Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 21
    1. #1
      KOMANDOO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2012
      Posts : 413
      Rep Power : 631
      Likes Received
      254
      Likes Given
      17

      Default Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      WAKUU LEO NIMEWEZA KUTEMBELEA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA DAR NA NILI CHOMOKA KUTOKA ARUSHA ILI NIJE DAR KUHUDHURIA ANGALA SIKU MOJA,

      Kwa kweli Manonyesho ni Mazuri sana, na yanavutia sana na kama yakitiliwa manani yana weza sana kuwasaidia Watanzania kupiga Hatua za Kibiashara,

      SASA NIANZE NA MAZURI NILIYO YAONA KULE VIWANJA VYA SABASABA

      1. Idadi kubwa sana ya Watu wanaotembelea yale Mainyesho

      2. Makampuni mengi

      3. Makampuni ya Kitanzania kuonyeshaubunifu wa hali ya juu

      4. Ulinzi wa kutosha

      MAPUNGUFU NILIYO YAONA MIMI

      1. Maonyesho kugeuzwa kuwa SOKO AU GURIO, kinacho endelea pale ni mauzo kuliko manunuzi

      2. Makampuni ya Tanzania kuwa machache sana na mengi kurudia rudia bidhaa za miaka miatu iliyo pita- Ukiangalia kwenye Mabadna karibia yote ya Bidhaa za Tanzania utagundua ni zile zile za miaka minne mitatu iliyo pita, it means hatuna Ubunifu tena, ndo tumefikia mwisho wa kubuni

      3. Watanzania wengi wanao hudhuria maonyesho kujikita katika kununua kuliko kupata elimu- Kwa kweli idadi ya Wahudhuriaji wanaenda kununua na si kupata elimu, wengi wako bize kununua Vyombo vya Ndani na kazaila

      4. Makampuni ya Kitanzania na watanzania wanaoshiriki kuonyesha Bidhaa za kitanzania kujikita katika kuuza sana na si kutafuta wabia wakufanya nao Biashara
      - WATANZANIA WAKO BIZE KWENYE KUUZA NA SI KUONGEA NA WATU NA KUWAACHIA CONTACT ILI WAFANYE NAO BIASHARA

      5. Maonyesho kutawaliwa na Bidhaa za kichina zaidi

      HAYA MAONYESHO UNAWEZA ZANIA UKO CHINA MAKE BIDHAA ZA CHINA NI NYINGI SANA KULIKO ZA TANZANIA NA HATA NCHI ZINGINE

      6. Wachina Kuwa makini sana na kilicho waleta Tanzania

      WACHINA WAO WAMEKUKA KUTAFUTA MASOKO NA SI KUUZA NA UKIINGIA KWENYE YALE MABADA YAO HAKUNA KINACHO UZWA ILA WAKO BIZE NA MADAFUTARI YAO KUCHUKUA CONTACT ZA WATU ILI WAFANYE NAO BIASHARA

      7. SWALA LA CUSTOMER CARE- wachina na wahindi wako juu sana katika kuongea na Wahudhuriaji na kujaribu kuwafafanulia bidhaa na huduma wanao toa

      8 Watanzania CUSTOMER CARE YETU NI KAMA KAWAIDA TUKO BIZE KUSOMA MAGAZETI NA KUCHATI NA SIMU- Inasikitisha sana Watanzania badala ya kuja kupambana kwenye maonyesho tumekuja kuuza sura na kusoma magazeti, MIMI NILIINGIA KWENYE BAADHI YA MABANDA LIKIWEMO LA SIDO, sikupata mtu wa kunipa maelezo ya nilicho kuwa na taka kisa eti anaongea na simu huko nje, HEBU FIKILIENI WAKUU

      Kwenye Mabanda ya SERIKALI NDO USISEME, wanakutazama kama umefuata misaada pale wako bize wanapiga story za siasa kwenye maonyesho badala ya kutoa elimu,

      9. Watanzania wengi kujikita kutembelea MABANDA YA BIDHAA ZA KICHINA NA ZA ANASA KAMA MABANDA YA KUUZA FANICHA ZA KICHINA, VYOMBO, MIKUFU NA KAZALIKA, na kuacha MABANDA YENYE KUTOA ELIMU NZURI KAMA YA SIDO, MAGEREZA, VETA, JKT NA KAZALIKA

