Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Project funding sources

    Report Post
    Page 2 of 14 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 264
    1. #1
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Project funding sources

      Heshima mbele wana JF,

      Nimekuwa nahangaikia kupata habari au msaada wa mawazo kutoka sehemu mbalimbali nafikiri na hapa jamvini lazima kuna msaada mkubwa wa mchango naweza kupata kwani naamini hapa ni kitovu cha taaluma na ujuzi wa mambo.

      Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifikiria na kutafuta njia mablimbali za kuweza kufanya sisi kama vijana wa kitanzania katika mambo ya kiuchumi (nikimaanisha kuwa na biashara kubwa) tunazoweza kuanzisha vijana na kutufanya kuondokana na mawazo ya kuajiriwa hasa kwa vijana wenye elimu ya chuo kikuu. Lakini ninasikitika sana kuona watanzania wengi tunagombea nafasi za kuajiriwa tu na serikali yetu haina msaada wowote wa kuwezesha kuleta mafanikio. Serikali yetu inatafafsiri ujasiriamali ni kumwezesha mtu kupata rizki, mi naamini bila viwanda vidogo vya kati huo ujasiriamali hautakuwa na manufaa yoyote, wazalishaji wanatakiwa wajue soko na processing ikifanyika thamani ya mazao yao inaongezeka kwenye masoko ya kimataifa.

      Kwa mtazamo wangu nimekuwa nikiamini watu wenye elimu ya chuo kikuu wanatakiwa kuwa na mtazamo wa kuanzisha ajira kwani wao wamepevuka upeo tofauti na waliokosa elimu hiyo.

      Kwa wanaJF wanaojua jinsi ya kupata resources jamani ninaomba msaada wa mawazo.

      Nimefanya feasibility study kwa miaka kadhaa sasa na hatimaye nimeaandaa business plan ya kufanya processing ya cassava (mihogo) kutengeneza starch. Mali ghafi hakuna asiyejua inapatikana nchi kwetu popote pale unahitaji kuwahakikishia wakulima soko tu na watakufanyia mambo ya kutosha. Hii itainua uchumi wa wakulima wadogo sana na hasa kwenye maeneo ambayo kilimo cha pamba kimeanguka na mikoa kame kama ya kati isiyo na zao la biashara kwani popote inastawi

      Soko lipo juu sana na lengo ku export tayari kuna watu wanahitaji sana kuimport kutoka Tanzania nimejaribu kutangaza na kupata response nzuri sana. Kuna soko kubwa sana nchini (yote inaagizwa toka nje esp SA) kuna soko kubwa sana pale TBL na viwanda vingine vinavyotengeneza madawa, nguo, bia, tambi, biscuits, noodles, almost viwanda vyote vinavyotengeneza vyakula (canned na bottled) vinahitaji starch.

      Tatizo kubwa nililonalo ni kwamba natafuta source ya funds kuanzisha kamradi haka ambacho profit margin yake ipo juu sana. Nipo tayari kwa mazungumzo specific ya jinsi ya kufanya ili mradi niweze kutimiza hii ndoto. Mradi huu unaweza kuwa expanded katika muda wa miaka 2 au 3 ukawa na plant nyingine ya kuzalisha ethanol kwa kutumia waste materials baada ya kuprocess cassava na tayari nimeanza kudraft plan yake. Nimejaribu kupita Tanzania investment bank na kuongea nao wakawa na interest ya kusaidia ila nikawa sina colateral wala mdhamini mwenye assets nzuri (mimi mtoto wa mkulima tu hata elimu yangu ni ya kuungaunga tu) ninaweza kuraise kidogo tu. Nimepita na NBC ikawa vilevile tu na mradi unakubalika na tatizo siaminiki tu kwa vile sina historia ya kushika pesa kubwa.

      Ninaweza kusimamia hii kazi na ikawa juu kiasi cha kuridhisha na kushindana na biashara kubwa tu hata kuanzisha zingine safi zaidi.

      Haya wadau naomba reference kwenye source au tujiunege na kuona nini cha kufanya. Nipo kwa wazi nasikiliza mawazo yenu na ushauri! unaweza kuchangia au kuniPM vyovyote utakavyoona

      Ahsanteni sana

    2. Miaka 50

    3. Edo
      #21
      Edo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th June 2008
      Location : Dar es salaam, Tanzania
      Posts : 720
      Rep Power : 703
      Likes Received
      71
      Likes Given
      158

      Default Re: Project funding sources

      Mzuzu na S.Wafungo mnaendeleaje na mradi wa mihogo?

