Nmshukuru mungu kwa kunipa pumzi, pia na kwaajili ya viongozi na watanzania kwaujumla.
Taifa leo limekumbwa na suala la mfumuko wa bei, si Tanzania tu bali duniani kote kwa ujumla.
Hii ni kwasababu mazao yamekuwa machache yani ardhi atoi mazao kwa wingi kama awali
Hatuna mvua za kutosha katika nchi yetu hata katika mataifa yote, watu wanaangaika sana
Chanzo cha tatizo si viongozi kwasababu viongozi awahusiki na masuala ya mvua.
Unaweza ukasema kuwa idara ya hali yahewa aiusiki kabisa bali nishetani ndiye anayesaba
bisha kuwepo na ukame na njaa anataka atu watumie njia nyingine mfano kwenda kwa waganga
mwanzo 41.1mpaka 30 utasoma jinsi yusuph alivyoweza kuota ndoto juu ya kipindi ukame.
hii inapatikana kwenye kitabu cha mwanzo kwenye biblia soma vizuri maana sisi tunaitaji tupate
viongozi kama yusuph ili tuondokane ya matizo ya mfumuko wabei katika dunia yote kwaujumla
yusuph yeye alionda ndoto akamwambia farao kwamba itatokea miaka ya njaa katika nchi ya misri
"basi ikatokea njaa kweli njaa kama yusyph alivyosema utaipata kwenye kitabu cha mwanzo 41,53-56
yaani biblia" kwenye mwanzo 41,1-32 tunaona yusuph akitafsiri ndoto ya farao juu ya njaa katika Misri.
"miakaya shibe ikaisha ndani ya misri ukisoma katika biblia mwanzo 41,53-56 harafu utaona miaka ya neema
Hivyo kupata viongozi kama yusuph ni wale tu ambao watakuwa wameokoka na kumpenda yesu kweli.
"natataka dua, sala , maombi zifanyike kwa watu wote huu nimsingi mkubwa kwa viongozi inapatikana
1 timetheo 2 nakwa ajili ya wafalme yani kama rais nawengine wabunge viongozi wote kwenye kampuni
" 2 samweli 21, 1-10 utaona jinsi daudi alivyosimama kama kiongozi sasawewe upo kwa waganga wakienyeji"
unabaki kulamikia viongozi bila ya mungu kila mtu ataendelea kula rushwa maana rushwa kila sehemu leo hipo
hila unakula kutokana na urefu wa kamba yako kama mwalimu, mbunge ,kwahiyo usilamike wewe mwenyewe
ni mwizi unaiba ukipewa madaraka utaachia kula fedha za uma, tunahitaji viongozi daniel 7 ,27 soma
jinsi mungu alivyotabiri siku za mwisho kwamba tutaishi vipi ni somo kubwa sana muda autoshi watanzania.
Angalia mungu anavyowangalia viongozi kama Rais nawengine soma m.mitume 17, 26 " alifanya kila mti toka katika Taifa lolote hila inategemea watu wamungu waombe ipasavyo au watu washetani nao watumie mamlaka yao utasikia
Fremasons kamakipindi cha danieli nebukadreza alibadilika soma danieli 4 mrtari wa kwanza. asante
blogs www.uwanjawabiashara.wordpress.com, facebook danforddavid kahwa, itaendelasante

Reply With Quote



Follow Us Here