Kama nina milion 7 naweza kupata gari ya kutembelea kwenye yard za bongo
Naomba kujua kama nikiwa na milion 7, ninaweza kupata gari mojawapo kati ya hizi (duet, vitz, nissan march, corrola, spacio nk) kwenye yard za Dar es salaam. Au kuna Yard ya Magari ndani ya Dar ambapo wanauza magari kama hayo kwa bei ya milion 7? naomba mnujulishe tafadhali
Re: Kama nina milion 7 naweza kupata gari ya kutembelea kwenye yard za bongo
Unapata hadi kwa 6.5m,ila nakushauri ongeza 2m uagize japan! duet,vitz,starlet ni ushenzi mtupu(samahani lakini),hv vigari vidogo vidogo vinakera sana! Kwa sasa una shahuku ya kua na gari ndio maana unataka hivyo vigari lkn ukiendesha miezi miwili tu utakachoka na utataka jingine kubwa nakushauri kama una 7m dunduliza uongeze mbili I'm sure utapata gari Cresta/mark ii gx100 nzuri tu! Kwa japan hadi usd2200(cif-3,487,000/=) na Pia ukijumlisha kodi 4,200,000/= na Gharama Ya agent 200,000/= Plus Shippin line 90,000/= na Port Charges 180,000/= Grand Total hapo haizidi 8.5m!! Kama haujui kuagiza magari japani ni PM(samaha Zemarcopolo nataka kujua interest yake kwanza) nikusaidie step ya kwanza hadi ya mwisho,kamwe usinunue gari kwa mtu hutajuta pia gari za yard nyingi wanazichakachua!
Kama nina milion 7 naweza kupata gari ya kutembelea kwenye yard za bongo
By Jodoki Kalimilo
Si unajua tena sie ni wazee wa kuigilizia ili ku-share changamoto
Unajua watu hawaelewi magari, watu wana magari hapa mjini amvayo wanaendesha na wanatengeneza lakini watu wanapeana maelezo ya kijinga kwamba toyota ndo gari kwa vile unaweza kupata tyre rod end kwa 15,000 Tsh. Upuuzi mtupu, halafu baada ya miezi miwili unaweka nyingine.
Wakati mimi nikifunga tyre rod end kwenye nissan nasahau kabisaaa!!
Nikiweka stabilizer link kwenye rover ndo kabisaaaa labda baada ya 2 years!!
Mi nimenunua magari Japan, na nimepigwa vile vile, issue ni kujua unataka gari gani na make sure umei-research na umeikagua.
* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF
Re: Kama nina milion 7 naweza kupata gari ya kutembelea kwenye yard za bongo
By Bigirita
Unajua watu hawaelewi magari, watu wana magari hapa mjini amvayo wanaendesha na wanatengeneza lakini watu wanapeana maelezo ya kijinga kwamba toyota ndo gari kwa vile unaweza kupata tyre rod end kwa 15,000 Tsh. Upuuzi mtupu, halafu baada ya miezi miwili unaweka nyingine.
Wakati mimi nikifunga tyre rod end kwenye nissan nasahau kabisaaa!!
Nikiweka stabilizer link kwenye rover ndo kabisaaaa labda baada ya 2 years!!
Mi nimenunua magari Japan, na nimepigwa vile vile, issue ni kujua unataka gari gani na make sure umei-research na umeikagua.
Ndio hivyo tena maana haya mambo yanahitaji weledi na roho ya kuthubutu vinginevyo kila siku tutakuwa tunakutana na gari Toyota mara corolla nazo zipo xe, yaani varity kibao
Follow Us Here