    4. #22
      Kabengwe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th October 2009
      Location : Kusadikika
      Posts : 221
      Rep Power : 532
      Likes Received
      11
      Likes Given
      12

      Default Re: Project funding sources

      It's good to hear kilaa mtu anayo project ya kufanya ila securities/collaterals ndo tatizo kwenye kupata mkopo. Nilipata fununu kipindi flani(this year) kwamba world vision wanatoa mikopo kwa watu wenye business plans ambazo ni nzuri/feasible.
      Sikufanyia kazi hiyo info, ila mtu aliyenipa hzo habari ni wakuaminika.
      Kwahyo nawashauri mfike ofisi za World Vision na Business plans zenu kuangalia uwezekano wa kupata mkopo bila dhamana.
      Nafurahi sana kusikia gratuates wanakuwa na mawazo ya kibishiara.
      Keep it up guys!

    5. #23
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By Edo
      Mzuzu na S.Wafungo mnaendeleaje na mradi wa mihogo?
      Vizuri mkuu, tumeplan kukutana na kubadilishana mawazo na uzoefu muda si mrefu. Nashukuru sana mkuu

    6. #24
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By Mkandara
      Mzuzu,
      Mkuu wangu nashukuru sana kwa jitihada zako ambazo sii rahisi kuzipata toka kwa vijana wetu wa Kitanzania. Hakika soko la mhogo lipo ila kuweza kupata mashirika ambayo yapo tayari kumwaga mtaji inakuwa kazi ngumu kidogo isipokuwa mimi nafahamu Foundation moja ambayo hujishughulisha zaidi ya kilimo hasa nchi maskini...Ila wao wamejikita ktk kilimo cha Kahawa kwa sababu mwanzilishi wa foundation hii ana own mashirika makubwa ya kahawa ikiwa ni pamoja na shirika la uuzaji na migahawa lijulikanalo kwa jina la Tim Hotons.

      Jaribu kuwasiliana nao ila kama ingekuwa ni kahawa ningekwambia fanya kazi moja kubwa..kuwaunganisha wakulima wote wa Kahawa ktk eneno lako muunde chombo kimoja ambacho kitawakilisha mawazo ya wakulima wadogo wadogo halafu kwa kutumia jina la chombo hicho ndio wasiliana na viongozi wa Foundation hiyo..
      Hata hivyo, jaribu huwezi jua, pia inawweza kuwasaidia wanabodi wengine ambao watakuwa interested. Inaitwa Hanns R. Neumann Stiftung Foundation.

      Nashukuru sana mkuu, ntawafuatilia kuona nini wanaweza kushauri. Mkuu ninajaribu kama ntaweza kuonyesha njia kwamba hata sisi vijana tunaweza kufanya kitu kama tu tunaweza kukaa chini na kufanya project kwa kutumia elimu yetu hata kama ni ya kuunga unga bado unaweza kuorganize mawazo na kufikiria kuboresha mazingira yako ya umaskini yakawa source ya kipato.

      Tunaweza jamani sio tusubiri mawazo ya kutoka nje tu na sie tunabaki kulalamika tu uchumi wetu unamilikiwa nha wageni wakati hatujathubutu kufanya chochote cha kuonyesha uwezo wetu.

      Naomba tu members wenye habari zozote za kupata support kwa mashartiyoyote nitafika na kukaa na wahusika tuone tunweza kufanya nini.

      Nimefanya kazi na serikali na baadaye na NGO nikaona jinsi uwezo nilonao ninavyoutumia kidogo kwa kupatia mshahara sikujisikia kuwa satisfied with my performance japo walinilipa vizuri nikatumianafasi ya kuwa field kustudy na knowledge kidogo ya research plus project preparation nikafanya papera kadhaa ambazo zote zinalenga kusaidia wakulima wadogo kuprocess mazao yakapata soko na kuanza industrialization kidogokidogo. Hii nimeona ni ya kuanzia kwa vile ni ndogo na inwaza kuwa source ya kuanzisha kubwa zaidi

      Lengo langu nataka vijana tuondokane na mtazamo wa kutafuta maisha yetu na familia tu bali kufikiria zaidi kuendeleza nchi yetu jamani, tuache kufikirai ujenzi, gari, elimu ya watoto tu tuende mbali zaidi ya ujasiriamali wa serikali ya CCM yaani mitaji ya 100,000 hadi 5M bali tufikirie biashara kubwa na hasa za exports hii tukiweza hasa wenye elimu ya chuo kikuu nafikiri tutafika mbali!

