Re: CRDB VISA DEBIT CARD ! Big LIARS !

By
Mulugwanza
Inaonekana mlitumia hizo kadi bila kumba benki ili iweze kuziruhusu kufanya kazi online kwenye internet. Unajua kufanya manunuzi kwenye internet ni too risky kwahiyo mteja anayetaka kufanya hivyo afike tawi lake la crdb ili aweze kusaini fomu maalum kisha. ili kukubaliana na benk kuwa unafanya shopping online at your own risk. mimi ni mteja wa crdb tower br nilienda kuomba na nikasaini fomu na sasa hivi naweza kufanya manunuzi online. Poleni sana
What a lot of rubbish! Ina maana ukishasaini hizo fomu hata mfanyakazi wa CRDB ambaye ana access na details zako ana uwezo wa kufanya shopping kwa kutumia kadi yako and it wont be their faulty!
If someone knocks you down- its their faulty, but if you stay down its your faulty.
Follow Us Here