| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 428
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Huduma hii inahitajika sana, mimi ni mmoja wa wanaohitaji, lakini unapoanzisha usifanye uhuni kama wa watu wengine ambao wanakuja kuiba mawazo yetu wao wanawaomba watu watume michanganuo , watu wengi wanatuma kisha wanamchagua mmoja na kumpa zawadi huku wakibaki na michanganuo ya watu wengine huo ni uwezi.
anzisha jitangaze tutakuja utusaidie |
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
karibu mkuu...ila uwe kweli mshauri ...usijekuwa m-tapeli....kwani biashara inayolipa ni ipi?...msingi/mtaji mdogo kwa mtazamo wako ni kama tshs ngapi kwa kuanzia?....fafanua ili tujadiliane kwa kina zaidi.
__________________
if we die the next generation will fight them too..and the one after them untill the victory is on our side |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Another DECI (?)
__________________
"The only problem with Africans is implementation and maintenance"- Kingi. |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Newazz,
Nakupongeza kwa moyo wako wa kujitolea kusaidia wafanyabiashara wadogo. Nimeandika kijitabu kidogo kinaitwa "Mbinu za Ujasiriamali" - unaweza kujifunza mbinu mbalimbali ya kukabiliana na matatizo au vikwazo kwa wale wanopenda kujitumbukiza katika ujasiriamali. Sijui uko nchi gani, lakini jaribu Mkuki na Nyota Dar es Salaam au ukishindwa tuwasiliane nitakutumia kopi kadhaa. Kila lakheri. |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
__________________
Be not afraid of growing slowly, be afraid only of standing still. -- Chinese Proverb |
|
#8
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Nami nimeishtukia tabia hii, kila mara utaona wakitangazwa kwenye luninga. Wizi mtupu! ...just taking advantage of others. Biashara sio kujifaidisha kwa kumwibia mwingine. Nawaunga mkono wale wanaoshindanisha watu kwa kutoa mafunzo ya kibiashara pia.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:23 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||