    7. #25
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By Kabengwe
      It's good to hear kilaa mtu anayo project ya kufanya ila securities/collaterals ndo tatizo kwenye kupata mkopo. Nilipata fununu kipindi flani(this year) kwamba world vision wanatoa mikopo kwa watu wenye business plans ambazo ni nzuri/feasible.
      Sikufanyia kazi hiyo info, ila mtu aliyenipa hzo habari ni wakuaminika.
      Kwahyo nawashauri mfike ofisi za World Vision na Business plans zenu kuangalia uwezekano wa kupata mkopo bila dhamana.
      Nafurahi sana kusikia gratuates wanakuwa na mawazo ya kibishiara.
      Keep it up guys!

      Thanks guyz, hope tutafanikiwa japo mazingira ni magumu sana

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Wadau wengine wenye msaada wa mawazo na mtazamo jamani kama wapo....................

    10. #27
      bm21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2008
      Location : Britain
      Posts : 777
      Rep Power : 718
      Likes Received
      2
      Likes Given
      15

      Default Re: Project funding sources

      Quote By Mzuzu
      Ni page 40 hivi. Naendelea kuzishape zaidi... NtakuPM
      NimekuPM check your mail

    11. #28
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By bm21
      NimekuPM check your mail
      Nashukuru sana nimekupm mkuu!

    12. #29
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By bm21
      NimekuPM check your mail
      Check mail mkuu!

    13. #30
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Thumbs up Re: Project funding sources

      Quote By Ogah
      Hebu mPM Mkuu Malila........atakupa malezo mazuri (experience ya vitu kama hivyo), kwani ni mjasiriamali mkubwa sana tu...........ngojanimtafute aje hapa amwage shule.......

      Ni mradi mzuri, je unaweza kuweka hapa hiyo business plan yako.....au waweza kuniPM ili kujua twaweza kujoin vipi nguvu..........
      Mkuu Ogah asante kwa kunipa mwaliko hapa ili nichangie.
      Nachangia mawili, Watz wenye fedha na wakazitoa wapo kibao na wanatoa,tatizo vijana wengi hawawezi kujikana nafsi zao ( yaani si waaminifu). Pili wengi hawako tayari kuingia front wanataka mtu aanze wao wadandie.

      Nilipotaka kuanzisha mradi,sikuwa na kitu,ila nilikuwa na ujasiri wa kuthubutu. Na sasa napata support ya kutosha toka kwa Watz hawahawa bila kwenda benki.
      petermakatu and mcyawn like this.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    14. #31
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Thumbs up Re: Project funding sources

      Quote By Shaycas
      It's a good project if funded.
      Myself I have a plan to invest in social work. Proposal is ready seeking for fund.
      I prefer to start it in Dodoma,the fast growing town.
      Mawazo yangu ni haya,tusisubiri kufadhiliwa/being funded, wanatakiwa wafadhili/benki itukute tayari hatua ya kwanza nimetoka/tumetoka tunatafuta ya pili.

      Mimi nilipoanza mradi wangu mmoja,ilibidi hata kijiweni nipunguze trip,yaani niliingia chimbo. Naamini unanipata.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    15. #32
      KiuyaJibu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2007
      Location : DSM
      Posts : 528
      Rep Power : 705
      Likes Received
      20
      Likes Given
      4

      Default Re: Project funding sources

      Ninafarijika sana kusikia watanzania wenzangu una miradi ya kufanya ila tatizo ni fund;nitajaribu ku-check na baadhi ya venture capitalists fulanifulani halafu nione tunaendaje mbele katika kusukuma gurudumu la maendeleo.
      Nitaunga nanyi nitakapofanikisha hilo.
      Tusiichukie Tanzania,bali tuwachukie viongozi wake

    16. #33
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Project funding sources

