Habari wakubwa mimi ni kijana mwenzenu nasoma chuo iringa mjini RUAHA UNIVERSITY, napenda kufanya biashara ya nguo za mtumba so naomba kwa yyt mwenye utaalamu au uzoefu mahali pa kupaia mabelo au jinc ya kupata mzigo mzur na bei zake na aina. nitashukuru nikipata majb mazuri wakuu na maelekezo kwa kina. likizo huwa nipo dar.

Reply With Quote

Follow Us Here