DALADALA.bmp
Yaani kipindi hicho dola haikuwa na thamani saana!. Linganisha na nauli za sasa na thamani ya dola ni kama (USD 0.20 =TSH3OO) kama sijakosea. Nilitaka niwakumbushe tu enzi za Mwalimu.
DALADALA.bmp
Yaani kipindi hicho dola haikuwa na thamani saana!. Linganisha na nauli za sasa na thamani ya dola ni kama (USD 0.20 =TSH3OO) kama sijakosea. Nilitaka niwakumbushe tu enzi za Mwalimu.
Mkuu wewe mwenyewe uliwahi kupanda hiyo gari au ulisimuliwa? Ha ha ha ha! Wewe kweli zee la mujini.
DALADALA.bmp
shillingi tano haikuwa inaitwa gwala bali ni dala ni ndio chanzo cha kuitwa magari hayo daladala
Umenikumbusha mambo ya vilakshari hasa DAR (Vilianzia pugu to kkoo). Nakumbuka chache km love and peace, cassanova.
Ahsanteni sana vijana wa zamani coz mimi nilikuwa najiuliza kwanini haya mabasi yanaitwa daladala? Leo ndo nafahamu cnanzo chake ni nini
Lakini natamani hizi hoja angeziona Gavana wetu ingesaidia kujua mahali tulipo sasa kwani thamani ya shilingi yetu kwa sasa inahuzunisha
Nawasilisha
Pasipo maono watu huangamia
soda Tshs 6 unapata!
Kcc Tshs 810/=, shirika la umma! heshima mtaani.
Follow Us Here