      Quote By KiuyaJibu
      Ninafarijika sana kusikia watanzania wenzangu una miradi ya kufanya ila tatizo ni fund;nitajaribu ku-check na baadhi ya venture capitalists fulanifulani halafu nione tunaendaje mbele katika kusukuma gurudumu la maendeleo.
      Nitaunga nanyi nitakapofanikisha hilo.
      Hata usipofanikisha hili unalolitazamia wewe njoo tupige kazi mkuu. Bongo kuna kazi nyingi sana za kufanya,tatizo ushirikiano hafifu miongoni mwetu.
      Kama tungeondoa uvivu kidogo tu, bongo fursa lundo.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    17. #34
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By Malila
      Mawazo yangu ni haya,tusisubiri kufadhiliwa/being funded, wanatakiwa wafadhili/benki itukute tayari hatua ya kwanza nimetoka/tumetoka tunatafuta ya pili.

      Mimi nilipoanza mradi wangu mmoja,ilibidi hata kijiweni nipunguze trip,yaani niliingia chimbo. Naamini unanipata.

      Point taken sir!

    18. #35
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By KiuyaJibu
      Ninafarijika sana kusikia watanzania wenzangu una miradi ya kufanya ila tatizo ni fund;nitajaribu ku-check na baadhi ya venture capitalists fulanifulani halafu nione tunaendaje mbele katika kusukuma gurudumu la maendeleo.
      Nitaunga nanyi nitakapofanikisha hilo.

      Thanks for this sir!

    19. #36
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Project funding sources

      Quote By Mzuzu
      Point taken sir!
      Je unaniruhusu nichangie kitu ambacho mimi nadhani ungeanza nacho wakati unatafuta donors?
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    20. #37
      ngoshwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2009
      Location : everywhere
      Posts : 3,688
      Rep Power : 1356
      Likes Received
      570
      Likes Given
      769

      Default Re: Project funding sources

      NIMEPENDA HUU MWAMKO!

      Kupitia mtandao wa Wizara inayohudumia watanzania wengi (Wizara ya Kilimo) ambao nimeutafuta kwa tabu mno, www.kilimo.go.tz, kuna hkuna mambo mengi pia mazuri hata andiko la "Kilimo Kwanza" ambayo pamoja na masuala mengine Mhe. Rais wetu amejipiga kitanzi kutekeleza mambo mengi kuptia dhana hiyo. Suala la kuinua vipato vya watanzania kupitia kilimo ikiwa ni pamoja na kuendeleza "Wathubutu" au "Wajasiliamali" limepewa kipaumbele .

      Pia nimeona kwenye hotuba ya Mhe. Waziri husika kwa mwaka 2009/2010 http://www.kilimo.go.tz/speeches/speech.php, miongoni mwa ahadi alizotoa ni pamoja na kusaidia usindikaji na vikundi vidogo vya wakulima. Nimeona pia wana Kitengo cha Kuendeleza mazao (Crop Promotion) na Kusaidia Usindikaji kipo hapo Wizarani. Naamini tukiacha siasa na kuthubutu kama hivi, yote yanawezekana na sina shaka kabisa Mhe. Waziri wa Kilimo na Rais wetu wa Jamhuri anaweza kusikia hili wazo la kujikwamua asitoe hata ushauri wowote .......

      Binafsi nashauri huku tukiendelea kupambana kutafuta vyanzo vingin kwenye miradi kama hii, kama hukuwahi kufanya mawasiliano yeyote, Mkuu ebu jaribu kuwasilisha wazo lako moja kwa moja kwa Katibu Mkuu na huyu Waziri wa Kilimo pengine nako utapata mwelekeo, naamini kabisa hakuna utakacho poteza kwa kutafuta huo msimamo wa Serikali katika kusaidi hili.

      Ikiwa vinginevyo sasa hiyo"KILIMO KWANZA" NA MAPINDUZI YA KIJANI" haiVtakuwa na maana tena kwetu wananchi. ......twazidi kuwasiliana!!!!!!.

