| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||
|
||||
|
Views: 6776
|
||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Charge zao zikoje lakini?
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Erooo Magafu Ahsante kwa swali zuri! Sasatel wanakuja na code number +255 61 ******* na package kambambe za on net,(Sasatel kwenda Sasatel) kuwa shilingi 1 (bila VAT) (Sasatel kwenda Mtandao mwingine kuwa Shilingi 3 na senti 50),Kwa upande wa data ucpime kwani wao wanakuja na package ambazo ni ndogo sana kuliko mtandao wowote,ukiangalia baadhi ya mabango yao wana Slogan imeandikwa "DO YOU WANT MORE SASA,AND LESS BADO?"Ujio wao umesababisha baadhi ya makampuni kuanza kufanya kampeni za coverage (Mtandao) kwa mfano tiGO na Zantel sasa zote zinadai zipo sehemu zote Tanzania,Zantel wameendeleza kampeni hizo kwa kuweka Tariff zao kuwa Flat On net yaani (Zantel kwenda Zantel) ni Shilingi 1(bila VAT) Huku Zantel tena wakifanya kampeni kubwa ya kuuza data (Internet zao)mjini Dar es salaam,VODACOM (Maskini wateja wao!) Wakipiga au kutuma SMS wakati wa ucku kwa nusu shilingi. Nawasilisha
Ole Oloronyo. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
thanx kwa info. je hawa walumendago hawana kaharufu ka RA au Manji-isim?
__________________
......2010 ndo hii lakini SINA IMANI kama utafanya maamuzi sahihi OKTOBA.... - Msanii |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
una web site yao?
__________________
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Acha makampuni yawe mengi na rates zitashuka tu na packages zitaongezeka.
__________________
If Life gives you lemon, change it to Lemonade. |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Lalashe asante sija-apply lakini nasubiria wasimame si unajua kilichoikumba Hits? Huko kipo kiharufu cha Askofu aka Mbunge aka Mmiliki wa Saint Mary Mama yetu Lwakatare,bora yeye anawekeza hapa TZ
|
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
www.thenewplayer.com
mkuu oloronyo nashawishika kuamini kuwa uko kwenye kampuni mojawapo ya mawasiliano! maana post zako...mmmh! ....
__________________
MBUZI WA NINI UNAPOKWENDA MIKUMI KUWINDA |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Ashenaaale Kiteitei,Hii ni ile ya mwanzo mupya bado.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 08:09 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||