      10. Bidhaa nyingi za KITANZANIA KUJIRUDIA KWENYE MABANDA MBALI MBALI- Ukichunguza kwa umakini unaweza ingia banda la SIDO ukakuta Bidhaa ambayo utaenda kuikuta hiyo hiyo Banda la WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA NA MABANDA YA ANA MKAPA NA KAZALIKA

      na utaikuta na hiyo hiyo nembo na mwenye kuuza atakomaa yeye ndo anatengeneza,

      HAPA NI KWAMBA WAONYESHAJI WENGI WANANUNUA BIADHAA NA KWENDA KUUZA PALE UWANJANI NA SI KUONYESHA UBUNIFU WAO,

      Maoni Yangu ni haya

      1. Serikari na waandaaji wapige Marufuku kuuza bidhaa mule ndani na watu wajikite katika kutangaza na kutafuta masoko,

      2. Waandaaji wahakikishe wanaoshirika wana Uelewa wa kutosha wa bidhaa wanayo onyesha na si kwenda kuuza badala ya kuonyesha

      3. Watanzania wajitahidi kuja na vitu vipya kila maonyesho na si kurudia vitu ambavyo viko mitaani mida yote, KWA MABANDA YA WATANZANIA UTAGUNDUA VITU KAMA UNGA WA LISHE, SIAGI, SABUNI, VIKOI, SHANGA, NA KAZALIKA VIKO MITAANI KWA WINGI SASA KULE WANAENDA KUONYESHA KITU GANI WAKATI BIDHAA TUNAZITUMIA MITAANI?

      MWISHO KABISA

      TUJITAHIDI SANA KUNUNUA BIDHAA ZA KITANZANIA WAKUU MAKE ZINA VIWANGO HATA KUZIDI ZA WAZUNGU TATIZO NI UBUNIFU NA MITAJI NDO TATIZO

      BIDHAA KAMA ZA

      1. VETA- Wana bidhaa za ubora wa hali ya juu kabisa

      2. JKT

      3. MAGEREZA

      4. SODO

      KAMA SISI TUSIPO NUNUA WATAPATA WAPI PESA ZA KUFANYIA INOVATON ZAIDI?
      Kivumah, The Boss, kasopa and 5 others like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      SIMBA mtoto's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th July 2011
      Posts : 62
      Rep Power : 409
      Likes Received
      11
      Likes Given
      7

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Sidhani kama yana sifa za kuitwa maonyesho ya biashara ya kimataifa, kwani washiriki wengi ni wachuuzi wa Kariakoo waliohamishia maduka yao na bidhaa zao sabasaba. Ndiyo maana shirikisho la wenye viwanda nchini Tanzania walisusia kushiriki zaidi ya miaka mitano iliyopita wakitaka maonyesho hayo yawe na hadhi ya kimataifa na siyo katika muundo wa sasa hivi wa umachinga, jambo ambalo BET wameshindwa kabisa kulitekeleza.
      Maundumula likes this.

    4. #3
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,646
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      China wamejipanga kweli kweli kutuonyesha jinsi wanavyolitaka hili soko letu
      MoneyMaker likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    5. #4
      MoneyMaker's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 18
      Rep Power : 350
      Likes Received
      6
      Likes Given
      17

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By KOMANDOO

      2. Makampuni mengi

      3. Makampuni ya Kitanzania kuonyeshaubunifu wa hali ya juu

      4. Ulinzi wa kutosha
      Mkuu KOMANDOO, kwani ubunifu wa hali ya juu ulioonyeshwa hapo kwenye namba 3 ni ubunifu wa nini?
      Am just questioning myself!

    6. #5
      MoneyMaker's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 18
      Rep Power : 350
      Likes Received
      6
      Likes Given
      17

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By Ndahani
      China wamejipanga kweli kweli kutuonyesha jinsi wanavyolitaka hili soko letu
      kweli Mkuu. iwe wana bidhaa feki au laa! kifupi, ni China hiyo hiyo inayouza bidhaa ulaya na marekani. Hawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya.

