Mtaji ni usd milioni 10 kutoka kwa mwekezaji toka nje ya nchi
ipi kati ya hizo inaweza kulipa kwa Dar?
Mtaji ni usd milioni 10 kutoka kwa mwekezaji toka nje ya nchi
ipi kati ya hizo inaweza kulipa kwa Dar?
mnh hapa parefu,
KWA MTAJI HUO, HUNA HAJA YA KUANZISHA SREDI..... KUNA VYOMBO HUSIKA aisee
Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....
Vyote vinalipa.
Angalia usiwe unatapeliwa tu.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Gesti. Mtandao ndo biashara kubwa zaidi (I presume 'muwekezaji' anataka dar es salaam).
Kama ana akili timamu jengeni kiwanda cha kusindika matunda bagamoyo. Usinisahau kwenye feasibility study.
ninayo land property in the most prime area in Arusha and it is ideal for appartment project investment
karibu sana tuongee joint venture
Real estate is not feasible in Tz. Printing inayolipa bongo ni ya madaftari, easy (not four color printing) especially hardbacks na a few softbacks. Makaratasi China. USD 500,000 zinatosha. Milioni 10 si bora uwekeze nchi za nje?
Keeping quiet is a war crime.
Idea ya Apartments iliyokuwepo ni something like this:
SHOPPING MALL KAMA HILI:
AFFORDABLE HOUSES KAMA HIZI:
Ni kweli ilikuwa niwapeleke Rwanda lakini kutokana na hasira zangu na Tanzania lakini nimetia moyo konde nikaona why not bongo japo tuna matatizo
sasa wao wana taka quick returns
Basi nilifikiri kuwa real estate inalipa na hasa hizi affordable houses ambazo mnatumia dola 50,000 kujenga kisha tunaziuza at around dola 120,000
kwa sababu demand ya accomodation Dar ni kubwa sasa idea ilikuwa kuzijenga kisha kuwauzia benk zote halafu wao wataangalia wafanye nini nazo
Then idea nyingine ni hiyo ya OUT OF TOWN Shopping Mall uzuri ni kuwa investment ni ardhi, Majengo...nakshi, security, Umeme kisha bas...
sasa sijajua kama ialipa au la
Apartment ndio kama hiyo VIVA TOWER lakini sijajua dude kama lile linacost how much kulipandisha mapaka lifikie pale
Keeping quiet is a war crime.
Hiyo ya out of town shopping Mall imekaaje? Italipa?
Out of town mall sio idea nzuri kwa hapa Tz, with reference to few shopping malls e'g Mlimani city ambapo square meter moja ni US $26, na biashara ni ngumu, Kama ni quick return elekeza nguvu kwenye majengo especially Condominium.
Success Requires No Explanations, Failure Permits No Alibis- Napoleon Hill
Hiyo WestgatE mall ni South Africa nini.
Happiness Begins With Facing Life With A Smile And A Wink.
wasiliana na watu kama hawa naona hawa wametuliaa angalia na CV zao, watakusaidia kukushauri. wana projects na watu wa nje.
Partners | Serengeti Advisers
jisome tabia, jibadili ikiwa duh na raha utapata sana tu.
Follow Us Here