Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Gharama za kujenga nyumba Tanzania

    Report Post
    Page 4 of 27 FirstFirst ... 2345614 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 521
    1. #1
      Guantanamo Bay's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th February 2009
      Posts : 29
      Rep Power : 529
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default Gharama za kujenga nyumba Tanzania

      Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.

      Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?

      Naomba nielimishwe,

      Asanteni.

    2. RukaaJuu Final

    3. #61
      Amoeba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th August 2009
      Posts : 3,332
      Rep Power : 1177
      Likes Received
      435
      Likes Given
      725

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By Mbu
      ...khaaa! Amoeba kajumba kazuri sana haka. Mpaka ufikie kujenga kajumba haka lazima nawe EPA iwe imekukalia vizuri, Mfano; hizo location za Bathroom na gharama za plumbing (incl drainage & sewarage system) lazima kichwa kiingie akili.
      Safi sana.
      Hapo sijakusoma mkuu, au ni msemo mpya?
      If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,...
      if it doesn't.......hunt it down and
      kill it!

    4. #62
      Amoeba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th August 2009
      Posts : 3,332
      Rep Power : 1177
      Likes Received
      435
      Likes Given
      725

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By Lole Gwakisa
      Safi sana Mkuu, ningeomba unipatie anwani ya hawa Interior designers.
      Nakuangalizia personal contact zake ntaku-PM, jamaa anafanya kazi na kampuni moja ya SA, ni mzuri sana.
      If you love something, set it free; if it comes back.....its yours,...
      if it doesn't.......hunt it down and
      kill it!

    5. F2S
      #63
      F2S's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th February 2008
      Posts : 192
      Rep Power : 613
      Likes Received
      21
      Likes Given
      18

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By Gama
      Hii estimate ni sahihi??!. Stucture yangu ni 10x11=110sqm. X500,000=55000000. This isn't realistick in a tz context. Mimi nimejenga kwa 15mil tu. Kama hizo ndo estimate mnazofanya kwenye miradi ya serikali ndo maana hatuendelei.
      Tuko pamoja mkubwa ukipata muda na kusimamia mwenyewe au mtu unae muamini Vyumba vitatu vya kulala, sebule na other rooms ka za choo,bafu etc gharama yaweza kuwa ndogo around 20m unahamia kwako ndani ya miezi michache tu. Hao wa 100m, 200m and abovu ni wakinga na wachaga wanaokwepa ushuru kariakoo na mafisadi wa TZ sie watumishi wasafi wa Serikali na vimshahara mbuzi we have to use common sense.

    6. #64
      Madabwada's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th May 2009
      Posts : 492
      Rep Power : 1014
      Likes Received
      246
      Likes Given
      198

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By Roya Roy
      Dah mkuu umejenga hadi hatua gani??? Umefanya finishing zote???
      Finishings na fittings zinatofautisha sana gharama za ujenzi....nyumba mbili za aina moja na zikijengwa eneo moja zaweza kugharimu bei tofauti sana.......ila million 15 kwa mita za mraba 110 sio realistic kwa sasa....
      tuacheni kudanganyana hapa ... mfanyakazi gani wa kawaida (awe wa serikali au binafsi) mwenye uwezo wa kujenga nyumba ya mil 100+?? Labda ni makatibu wakuu na wakuregenzi tena kwa kupata mikopo ya riba nafuu benki!! vinginevyo ni wizi ndo utakufanya upate mil 100+ za kujengea nyumba! tunafurahisha baraza kwa kusema nyumba za m15+ sio realistic wakati wengi humu tumepanga kwenye nyumba za namna hiyo na wengine wazazi wetu walijenga nyumba za namna hiyo na tumekulia humo tukiwa angalau part ya middle-class families. No wonder nchi yetu inaibiwa sana kwa wanaojiita professionals ..... mfano mdogo ... barabara ya 1km inagharimu 2.5 bil - 10 bil?? nyumba ya gavana wa benki ... 1 bil?? Kwa kweli .... ni wizi tu!! Mungu atusamehe!!
      HAKUNA likes this.

    7. #65
      Mziba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th February 2010
      Posts : 228
      Rep Power : 517
      Likes Received
      34
      Likes Given
      73

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      I hope Guantanamo, you have gotten an answer and thank you for contributing such a open end question. I have learned a lot.
      Wakuu asanteni. nimenufaika na discussion yetu.

