Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kwa mtaji huu mradi wa Mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini ni hadithi!

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      Tusker Bariiiidi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2007
      Location : Sinza Dar es Salaam.
      Posts : 3,226
      Rep Power : 1252
      Likes Received
      373
      Likes Given
      51

      Thumbs down Kwa mtaji huu mradi wa Mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini ni hadithi!

      Nimeshangazwa sana na picha iliyopo katika gazeti la Mwananchi la ukurasa wa mbele yenye caption ifuatayo nanukuu "Mfanyakazi wa Ubungo Bonica (Botanical) Garden akiondoa Maji katika shimo la kupanda mti kwenye barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam,ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wa kiuchumi wa Dunia kuhusu Bara la Afrika (World Economic Forum on Afica-WEF) unaoanza keshokutwa". Picha na Salhim Shao.
      Picha hiyo inaonyesha ile sehemu iliyotengwa kwa ajili ya ule mradi maarufu kama wa magari yaendao kasi ikipandwa miti tena ya gharama maarufu kama Royal Palm ambayo gharama ya mti huo kutokana na ukubwa wake inaweza kuwa Laki 9 mpaka Millioni 1 kwa mti na jinsi ilivyo karibu karibu itakuwa imegharimu mamilioni ya pesa za mlipa kodi,sasa pamoja na gharama za kuipanda na kuitunza mpaka ikubali ni dhahiri siyo ya kukatwa leo wala kesho,sasa je ule mpango wa DART (Dare es Salaam Rapid Transport) unakuwa ndio hadithi wadau mwalionaje?

    2. Miaka 50

    3. #2
      MduduWashawasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2008
      Location : Dar es salaam
      Posts : 461
      Rep Power : 664
      Likes Received
      49
      Likes Given
      6

      Default Re: Kwa mtaji huu mradi wa Mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini ni hadithi!

      watu washatengeneza ulaji

    4. FemaTV & Radio

    Similar Topics

    1. Replies: 217
      Last Post: 11th May 2013, 08:38
    2. Replies: 70
      Last Post: 12th May 2011, 11:47
    3. Mabasi yaendayo kasi....!
      By jcb in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 7
      Last Post: 2nd March 2011, 12:15
    4. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Dar
      By Mgumu in forum Business & Economic Forum
      Replies: 88
      Last Post: 26th February 2011, 15:24
    5. Petition Ya Kupinga Mradi Wa Ukaguzi Wa Magari Yaendayo Tanzania Toka Uingereza
      By Game Theory in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 12
      Last Post: 11th July 2009, 14:13

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...