
Halafu hiyo GDP yenyewe inatafutwaje?iko even?Nchi kama Luxembourg ina watu wasiozidi 500,000(laki tano),hiyo population ni kama mara sita ndiyo ifikie population ya watu wa jiji la Dar Es Salaam kwa mfano.Sawasawa na Rwanda na Burundi ambazo nazo zina idadi ndogo ya watu.
Manake kanchi kenye watu wadogo kama Luxembourg,ni sawa na mkoa fulani wa Tanzania au mji fulani wa Marekani au nchi nyingine kubwa.ukikafanyia hiyo GDP ni sawa labda kwa mfano ufanye GDP kwa sehemu nyingine kwa uwiano huohuo.Kwamfano ukifanya GDP ya mkoa wa Dar Es Salaam,utapata nzuri sana zaidi ya hiyo 600.
Kwahiyo point hapa ni hiyo uneven distribution of incomes in different parts of different populations in a big country like Tanzania.
Ndiyo utaona bajeti ya ulinzi ya Marekani ni zaidi ya bajeti ya nchi tano za ulaya lakini kwenye GDP inashika nafasi ya 2/3/5
Kwahiyo usidanganyike na hizo figure mkuu[/QUOTE
NAKUUNGA MKONO MZEE
Mimi pia sikubaliani na matumizi ya GDP kama kipimo pekee cha umaskini/utajiri. Utafanya kazi kubwa sana kunishawishi kuwa hicho ni kipimo sahihi cha hali nzuri ya maisha. Ethiopia ni nchi iliyochoka sana ukiangalia hali ya maisha kwa sababu taarifa za watu kufa yaani kudead kwa njaa ni ya kawaida sana. Huku mashuleni tunasoma nao na wanaonekana na hali mbaya sana na wanasema wazi jinsi ambavyo hali kimaisha nchini kwao ni duni. Mshahara wa university graduates kwenye public sector mshahara wao ni dola 250 kwa mwezi, hela ambayo si kwamba itanunua vitu vingi kuliko vile amabavyo inenunua Tanzania. Kimsingi tusidumazwe akili na kujiona hatuwezi kabisa eti kwa sababu ya GDP. Hizo ni hadithi za mila za kishenzi tulizoletewa na wakoloni.
|

5th December 2008, 03:28 PM
|
 |
JF Senior Expert Member
|
|
Join Date: Mon Oct 2006
Location: Cyber Village
Posts: 684
Rep Power: 24
Thanks: 1,052
Thanked 305 Times in 200 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
Quote:
Originally Posted by Iga
Hivi leo duniani kuna takriban nchi 231 duniani. Kiuchumi, Tanzania, Malawi, Gaza Strip, Sierra Leone, Somalia na East Timor ndio nchi sita hoibintaaban za mwisho ulimwenguni.
Hadi kufikia sasa katika nchi yetu ilipofikia ni sawa Gaza Strip ya Wapalestina ilipo? Sisi , Gaza na Malawi wote tuna GDP per capita ya dola 600 za Kimarekani. Waliopo chini yetu ni nchi zilizoathirika sana na vita na misukosuko ya kijamii nazo ni Somalia, Sierra Leone na East Timor. Sierra Leone na East Timor baada ya mwaka huu, hata hivyo, lazima ziwe juu yetu kwa hiyo nchi itakayokuwa ya mwisho kabisa itakuwa ni Somalia ikifuatiwa na Tanzania. Tujiulize ni wapi tulipokosea, tunapokosea na tutakapoendelea kukosea? Ya kwamba pamoja na kugundulika utajiri mkubwa wa dhahabu na madini mengine hali ya Watanzania ndio imezidi kuwa mbaya kuliko ya watu wote duniani isipokuwa Somalia.
Unataka ushahidi nenda hapa:
World Facts and Figures - GDP per capita by country
|
Mkuu Iga, ahsante saana kwa taarifa yako hii.
Lakini inaonekana ni taarifa iliotolewa tarehe 11 May 2004.
Pia kwa mpangilio huo inaonekana kwamba hii ilikuwa "estimate" kwa mwaka 2003, yaani hizo dollar 600.
Sasa kwa kuwa tupo kwenye "current economic situation" ambayo inaandamwa na matatizo ya "credit crunch" na mifumuko ya bei duniani, inabidi tujadili ni vipi Tanzania inaathirika au itaathirika kama sio kuadhirika kiuchumi.
Tunahitaji "reversed decisions" ambazo zitafanya tuanze kujitegemea na kuinuka kiuchumi kwa kuzingatia kuwa kila rasilimali tunayo.
Sasa kwa mujibu wa wikipedia.org, kwa estimate ya 2008 ambayo ni latest na imerekebishwa,Tanzania ina GDP ya $37,031 na inashika nafasi ya 16 miongoni mwa nchi za Afrika.
Hii ni kwa kiasi gani kila mtu anatumia kufanya matumizi kwa mwaka au PPP.
Kwa GDP ya kila mtu (hii inahusu kipato) Tanzania inasimama namba 48 miongoni mwa nchi za Afrika na ni $982 na hii pia ni estimate ya 2008.
Enenda link hii hapa na upate the "general context".
http://en.wikipedia.org/wiki/List_of...untries_by_GDP
Tuache ku-"meddle" hizi "figures" ambazo haziteli afya.
__________________
"Nothing in all the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidity"- Martin Luther King Jr
|

