| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 209
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Naomba nianze na marekebisho ya maneno yako,unataka eka 20 au hekta 20? Hekta 1 ni sawa na eka 2.5,pili ardhi iko ya kumwaga sana huko morogoro (mbingu,Ifakara,chita),nikisema Arusha nitakuwa nakudanganya mchana kweupe. Ila maeneo yafuatayo yana ardhi kubwa ila yana ugomvi usioisha hayatawafaa ( kilosa,kilombero,ulanga,mlimba,mtibwa na mang`ula). Wote wanafikiria kwenda huko.
Kwa kuwa umetaja maeneo uyapendayo itakuwa vigumu kukutajia maeneo mengine. Ila yapo yaliyo mazuri zaidi. Pili mnaweza kugawa maeneo yenu ktk makundi mawili,kilimo kivyake na mifugo kivyake. |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kwa kawaida wizara ya ardhi hutoa hati ya miaka 99 kwa ardhi ya kilimo na hasa shamba likiwa kubwa. Unachotakiwa kufanya ni kuomba ardhi hiyo kupitia serikali ya kijiji au mamlaka husika (local goverment or ministry of lands) na kisha utatakiwa ku-survey na hatimae kuomba milki ya ardhi husika. Mara nyingi kuna ucheleweshaji hivyo unatakiwa kuwa na uvumilivu
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hili swala la mbolea sana.
Gharama zake zinakuwaje?
__________________
The Singularity is Near. |
|
#5
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Kuna utaratibu ufuatao unatumika sana na ni halali,ili kukwepa usumbufu wa serikali naomba nikwambie. Serikali ya kijiji inaweza kukupa ardhi isiyozidi eka 49 kama mtu binafsi, na inaweza kukupa ardhi isiyozidi eka 100 kama kampuni. Zaidi ya hapo ni suala la serikali kuu.
Ushauri wangu,tafuta ardhi kwanza (nimeuliza kipimo chako hapo mwanzo ili nikusaidie),hapo utakapoipata ichunguze(ukiweza nunua kipande kidogo kiendeleze) kabla hujaenda huko serikalini. Ukienda kuomba serikalini,unaweza ukapelekwa TIC kumbe wewe ni size ya kijiji. Ukifika pale TIC (wilayani,mkoani) kuwaambia habari hiyo,utapewa msululu wa kufuata mpaka ukome,au ukaishia kuwajulisha jamaa(wanene) kuwa sehemu fulani kuna dili. Ila kama wewe ni mnene pia nenda pale TIC watakwambia wapi kuna ardhi ya kumwaga. Nakupa hayo kwa sababu yamenikuta tayari.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:37 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||