    8. Miaka 50

    9. SMU
      #66
      SMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th February 2008
      Location : Mavurunza
      Posts : 4,532
      Rep Power : 3811
      Likes Received
      1312
      Likes Given
      1916

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By Madabwada
      tuacheni kudanganyana hapa ... mfanyakazi gani wa kawaida (awe wa serikali au binafsi) mwenye uwezo wa kujenga nyumba ya mil 100+?? Labda ni makatibu wakuu na wakuregenzi tena kwa kupata mikopo ya riba nafuu benki!! vinginevyo ni wizi ndo utakufanya upate mil 100+ za kujengea nyumba! tunafurahisha baraza kwa kusema nyumba za m15+ sio realistic wakati wengi humu tumepanga kwenye nyumba za namna hiyo na wengine wazazi wetu walijenga nyumba za namna hiyo na tumekulia humo tukiwa angalau part ya middle-class families. No wonder nchi yetu inaibiwa sana kwa wanaojiita professionals ..... mfano mdogo ... barabara ya 1km inagharimu 2.5 bil - 10 bil?? nyumba ya gavana wa benki ... 1 bil?? Kwa kweli .... ni wizi tu!! Mungu atusamehe!!
      Hapa nadhani ishu kubwa ni aina na kiwango cha nyumba. Ni kweli unaweza kujenga nyumba kwa mil 15 au chini ya hapo lakini swali ni ya kiwango gani? Actually huko vijijini watu wanajenga 'nyumba' kwa hata laki moja tu (ya miti na udongo, juu nyasi, nk ambavyo almost vyote anavipata bure tu) anachohitaji ni nguvu zake mwenyewe au kwa kushirikiana na ndugu na jamaa (hiyo laki moja ni ya kunuua mabaki ya ya madebe kwa ajili ya milango na madirisha na pombe ya watu kunywa wakati wakifanya kazi!).
      "Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau

    10. Mbu
      #67
      Mbu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2007
      Location : Stagnant Springs
      Posts : 10,830
      Rep Power : 9992
      Likes Received
      4709
      Likes Given
      6218

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By Amoeba
      Hapo sijakusoma mkuu, au ni msemo mpya?
      ...aaahh, pole mkuu.
      Gharama kama za ujenzi mimi huziita 'akaunti za malipo yaliyo nje ya hesabu za kawaida (kila siku)'
      #Dunia ni yako :Chaguo ni lako.



    11. #68
      Anfaal's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2010
      Posts : 1,157
      Rep Power : 723
      Likes Received
      102
      Likes Given
      35

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By Madabwada
      tuacheni kudanganyana hapa ... mfanyakazi gani wa kawaida (awe wa serikali au binafsi) mwenye uwezo wa kujenga nyumba ya mil 100+?? Labda ni makatibu wakuu na wakuregenzi tena kwa kupata mikopo ya riba nafuu benki!! vinginevyo ni wizi ndo utakufanya upate mil 100+ za kujengea nyumba! tunafurahisha baraza kwa kusema nyumba za m15+ sio realistic wakati wengi humu tumepanga kwenye nyumba za namna hiyo na wengine wazazi wetu walijenga nyumba za namna hiyo na tumekulia humo tukiwa angalau part ya middle-class families. No wonder nchi yetu inaibiwa sana kwa wanaojiita professionals ..... mfano mdogo ... barabara ya 1km inagharimu 2.5 bil - 10 bil?? nyumba ya gavana wa benki ... 1 bil?? Kwa kweli .... ni wizi tu!! Mungu atusamehe!!
      Duh inategemeana na ufanyaji kazi wako mheshimiwa. Milioni 100 unapata kabisa kwenye mshahara + consultancy tena bila kuiba. Kwani hawapo watu wanaolipwa 3 mil na si wakurugenzi???

    12. #69
      Fundi Mchundo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2007
      Posts : 4,351
      Rep Power : 2678
      Likes Received
      194
      Likes Given
      136

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Hakuna mtu anayesema kuwa lazima ujenge nyumba ya milioni 100. Makosa ambayo wengi tunafanya ni kwanza kuchagua nyumba halafu kuulizia gharama za kuijenga! Ni kama vile mtu kuchagua suti ya Armani halafu kulalamika unapoambiwa ulipe maelfu ya dola. Kitu cha busara ni kuangalia kwanza uwezo wako, chagua mtaalamu kwa makini (yule ambaye unadhani atakuelewa na kujitahidi kutimiza mahitaji yako kwa uaminifu), kaa naye halafu muangalie kwa pamoja nini mnachoweza kupata kutokana na fedha ulizonazo. Ukweli ni kuwa kwa mfanyakazi wa kawaida hata nyumba ya milioni 10 inahitaji kujinyima sana. Lakini ukipata mchoraji creative, anaweza kukubunia kitu ndani ya bajeti hiyo ambacho utaridhika nacho. Kama uwezo wako ni sh. 100,000 kuna mafundi vyerehani kibao wanaoweza kukutengenezea suti isiyo na label ambayo unaweza kuolea bila matatizo. Kama uwezo ni 10000 basi itabidi ukaazime au ukabahatishe kwenye mitumba. Nyumba ni hivyo hivyo. Kama uwezo wako ni 10000 kwa mwezi itabidi ukubali kupanga au ujenge nyumba isiyo na msingi, kuta za nchi 4, bila siling, madirisha, milango na choo na bafu nje. Hauwezi kutaka nyumba yenye self container na jacuzzi, gereji ya magari mawili, maktaba, jiko la nguvu, chumba cha kuoshea nguo n.k. halafu ukagwaya unapoambiwa mamia ya mamilioni! Wengi wetu hatuko realistic yanapokuja maswala ya nyumba.

