Natafuta mtu ambae ntakuwa namuuzia asali kwa bei ya jumla au anae elewa sehem ambayo naweza kufanya biashara hiyo
Natafuta mtu ambae ntakuwa namuuzia asali kwa bei ya jumla au anae elewa sehem ambayo naweza kufanya biashara hiyo
Binafsi nahitaji lakini sio kiasi kingi (2-5 liters), ni kwa amtumizi ya nyumbani ila kama haijachakachuliwa na kama ni mbichi. Waweza kuni-pm ukaniambia unapopatikana au namba za simu.
Hujaeleweka mkuu, weka details za kushawishi na kumwelewesha mteja wako, uko wapi na unapatikanaje? hiyo jumla ikoje yaani maximum and minimum ni ipi? je ni asali ipi nyuki wadogo au wakubwa? bei ikoje??...
Ninacho kifanya ni makubaliano kutokana na jinsi mteja anavyo hitaji
lakini si kwa reja reja kama unavyo hitaji wewe
Mkuu funguka, Unayo kiasi gani, unauza bei gani, ni ya nyuki wadogo au wakubwa, ni mbichi au imepikwa, na wewe unapatikana wapi, weka contact zako ikibidi
Wachina wamejenga kiwanda kikubwa karibu na Tanita cha kusindika na kufungasha asali wanahitaji asali kwa wingi kutoka kwa wakulima.
Follow Us Here