      THE KILIMO KWANZA RESOLUTION

      ----------------------------------

      WHEREAS the Tanzania National Business Council (TNBC), under its Chairman, H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania held a two day meeting on 2nd and 3rd June 2009 at Kunduchi Beach Hotel, Dar es Salaam, to discuss the policies and strategies for the transformation of Tanzania’s agriculture under the theme “KILIMO KWANZA[1] and its implementation;

      AND WHEREAS eighty per cent of Tanzanians depend on agriculture for their livelihood;

      RECOGNIZING that the greatest challenge facing Tanzania is to combat poverty and that this will be possible mainly through enhanced agricultural productivity;

      CONSIDERING Tanzania’s endowment of agricultural land, livestock and marine resources of which a large proportion is currently underutilized;

      REALIZING that Tanzania has the second largest volume of inland fresh water resources in Africa that can be utilized for irrigation;

      CONSCIOUS of the fact that so far considerable efforts have been made towards the transformation of agriculture without much success;

      IT IS HEREBY RESOLVED to:
      1. Embark on KILIMO KWANZA as Tanzania’s Green Revolution to transform its agriculture into a modern and commercial sector;
      2. Integrate KILIMO KWANZA into the Government machinery to ensure its successful implementation;
      3. Mobilize increased quantum of resources towards the realization of KILIMO KWANZA;
      4. Mobilize the private sector to substantially increase its investment and shoulder its rightful role in the implementation of KILIMO KWANZA and
      5. Declare that the implementation of KILIMO KWANZA will comprise the following ten actionable pillars:
      I. Political will to push our agricultural transformation.
      II. Enhanced financing for agriculture.
      III. Institutional reorganization and management of agriculture.
      IV. Paradigm shift to strategic agricultural production.
      V. Land availability for agriculture.
      VI. Incentives to stimulate investments in agriculture.
      VII. Industrialization for agricultural transformation.
      VIII. Science, technology and human resources to support agricultural transformation.
      IX. Infrastructure Development to support agricultural transformation.
      X. Mobilization of Tanzanians to support and participate in the implementation of KILIMO KWANZA.

      Details of the above ten pillars of KILIMO KWANZA are elaborated in the action programme annexed hereto.

      [1]Agriculture First
      Last edited by ngoshwe; 1st December 2009 at 16:29.

    21. #38
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By Malila
      Je unaniruhusu nichangie kitu ambacho mimi nadhani ungeanza nacho wakati unatafuta donors?
      Mkuu ruksa ipo wazi nategemea sana mchango wako wa mawazo! Thanx

    22. #39
      Mzuzu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2007
      Posts : 402
      Rep Power : 10546
      Likes Received
      56
      Likes Given
      13

      Default Re: Project funding sources

      Quote By ngoshwe

      NIMEPENDA HUU MWAMKO!

      Kupitia mtandao wa Wizara inayohudumia watanzania wengi (Wizara ya Kilimo) ambao nimeutafuta kwa tabu mno, www.kilimo.go.tz, kuna hkuna mambo mengi pia mazuri hata andiko la "Kilimo Kwanza" ambayo pamoja na masuala mengine Mhe. Rais wetu amejipiga kitanzi kutekeleza mambo mengi kuptia dhana hiyo. Suala la kuinua vipato vya watanzania kupitia kilimo ikiwa ni pamoja na kuendeleza "Wathubutu" au "Wajasiliamali" limepewa kipaumbele .

      Pia nimeona kwenye hotuba ya Mhe. Waziri husika kwa mwaka 2009/2010 http://www.kilimo.go.tz/speeches/speech.php, miongoni mwa ahadi alizotoa ni pamoja na kusaidia usindikaji na vikundi vidogo vya wakulima. Nimeona pia wana Kitengo cha Kuendeleza mazao (Crop Promotion) na Kusaidia Usindikaji kipo hapo Wizarani. Naamini tukiacha siasa na kuthubutu kama hivi, yote yanawezekana na sina shaka kabisa Mhe. Waziri wa Kilimo na Rais wetu wa Jamhuri anaweza kusikia hili wazo la kujikwamua asitoe hata ushauri wowote .......

      Binafsi nashauri huku tukiendelea kupambana kutafuta vyanzo vingin kwenye miradi kama hii, kama hukuwahi kufanya mawasiliano yeyote, Mkuu ebu jaribu kuwasilisha wazo lako moja kwa moja kwa Katibu Mkuu na huyu Waziri wa Kilimo pengine nako utapata mwelekeo, naamini kabisa hakuna utakacho poteza kwa kutafuta huo msimamo wa Serikali katika kusaidi hili.

      Ikiwa vinginevyo sasa hiyo"KILIMO KWANZA" NA MAPINDUZI YA KIJANI" haiVtakuwa na maana tena kwetu wananchi. ......twazidi kuwasiliana!!!!!!.