    7. Miaka 50

    8. #6
      KOMANDOO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2012
      Posts : 413
      Rep Power : 631
      Likes Received
      254
      Likes Given
      17

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Mkuu wachina wanatisha, wakati USA yuko bise na Propaganda za Vita wao wanapiga kazi tu, na hawadharau kitu, Maonyesho kama haya huwezi pata kampuni za kimarekani make zenyewe zinahudhuria ya kule south Africa tu, Ila wachina hata yakifanyika SOMALIA wao wataenda tu,

      Na jamaa wako siriasi sana na wako bise sana, INGAWA KWA SASA USA ANAJARIBU KUFANYA KILA MBINU KUMMALIZA MCHINA LAKINI ANASHINDWA, Na jitihada za hivi karibuni ni za USA kuitumia INDIA na kama mnavyo jua INDIA na CHINA haziivi freshi, na USA naitumia India ili kubalance nguvu huko ASIA, na anamtumia pia TAIWAN NA SASA PHILIPINE,

      Ila Mchina kwa sasa yeye anatafuta sana URAFIKI NA MRUSI NA WANA MPANGO WA KUUNDA UMOJA WAO WA KUJIHAMI KAMA WA NATO, Umoja ambao unaweza kuwa JIBU SAHIHI KWA USA NA WASHIRIKA WAKE
      Mazingira likes this.

    9. #7
      afrique's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Location : mwanza
      Posts : 261
      Rep Power : 399
      Likes Received
      40
      Likes Given
      8

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      wadau mmenipa shule sana hapo,sikuyajua hayo yote b4,shukrani

    10. #8
      Mazingira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st May 2009
      Posts : 1,427
      Rep Power : 793
      Likes Received
      115
      Likes Given
      387

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Yes, the Chinese are coming. Uzuri wa Wachina wakija nchini kwenu kuchukua resources zenu wanawaachia na maendeleo pia si kama hao jamaa wa west wao kazi yao ni kutufanya tuendelee kuwa maskini tu. Na mbaya zaidi wakiona unawawekea ngumu kukuibia wanawatumia waafrika wenzenu kuwashambulia kivita au kufadhili kikundi cha waasi kuleta machafuko mpigane huku wakiwaibia rasilimali zenu. Chukulia mfano wa Kongo, wamarekani wanawatumia Rwanda na Uganda kuwashambulia waafrika wenzao na kuwaibia madini yao, too sad!
      mito likes this.
      Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)

    11. #9
      Narubongo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 1,886
      Rep Power : 810
      Likes Received
      842
      Likes Given
      680

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      KOMANDOO umemaliza kila kitu, nilishawahi kujiuliza hayo maswali lkn sikupata majibu. Nane nane yale ndio maonesho yanayoleta maana halisi, huwa nawakubali sana SUA, SIDO c'se ukienda banda lao ni lazima utoke na kitu.

      Hawa wenzetu wa TBL wanafuata kuuza bia zile zile kwa bei rahisi, makampuni ya simu kila mwaka wanakwenda kuuza blackberry na kuunganisha watu na line mpya, maliasili na utalii wanakwenda kuwachosha wanyama tu na isitoshe kila mwaka wanyama ni walewale..[nashauri wapeleke vepeperushi badala ya kubeba mnyama]. Kuna watu wana maduka ya vipodozi mjini lakini nao wamo kwenye msafara

      MWISHO naunga kabisa naunga mkono hoja kwa govt kuregulate maonesho.. na si kuigeuza 77 kuwa promotion center.. washiriki watume maombi then wafanyiwe rehearsal kama wanaqualify or not. Pia kuwe na limit ya kuuza/kununua quantity ya bidhaa [mtu mmoja kununua na kujaza lorry kutoka banda moja]
      "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

    12. FJM
      #10
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,168
      Rep Power : 2567
      Likes Received
      5318
      Likes Given
      4585

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Nilishiriki mara moja tu na sikurudi tena. It was a waste of money and energy. Sijui Board inayohusika na na haya maonesho wanajua maana ya 'Trade Fair'. Si ajabu utakuta wanasafiri sana nje ya nchi lakini bado hajajifunza chochote. Haya maeonesho yangetakiwa yawe ndio chachu ya kuinua vipaji, ubunifu na pia kupanua masoko. Lakini imekuwa no mahali pa kuuza chip kuku, mabatiki kila mahali, maplastic tena. Kwa kifupi hakuna tofauti na masoko yetu ya kila siku kama kariakoo, mazenze etc.