      Amandla......
      BabaDesi, Kiresua and Maundumula like this.
      Fundi Utumbo

    13. #70
      Mazingira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st May 2009
      Posts : 1,430
      Rep Power : 794
      Likes Received
      115
      Likes Given
      390

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba.

      Quote By manyusi
      Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need. Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost
      Hapo nina maana unatumia mkandarasi. visit our web;Juin Co. Ltd
      Manyusi kuna Archtecter mmoja aliwahi kuniletea proposal ya kujenga nyumba kapiga mahesabu kwa dola ambazo ni kama Tsh.520,000 kwa square meter na anasema hiyo ni gharama ya materials tu. Kumbe alitaka kuniibia eeeeh!
      Maundumula likes this.
      Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)

    14. #71
      manyusi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd March 2009
      Posts : 226
      Rep Power : 566
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba.

      Quote By Mazingira
      Manyusi kuna Archtecter mmoja aliwahi kuniletea proposal ya kujenga nyumba kapiga mahesabu kwa dola ambazo ni kama Tsh.520,000 kwa square meter na anasema hiyo ni gharama ya materials tu. Kumbe alitaka kuniibia eeeeh!
      Yes huyo huenda alitaka kupata faida kubwa zaidi hiyo 500,000 ni material and labor na kwa kuwatumia wataalamu wa ujenzi waliosajiliwa na bodi kabisa.Ila angalizo ukienda kwenye kampuni kubwa kama Holtan,Noremco utakuta the same sqm wanacharge 700,000 overhead cost zao ni kubwa na kampuni kama hizo hazichukui miradi chini ya 1bn

    15. #72
      Mazingira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st May 2009
      Posts : 1,430
      Rep Power : 794
      Likes Received
      115
      Likes Given
      390

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba.

      Quote By manyusi
      Yes huyo huenda alitaka kupata faida kubwa zaidi hiyo 500,000 ni material and labor na kwa kuwatumia wataalamu wa ujenzi waliosajiliwa na bodi kabisa.Ila angalizo ukienda kwenye kampuni kubwa kama Holtan,Noremco utakuta the same sqm wanacharge 700,000 overhead cost zao ni kubwa na kampuni kama hizo hazichukui miradi chini ya 1bn
      Nashukuru sana mkuu kwa ufafanunuzi, huyu jamaa naona alitaka kuniibia. Basi nami mambo yatapaokuwa yameninyookea nitafuata ushauri wako wa kutafuta wataalamu ili niweze kupata kitu chenye ubora.
      Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)

    16. #73
      kanyasu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 9th February 2009
      Posts : 235
      Rep Power : 0
      Likes Received
      12
      Likes Given
      1

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Nyumba ya kawaidda ya vyumba 5,jiko,dinning na sitting ambayo haina tiles,haina ceiling board na ina madirisha ya nondo na mbao tu inagharimu 20,000,000/=milion. hapa kiwanja unacho na maji yapo kalibu.sema tena kamanda!

    17. #74
      bwegebwege's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th July 2010
      Location : Kwetu
      Posts : 702
      Rep Power : 595
      Likes Received
      69
      Likes Given
      20

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Kwa kukupa picha kidogo:
      Mimi nina ongoing project, imefika kwenye linter, (Nyumba ya kawaida): 1 Masterbedroom moja, 1 Guest Room with attached toilet, 2 other Bedrooms, Study room 1, Laundry, Kitchen, Public Toilet & Bath, Dinning Room na Sitting Room...hadi sasa tayari $65,000 zimekatika! I just received estimates ya kupauwa (Kwa bati pana) ni kama $18,000..hapo ni mbao, mabati na ufundi etc. Sasa nikianza kufikiria finishing nahaisi nitapaswa kuwa na kama $30,000 nyingine (total kuanzia kuezeka)! Hapo sijaweka hesabu ya fence.....
      Kwa mantiki hiyo bosi waliosema uwe na kama 100,000,000/= kwa uchache hawajakosea (ingawa mimi nashauri uwe na kama 160,000,000/=
      Richard and Maundumula like this.