      THE KILIMO KWANZA RESOLUTION

      ----------------------------------

      WHEREAS the Tanzania National Business Council (TNBC), under its Chairman, H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania held a two day meeting on 2nd and 3rd June 2009 at Kunduchi Beach Hotel, Dar es Salaam, to discuss the policies and strategies for the transformation of Tanzania’s agriculture under the theme “KILIMO KWANZA[1] and its implementation;

      AND WHEREAS eighty per cent of Tanzanians depend on agriculture for their livelihood;

      RECOGNIZING that the greatest challenge facing Tanzania is to combat poverty and that this will be possible mainly through enhanced agricultural productivity;

      CONSIDERING Tanzania’s endowment of agricultural land, livestock and marine resources of which a large proportion is currently underutilized;

      REALIZING that Tanzania has the second largest volume of inland fresh water resources in Africa that can be utilized for irrigation;

      CONSCIOUS of the fact that so far considerable efforts have been made towards the transformation of agriculture without much success;

      IT IS HEREBY RESOLVED to:
      1. Embark on KILIMO KWANZA as Tanzania’s Green Revolution to transform its agriculture into a modern and commercial sector;
      2. Integrate KILIMO KWANZA into the Government machinery to ensure its successful implementation;
      3. Mobilize increased quantum of resources towards the realization of KILIMO KWANZA;
      4. Mobilize the private sector to substantially increase its investment and shoulder its rightful role in the implementation of KILIMO KWANZA and
      5. Declare that the implementation of KILIMO KWANZA will comprise the following ten actionable pillars:
      I. Political will to push our agricultural transformation.
      II. Enhanced financing for agriculture.
      III. Institutional reorganization and management of agriculture.
      IV. Paradigm shift to strategic agricultural production.
      V. Land availability for agriculture.
      VI. Incentives to stimulate investments in agriculture.
      VII. Industrialization for agricultural transformation.
      VIII. Science, technology and human resources to support agricultural transformation.
      IX. Infrastructure Development to support agricultural transformation.
      X. Mobilization of Tanzanians to support and participate in the implementation of KILIMO KWANZA.

      Details of the above ten pillars of KILIMO KWANZA are elaborated in the action programme annexed hereto.

      [1]Agriculture First
      Ahsante sana nitafuatilia nione kama wanaweza kutoa ushauri gani. Niliongea na maofisa wa IFAD nao pia wakaniambie nipitie kwa maafisa kilimo wakukubali kupitia serikalini wao wanaweza kufund, nafuatilia mkuu

    23. #40
      Malila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2007
      Posts : 2,605
      Rep Power : 10971
      Likes Received
      828
      Likes Given
      447

      Default Re: Project funding sources

      Anza kutafuta ardhi ya kufanyia huo mradi,mradi huu unalipa kuanzia small scale,maana yangu ni kwamba unaanza kupata abc za mradi wako kwa kuanzia chini kidogo.Unaweza kupata donors halafu ukashindwa kupata ardhi nzuri kwa wakati,watakuona mzushi.

      Je umewahi kufikiri juu ya sehemu nzuri ya kupata ardhi,je unajua aina za mihogo ambayo inalipa ktk masoko yote(local na viwandani), si kila mhogo unaweza kumea po pote.

      Je unafahamu tatizo la manpower kwa nchi yetu kwa sasa ie outsorcing,je matatizo yanayoambatana na mradi unayajua,ili ujue namna ya kuyakabili pindi yakikutokea.

      Je wewe mwenyewe umewahi kulima mihogo? Nisaidie hayo maswali kidogo ili tuendelee kupeana maarifa.
      Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

    Page 2 of 14 FirstFirst 123412 ... LastLast

    LinkBacks (?)

    1. 10th June 2010, 23:36

    Similar Topics

    1. Z’bar searches for alternative power sources
      By abdulahsaf in forum Business & Economic Forum
      Replies: 12
      Last Post: 8th November 2012, 06:53
    2. Replies: 0
      Last Post: 12th July 2011, 14:38
    3. Govt to Borrow 347bn/- From Local Sources
      By nngu007 in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 1
      Last Post: 11th April 2011, 18:39
    4. Trusted sources
      By Mpenzi in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 4
      Last Post: 1st November 2010, 09:01
    5. TUCTA sees 'hidden' sources of revenue
      By Mr Man in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 4
      Last Post: 10th May 2010, 17:04

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...