| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 426
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wanasubiri Nyerere aje atwambie kama kupata watalii ni lazima uitangaze nchi yako.
Maneno yako ni kweli TZ imelala, mie natokea visiwani hapo zama za kale nilidhani mlima Kilimanjaro uko Kenya jinsi tulivyolala jinsi na jinsi Kenya walivyoutangaza na kuingiza hela kibao kupitia mgongo wa mlima huo. TZ haswa bado ina usingizi wa Nyerere, na sijuwi lini tutaamka...labda kiama ![]() Maana mambo ni mengi ambayo tumelala, likiwemo na suala zima la kiswahili, TZ haitakiwi kutumia English mashuleni inatakiwa kutumia kiswahili...lakini iyo iko nje ya maada ....ooops ![]() |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Usingizi wa uzuzu magic ndio adui wetu mkubwa.
__________________
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kuitanganza tanzania sio kupitia CNN tu mkuu.Kuna njia nyingi sana za kuitangaza mimi na wewe ndio hasa tuna paswa kuitangaza nchi yetu sio swala la kusubiria serikali ifanye hivyo.Wananchi Wakenya wamejitolea sana kuitangaza nchi yao kila kona ya dunia,kwa njia tofauti zikiwepo kwa njia ya Internet n'k...sasa sisi tunapo hiachia serikali kila kitu na kuitupia lawama lukuki kwamba imelala ingali sisi wanachi wenyewe ndiyo tulio lalal.
Bonyeza hapahttp://www.jamiiforums.com/habari-ho...-mitandao.html
__________________
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu. |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
wakiweka tangazo moja kwenye london taxi wanajipiga na picha wenyewe....
hizo hela zinatolewa na zinaliwa tuuu wakenya wameanza kujitangaza siku nyingi na magical kenya, nilikua naona matangazo yao kwenye TV uk miaka 6 iliyopita
__________________
You can not keep 40m people quite forever.... one year one month one day they will wake up.......... |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Nimemwona MiNISTER of tourism wa kenya leo on CNN..Yupo busy kuuza nchi yake!
sIKU ZA NYuma Iliniuma sana niliposikia for world cup 2010 kuna tourists watalala mauritius and will be jetted to and from the games...TANZANIA TUPOOOOOO???
__________________
"When the Authorities ask for your shirt, you give them your jacket aswell" Pattni Goldenberg Scandal Architect |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Na atakapopatikana huyo "muwekezaji" si ajabu kupata madudu mengine kama ufisadi katika vitalu vya uwindaji |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kuna kipindi nilisikia kwamba serikali imetenga fungu la pesa kwa jili ya matangazo CNN,na kwa kuanza walianzia na CNN local (abayo inaonekana marekani tu) sijui imekuwaje mpaka leo wameshindwa kuyatangaza upande wa CNN International,ambayo ndio inatizamwa na dunia nzima.
__________________
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu. |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
__________________
Mtu aliye dhalimu ni chukizo kwa wenye haki,na mnyofu wa mwenendo ni chukizo kwa waovu.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 08:44 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||