tulisikia kuwa wahanga wa Deci wangelipwa, hivi malipo yao yatatoka lini?
tulisikia kuwa wahanga wa Deci wangelipwa, hivi malipo yao yatatoka lini?
Kwani ukipanda mvua isipokunya utavuna? Ni bahati mbaya mvua haikunyesha labda msimu mwingine
...In Your Dreamz!![]()
Majonzi tele moyoni
mvua haijanyesha, kulikuwa na ukame, so hawatavuna.
Vita na chuki za kidini, hazinaga mshindi, washindwa huwa pande zote mbili! na viongozi wa chuki hizo huwa hawaishi sana, Mungu anawalaani mapemaaaa!
Kweli ishu ya deci ni futuhi
Bado kuna watu wanamatumaini na deci mpaka leo hii? Mlizwe mara ngapi na kwa namna gani ndio mjue kuwa cheap is xpensive?
Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.
aisee nilishaisahau deci-niliponea chupuchupu
jamaa zangu kibao walikuwa wanashinda Mabibo.
Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.
Follow Us Here