Business & Economic ForumThis' a place where contributors with an interest in business or economics can "meet" and discuss issues of importance to the business and economics matters. Register to comment here!
- Kwa wale wanaofuatilia, habari ni kuwa SEACOM SUBMARINE OPTIC FIBER iko LIVE toka Thursday 23rd July 2009.
- Dodoma imeunganishwa tayari kupitia Fiber ya TANESCO (Hakuna confirmation kama wako LIVE)
- Chuo Kikuu cha DSM tayari nao wameunganishwa (Hakuna confirmation kama wako LIVE)
- Kampuni hii ambayo ina-Offer Business Opportunity imekuwa ISP ya kwanza kujiunga katika mtandao wa SEACOM kutoka katika Distribution Hub pale TTCL Kijitonyama.
- Kama kila kitu kikienda sawa Technical, wateja wa DSM watakuwa LIVE on SEACOM from next week or first week of August.
- Kwa wenye mahitaji ya kuanzia 256 Kbps unaweza kuni-PM kama uko DSM nitakupatia utaratibu wa kuunganishwa.
INFORMATION No.1
Nafasi ya Biashara Kwa Walioko Mikoani na Wilayani
Je unao ujuzi wa ICT na hasa katika mambo ya Connectivity na uko mikoani au wilayani?
Je unayo Interest ya kufanya biashara ya kuwa na ISP (Internet Service Provider) katika eneo husika?
Je uko tayari kupata mafunzo juu ya Products na Solutions na kufanya Marketing na Sales?
Je uko tayari Ku-Invest katika Basic Infrastructure za ISP huko mikoani?
Je unaweza kupata wateja wa kuanzia kati ya 20-50? Mmoja moja au kampuni?
Je uko tayari kupata mapato (Kuingiza Pesa) kila mwezi itokanayo na malipo ya Bandwidth na hivyo kujiingizia mapato ya uhakika kutoka kwa wateja wako? Pia utauza Equipment kwa Wateja kwa faida.
Kama jibu lako ni ndiyo, basi ni PM nitakutumia email yangu ili unitumie company profile yako au business proposal.
Kampuni utakayofanya nayo partnership mchango ufuatao:
Mafunzo ya Products na Solutions (Technical and Sales)
Itakusaidia ku-Setup Infrastructures za ISP Mikoani au Wilayani.
Itakuuzia Equipment kwa bei ya chini kabisa ya Partners
Itakupa Bandwidth kuendana na mahitaji ya wateja yako na na utalipia kila mwezi.
Products na Solutions za Kuuza:
Internet kupitia Technology ya VSAT
Internet Kupitia Technology ya Wireless
Mobile Internet Kupitia Technology ya CDMA
Video Conferencing
TV/Radio Broadcasting Solutions
Voice Over IP
Data Solutions kupitia VSAT na Internet
Kwa sehemu zinazofikika na Fiber - Internet Kupitia Submarine Optic Fiber ya SEACOM Kuanzia Mwezi July/August 2009.
Digital Radio Calls Communication Systems (TETRA)
kama utakuwa Interested basi ni PM nitakutumie email yangu ili unitumie company profile yako au business proposal. Baada ya hapo nitakutumia Partnership Business Proposal.

Hii iko poa mazee.Please, nidondoshee zaidi hapa jarvis418{at}gmail{dot}com