5th December 2008, 05:25 PM
|
 |
Member
|
|
Join Date: Wed Aug 2008
Posts: 38
Rep Power: 0
Thanks: 4
Thanked 6 Times in 5 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
Quote:
Originally Posted by Iga
Hivi leo duniani kuna takriban nchi 231 duniani. Kiuchumi, Tanzania, Malawi, Gaza Strip, Sierra Leone, Somalia na East Timor ndio nchi sita hoibintaaban za mwisho ulimwenguni.
Hadi kufikia sasa katika nchi yetu ilipofikia ni sawa Gaza Strip ya Wapalestina ilipo? Sisi , Gaza na Malawi wote tuna GDP per capita ya dola 600 za Kimarekani. Waliopo chini yetu ni nchi zilizoathirika sana na vita na misukosuko ya kijamii nazo ni Somalia, Sierra Leone na East Timor. Sierra Leone na East Timor baada ya mwaka huu, hata hivyo, lazima ziwe juu yetu kwa hiyo nchi itakayokuwa ya mwisho kabisa itakuwa ni Somalia ikifuatiwa na Tanzania. Tujiulize ni wapi tulipokosea, tunapokosea na tutakapoendelea kukosea? Ya kwamba pamoja na kugundulika utajiri mkubwa wa dhahabu na madini mengine hali ya Watanzania ndio imezidi kuwa mbaya kuliko ya watu wote duniani isipokuwa Somalia.
Unataka ushahidi nenda hapa:
World Facts and Figures - GDP per capita by country
|
Mheshimiwa mbona hizo data za long time sana.
Latest CIA data iko hapa https://www.cia.gov/library/publicat...s/tz.html#Econ
GDP (2007 est) ni $51 billion.
Hata hao Kenya wanaopiga kelele wana $61 billion. Kagepu ka $10 billion tu, I don't think kama kanawarrant kelele zote hizo za kujitapa kama za bwana Gitui.
__________________
When did I realize I am God? While praying. I realized I was talking to myself.
|

8th December 2008, 01:27 PM
|
 |
Member
|
|
Join Date: Thu Aug 2008
Posts: 17
Rep Power: 0
Thanks: 21
Thanked 8 Times in 5 Posts
|
|
Re: GDP Yetu: Hivi tunajua hili?
Nakubaliana kabisa na wale wanaosema kwamba GDP haiwezi kutoa picha halisi ya utajiri au umaskini katika nchi, na hasa kama nchi ni Tanzania ambapo sehemu kubwa ya uchumi wetu haiwi haionekani katika takwimu kutokana na ukubwa wa sekta isiyo rasmi huku kwetu. Kwa mawazo yangu kipimo tulicho nacho hapa kinachoweza kukaribia hali halisi ni Household Budget Survey (2001/2 and 2007/8 version found at National Bureau of Statistics Tanzania Official Website) kwa sababu hapa tunapima consumption na siyo production kwa hiyo hata sekta isiyo rasmi inazingatiwa.
Kwa maoni yangu wakati mwingine umaskini wetu unatokana na maamuzi tunayo ruhusu yachukuliwe na viongozi wetu. Nimeambatanisha presentation inayoelezea uchambuzi wa bajeti uliyofanyika katika sekta ya maji hivi karibuni nikijaribu kuelezea point yangu. Tukiendelea kupanga bajeti kila mwaka bila kufuala muelekeo unaoeleweka sijui kama tutafika kweli. Maoni yanakaribishwa.
|
|
Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
|
|
|
| Thread Tools |
|
|
| Display Modes |
Linear Mode
|
Posting Rules
|
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts
HTML code is Off
|
|
|
All times are GMT +3. The time now is 06:18 PM.
|
 |