      Nakumbuka mwaka nilioshiriki, kibanda cha jirani kilichukuliwa na kampuni toka Yemen, wamefika wakakuta hali ni tofauti kabisa na walivyozoea, hakuna umeme (ilibidi watafute fundi), kuchafu, space ndogo, walikaa kwa masaa machache na kwa hasira wakaondoka.

      Halafu kuna mgawanyo/arrangement mbaya sana. Utakuta kibanda cha sekta fulani kiko kwenye mchanginyiko wa sekta nyingine kabisa. Hakuna specialization kabisa.

      Bado tuna kazi.

    13. #11
      Kiumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 463
      Likes Received
      71
      Likes Given
      0

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Kweli nimepata somo

    14. #12
      The Boss's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th August 2009
      Location : DARESALAAM
      Posts : 18,144
      Rep Power : 21611
      Likes Received
      13481
      Likes Given
      17780

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      nilienda kwa wachina nikakuta wana mashine za ajabu wanauza
      but wabongo wako bize kununua ma dera na jeans

      kingine ni lugha i guess
      wabongo lugha tatizo
      Maundumula likes this.
      Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!

    15. #13
      KOMANDOO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2012
      Posts : 413
      Rep Power : 631
      Likes Received
      254
      Likes Given
      17

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By Narubongo
      KOMANDOO umemaliza kila kitu, nilishawahi kujiuliza hayo maswali lkn sikupata majibu. Nane nane yale ndio maonesho yanayoleta maana halisi, huwa nawakubali sana SUA, SIDO c'se ukienda banda lao ni lazima utoke na kitu.

      Hawa wenzetu wa TBL wanafuata kuuza bia zile zile kwa bei rahisi, makampuni ya simu kila mwaka wanakwenda kuuza blackberry na kuunganisha watu na line mpya, maliasili na utalii wanakwenda kuwachosha wanyama tu na isitoshe kila mwaka wanyama ni walewale..[nashauri wapeleke vepeperushi badala ya kubeba mnyama]. Kuna watu wana maduka ya vipodozi mjini lakini nao wamo kwenye msafara

      MWISHO naunga kabisa naunga mkono hoja kwa govt kuregulate maonesho.. na si kuigeuza 77 kuwa promotion center.. washiriki watume maombi then wafanyiwe rehearsal kama wanaqualify or not. Pia kuwe na limit ya kuuza/kununua quantity ya bidhaa [mtu mmoja kununua na kujaza lorry kutoka banda moja]
      Mkuu ni Kweli Yale Maonyesho hatuwezi kuyazarau kwa 100% na i hope ukienda pale huwezi kosa GOOD business Aidea pamoja na maonyesho kutawaliwa na Mananuzi kwa wingi,

      Ni kweli mashirika kama SIDO, VETA, MAGEREZA NA JKT wana fanya vizuri sana na sijui tatizo linakuja wapi, ILA NILIJARIBU KUWASHAURI MAGEREZA NA WAO WAWE NA SHOW ROOM YAO DAR NA NINA UHAKIKA WANAWEZA FUNIKA KAMPUNI ZOTE ZINAZO INGIZA FANICHA KUTOKA NJE YA NCHI,

      Tatizo Wamekuwa Maenyesho yakiisha na wao wanafunga kazi kusubiri tena maoenyesho mengine, the same kwa SIDO NA VETA,

      Na hawa Tan trade zamani BET wako kimapato zaidi ndo maana hushangai kuona makampuni ya SIMU HASA VODACOM NA AIRTEL WAKO KILA KONA NA WANA MABANDA MENGI KULIKO KAMPUNI YOYOTE ILE NA AKIJA MGENI ANAWEZA ZANI NI MAONYESHO YA KAMPUNI ZA SIMU NA KIBAYA WAMEJIKITA KWENYE KUUZA NA KUUNGANISHA
      Maundumula likes this.

