Tunakopesha pesa kuanzia 50,000 mpaka milioni 2. masharti lazima uwe na dhamana. ili kuweza kujua tunapatikana wapi na dhamana gani tunazochukua wasiliana nasi kwa namba 0716 632593 / 0718 585858 na 0782 383838
Tunakopesha pesa kuanzia 50,000 mpaka milioni 2. masharti lazima uwe na dhamana. ili kuweza kujua tunapatikana wapi na dhamana gani tunazochukua wasiliana nasi kwa namba 0716 632593 / 0718 585858 na 0782 383838
Mkuu mbona unakimbilia watu wawapigie simu?? Hii ni dunia ya utandawazi, taarifa za huduma na bidhaa za biashara yenu zinakuwa siri??? Ni haki ya mteja kujiridhisha kabla hajanunua au hajalipa. Msifanye watu wanaofanya biashara hizi waonekane ni wezi, kama mmeamua kuifanya fuateni taratibu na muwe wawazi.
" Yesu ni Bwana"
Mbado kimyaa!!! JF bwana!!!
Hizo dhamana na kiasi cha riba weka wazi humu utuokolee hela za kupiga simu.
KhaaaAaaaa
Hela mnazokopesha ni geniune au bandia?
wabongo bana full kutoana kasoro, kama wewe huna shida ya mkopo tulia, wenye wataenda!
basi wewe unayejidai kujua sana waje watu wenye shida ya mikopo utawapa?!
...Wako wapi watoaji mikopo wenyewe?? Magumashi tu..! Hii sio Mara ya Kwanza. Kuna watu wanajitokeza humu na kujifanya ni wakopeshaji maswali yakianza wanaingia mitini... na kufungua thread nyingine! JF imeingiliwa.
Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!
Matapeli hawa hawana lolote wanakupa m 2 uwaachie bondi ya gari baada ya mwezi kama hujalipa wanaondoka na gari kama wachawi vile ukichukua dhamana lazima izame
Mmesajiriwa...
"To greed, all nature is insufficient"
Mkuu inabidi twende kisomi na sio ubabaishaji tunashida na Pesa lakini si kihivyo, Rejea kichwa cha habari ulichoandika nakisha dadavua[elezea]vizuri na kwa kina kuhusu hiyo mikopo yako, Mtu anatakiwa awe na nn,sifa ama vigezo gani na liba yako ni asilimia ngapi sio kutuwekea namba eti tukutafte bila maelezo, Ningekuwa na uwezo ningefuta hicho kichwa cha habari ulichopost hakina maana wala hakieleweki zaidi ya kuturusha stym na kututia tamaa za kijinga, Ushauri wa bure: Jipange unataka kupost kitu chochote humu Jf jua kwamba kuna watu tofauti tofauti, Wengine ZAIDI umri wako na Wazazi wako, Pia pendelea kupata ushauri kwa jambo lolote kabla hujafanya kitu chochote itakusaidia sanaaa..., Ni hayo tuuuu...
Nimeamini Wa-Tanzania itachukua muda mrefu sana kuendelea. Kila kitu kutoa kasoro. Na anayetoa kasoro hana anachokijua. Uliza maswala ya msingi.. Kama yeye anatoa kwa asilimia 20 wewe nenda wanapotoa kwa asilimia moja kama ipo. Hii ni Biashara huru. Na sababu za taasisi nyinyi za fedha kutoza riba kubwa inajulikana. Tanzania hatuna utamaduni wa kulipa na hatuna displine ya mikopo. UNAKPA KWENDA KUMNUNULIA MTOTO NGUO YA IDD. lazima wakukombe stuli zako kwa sababu ndio dhamana uliyokuwa nayo
NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. OMBI KWA MUNGU: MUNGU WEWE NI MWEZA WA YOTE, NA SIKU ZOTE UNAYASIKILIZA MAOMBI YA WAKUCHAO, NAKUOMBA UKAFUNGE NGUVU ZA GIZA ZINAZOINYEMELEA M4C; NA UVUNJE MIPANGO YOTE YA MASHETANI WALIOPO NDANI YA CHADEMA. AMINA
be specific!
Follow Us Here