Naomba kujua kama kuna mahali wananunua simu used.
Naomba kujua kama kuna mahali wananunua simu used.
Sehemu wanazonunua used simu ni kwa mafundi simu ambao wapo sehemu kubwa ya jiji. Vile vile unaweza kucheck na maduka ya kariakoo kwani wao mara nyingi huwa wanauza used simu ambazo wameziweka cover mpya na zinaonekana kama mpya.
Follow Us Here