    18. #75
      Mazingira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st May 2009
      Posts : 1,430
      Rep Power : 794
      Likes Received
      115
      Likes Given
      390

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Quote By manyusi
      Kaka Guantanamo kwa pesa hiyo unaweza kujenga hiyo nyumba garama ya nyumba ni finishing material na roofing material,ukiezeka na DECRA tiles garama ni tofati na ukiezeka na Industrial Trough(IT) au Corrugated Aluminium sheets,pia tiles za spain au italy zinatofautiana sana bei na za china nitakupa mfano tiles ya spain 1sqm ni 35,000-42,000 na tiles ya china 1sqm ni 9,000-25,000 unaweza ukaona tofauti ilivyo kubwa hilo ndilo has linachangia kukuza bei ya nyumba na muonekano wake ni tofauti pia nikipata namna nitaweka hapa moja ya finishing tunazofanya ili uone utofauti na nyumba za watanzania wengi,waatanzania wanapenda vitu vizuri ila wengi hawajui namna ya kuvipata na utakuta wanatumia hela nyingi halafu hawapati quality wanayotaka.Tumia wataalamu wakupe thamani ya pesa yako.Mkuu hiyo nyumba unaweza nunua ni bei nafuu na ukinunua unaweza ibadilisha taratibu to your stardards kama kuweka tiles na vitu vingine ila jiridhishe kwanza na ubora wa nyumba hiyo unaweza tafuta fundi hapo tanga akakupa ushauri baada ya kuiona hiyo nyumba.
      Mkuu Manyusi hebu tuwekee hii sample ya finishing zenu tuone zinavyopendeza
      Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)

    19. #76
      Joel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st September 2007
      Location : Dar es salaam
      Posts : 300
      Rep Power : 659
      Likes Received
      33
      Likes Given
      26

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      jamani hapa mmenigusa sana kuna nyumba inauzwa ipo kimara mwisho ghorofani - njia ya kwenda bonyokwa mill 25 tu.kama kuna mhitaji jamani tuwasiliane
      Humble One

    20. #77
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,989
      Rep Power : 24152
      Likes Received
      4704
      Likes Given
      2647

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Mimi nahitaji ya chini tu:

      1. 4 bedrooms (2 of which en-suite,one of which is adjacent to two ordinary one and the other as a guest room far from the three),plus a largely ventilated kitchen with store-cum-laundry room,Living room,dinning room,study
      2. Plot iko Mivumoni ya size 35mX55m slanting westwards (mteremko kimagharibi),main road towards south


      Wenye design ideas please

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    21. #78
      AK-47's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2009
      Location : Abbottabad
      Posts : 1,364
      Rep Power : 757
      Likes Received
      149
      Likes Given
      80

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Take it from me with not more than 50,000,000/= unajenga nyumba hiyo pamoja na uzio usiogopeshwe na watu. Mie nina nyumba ya vyumba vitatu, Master, choo na bafu la public ipo Makongo Juu DSM bado sijamalizia finishingi kama tiles na kuweka madirisha ya aluminium ila ina magrill na ni ya bati la kawaida ina upana na urefu ni almost futi 40 hadi sasa imekula kama 20 hivi.
      MANAKE MKARI likes this.
      An Eye for an Eye Makes the whole World Blind

    22. #79
      TUKUTUKU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2010
      Location : KIPALAPALA TU
      Posts : 8,370
      Rep Power : 2115
      Likes Received
      1731
      Likes Given
      676

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      Inategemea ni nyumba ya aina gani!kwa mfano unaweza kujenga nyumba ukapaua kwa kutumia bati za kawaida, na mwingine akatumia vigae. in this case,it is defenitely cost shall deffer,the former will pay less and the later will pay more!

    23. Aza
      #80
      Aza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2010
      Location : popote
      Posts : 1,418
      Rep Power : 717
      Likes Received
      119
      Likes Given
      263

      Default Re: Gharama za Kujenga Nyumba Tanzania

      kweli kutumia wataalam ni kitu mhimu sana,awa mafundi uswazi ni headache na utalizwa!
      A 'parliament' is not only made up of our dear politicians,but is also a group of owls.
      The greedy people are the victims to the evil people.

    Page 4 of 27 FirstFirst ... 2345614 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Usiogope kujenga nyumba Tanzania kwa kuogopa gharama
      By janejean in forum Matangazo madogo
      Replies: 84
      Last Post: 7th November 2012, 16:37
    2. Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20...?
      By Jestina in forum Business & Economic Forum
      Replies: 156
      Last Post: 2nd November 2012, 13:28
    3. Kwanini Wakerewe wengi hawapendi kujenga nyumba Ukerewe?
      By patience96 in forum JF Chit-Chat
      Replies: 43
      Last Post: 26th October 2012, 19:06
    4. Kwa Wanaume tu: Tunapoamua Kujenga Nyumba Ndogo
      By Kaizer in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 327
      Last Post: 2nd September 2012, 14:47
    5. Replies: 23
      Last Post: 28th July 2009, 16:55

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...