    16. #14
      KOMANDOO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2012
      Posts : 413
      Rep Power : 631
      Likes Received
      254
      Likes Given
      17

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By The Boss
      nilienda kwa wachina nikakuta wana mashine za ajabu wanauza
      but wabongo wako bize kununua ma dera na jeans

      kingine ni lugha i guess
      wabongo lugha tatizo
      No mkuu Tatizo si ruga kwani hata wachina nao wanaongea kingereza cha kuunga uunga, Tatizo Liko kwa WABONGO, Yale mabanda yenye vitu vya muhimu huwezi kuta watu, ila kule wanako uza MABESENI, FANICHA, VIKOMBE NA KAZALIKA HUKO WAKO WA KUMWAGA

      Maonyesho yanapoteza maana, na si mahali pa kutafuta wabia wa biashara tena bali ni mahali pa kwenda kununua, Cheki mabanda ya Watanzania wako bise sana na kuweka lebo za bei na hakuna hata mwenye BUSINESS CARD NA WAKO BISE KWENYE KUUZA,
      The Boss likes this.

    17. #15
      KOMANDOO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2012
      Posts : 413
      Rep Power : 631
      Likes Received
      254
      Likes Given
      17

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By FJM
      Nilishiriki mara moja tu na sikurudi tena. It was a waste of money and energy. Sijui Board inayohusika na na haya maonesho wanajua maana ya 'Trade Fair'. Si ajabu utakuta wanasafiri sana nje ya nchi lakini bado hajajifunza chochote. Haya maeonesho yangetakiwa yawe ndio chachu ya kuinua vipaji, ubunifu na pia kupanua masoko. Lakini imekuwa no mahali pa kuuza chip kuku, mabatiki kila mahali, maplastic tena. Kwa kifupi hakuna tofauti na masoko yetu ya kila siku kama kariakoo, mazenze etc.

      Nakumbuka mwaka nilioshiriki, kibanda cha jirani kilichukuliwa na kampuni toka Yemen, wamefika wakakuta hali ni tofauti kabisa na walivyozoea, hakuna umeme (ilibidi watafute fundi), kuchafu, space ndogo, walikaa kwa masaa machache na kwa hasira wakaondoka.

      Halafu kuna mgawanyo/arrangement mbaya sana. Utakuta kibanda cha sekta fulani kiko kwenye mchanginyiko wa sekta nyingine kabisa. Hakuna specialization kabisa.

      Bado tuna kazi.
      Mkuu nazani Waandaaji huwa wanahongwa na haya makampuni ya BIA NA SIMU, haiwezekani watawale maonyesho kihivyo, Na sijajua huwa wanatumia vigezo gani kuwapata washiriki,

      Mimi nazani Sheria ingekuwa kwamba ni lazima waonyeshaji wa Ndani ya Nchi waonyeshe Bidhaa zinazo zalishwa Tanzania na si vinginevyo na washiriki wajikite kwenye kutafuta watu wa kufanya nao biashara wakiwemo Supplier, Agent na watu wengineo
      FJM likes this.

    18. FJM
      #16
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,168
      Rep Power : 2567
      Likes Received
      5318
      Likes Given
      4585

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By KOMANDOO
      Mkuu nazani Waandaaji huwa wanahongwa na haya makampuni ya BIA NA SIMU, haiwezekani watawale maonyesho kihivyo, Na sijajua huwa wanatumia vigezo gani kuwapata washiriki,

      Mimi nazani Sheria ingekuwa kwamba ni lazima waonyeshaji wa Ndani ya Nchi waonyeshe Bidhaa zinazo zalishwa Tanzania na si vinginevyo na washiriki wajikite kwenye kutafuta watu wa kufanya nao biashara wakiwemo Supplier, Agent na watu wengineo

      Ukweli kama hawakuangilia upya tena sabasaba, tutaishia kuwa dumping ground. Hakuna ubunifu kabisa toka Tanzania. Kuna vijana wanafanya mambo makubwa sana huku mtaani, nenda pale gerezani (dar) au hata huko mikoani kuna watu wanajitahidi sana, wizara ya viwanda na biashara wangejitahidi kuwapa fursa ya kuonesha mambo wanayofanya. Lakini huu mtindo wa kugeuza sababasa disco na kurudia taifa nyuma.

    19. #17
      Kibwebwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2012
      Posts : 279
      Rep Power : 402
      Likes Received
      30
      Likes Given
      11

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Wakuu wote mliochangia mmnifunza kitu.

