Naomba contact za wachimba visima vya maji Dar.
Hivi inaweza kugharimu kiasi gani uchimbaji wa kisima cha maji kwa matumizi familia ya kawaida?
Shukran!
Naomba contact za wachimba visima vya maji Dar.
Hivi inaweza kugharimu kiasi gani uchimbaji wa kisima cha maji kwa matumizi familia ya kawaida?
Shukran!
"Smile though your heart is aching"...Me says
Nenda DDCA wapo karibu na Chuo cha Maji Ubungo.
Kuna kampuni inaitwa...water wells services ltd,...ilikua karibu na kisutu sec.pale
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
Link nyingine hii hapa Water tanks na kutengeneza kisima
Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34)
Mkuu hebu mpigie huyu jamaa anaitwa Rama(0714116247) mimi alinichimbia na kisima kiko vizuri.
Follow Us Here