    20. #18
      Masulupwete's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 15th February 2012
      Posts : 138
      Rep Power : 393
      Likes Received
      24
      Likes Given
      12

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By komandoo
      wakuu leo nimeweza kutembelea maonyesho ya kimataifa ya dar na nili chomoka kutoka arusha ili nije dar kuhudhuria angala siku moja,

      kwa kweli manonyesho ni mazuri sana, na yanavutia sana na kama yakitiliwa manani yana weza sana kuwasaidia watanzania kupiga hatua za kibiashara,

      sasa nianze na mazuri niliyo yaona kule viwanja vya sabasaba

      1. Idadi kubwa sana ya watu wanaotembelea yale mainyesho

      2. Makampuni mengi

      3. Makampuni ya kitanzania kuonyeshaubunifu wa hali ya juu

      4. Ulinzi wa kutosha

      mapungufu niliyo yaona mimi

      1. Maonyesho kugeuzwa kuwa soko au gurio, kinacho endelea pale ni mauzo kuliko manunuzi

      2. Makampuni ya tanzania kuwa machache sana na mengi kurudia rudia bidhaa za miaka miatu iliyo pita- ukiangalia kwenye mabadna karibia yote ya bidhaa za tanzania utagundua ni zile zile za miaka minne mitatu iliyo pita, it means hatuna ubunifu tena, ndo tumefikia mwisho wa kubuni

      3. Watanzania wengi wanao hudhuria maonyesho kujikita katika kununua kuliko kupata elimu- kwa kweli idadi ya wahudhuriaji wanaenda kununua na si kupata elimu, wengi wako bize kununua vyombo vya ndani na kazaila

      4. Makampuni ya kitanzania na watanzania wanaoshiriki kuonyesha bidhaa za kitanzania kujikita katika kuuza sana na si kutafuta wabia wakufanya nao biashara
      - watanzania wako bize kwenye kuuza na si kuongea na watu na kuwaachia contact ili wafanye nao biashara

      5. Maonyesho kutawaliwa na bidhaa za kichina zaidi

      haya maonyesho unaweza zania uko china make bidhaa za china ni nyingi sana kuliko za tanzania na hata nchi zingine

      6. Wachina kuwa makini sana na kilicho waleta tanzania

      wachina wao wamekuka kutafuta masoko na si kuuza na ukiingia kwenye yale mabada yao hakuna kinacho uzwa ila wako bize na madafutari yao kuchukua contact za watu ili wafanye nao biashara

      7. Swala la customer care- wachina na wahindi wako juu sana katika kuongea na wahudhuriaji na kujaribu kuwafafanulia bidhaa na huduma wanao toa

      8 watanzania customer care yetu ni kama kawaida tuko bize kusoma magazeti na kuchati na simu- inasikitisha sana watanzania badala ya kuja kupambana kwenye maonyesho tumekuja kuuza sura na kusoma magazeti, mimi niliingia kwenye baadhi ya mabanda likiwemo la sido, sikupata mtu wa kunipa maelezo ya nilicho kuwa na taka kisa eti anaongea na simu huko nje, hebu fikilieni wakuu

      kwenye mabanda ya serikali ndo usiseme, wanakutazama kama umefuata misaada pale wako bize wanapiga story za siasa kwenye maonyesho badala ya kutoa elimu,

      9. Watanzania wengi kujikita kutembelea mabanda ya bidhaa za kichina na za anasa kama mabanda ya kuuza fanicha za kichina, vyombo, mikufu na kazalika, na kuacha mabanda yenye kutoa elimu nzuri kama ya sido, magereza, veta, jkt na kazalika

      10. Bidhaa nyingi za kitanzania kujirudia kwenye mabanda mbali mbali- ukichunguza kwa umakini unaweza ingia banda la sido ukakuta bidhaa ambayo utaenda kuikuta hiyo hiyo banda la wizara ya viwanda na biashara na mabanda ya ana mkapa na kazalika

      na utaikuta na hiyo hiyo nembo na mwenye kuuza atakomaa yeye ndo anatengeneza,

      hapa ni kwamba waonyeshaji wengi wananunua biadhaa na kwenda kuuza pale uwanjani na si kuonyesha ubunifu wao,

      maoni yangu ni haya

      1. Serikari na waandaaji wapige marufuku kuuza bidhaa mule ndani na watu wajikite katika kutangaza na kutafuta masoko,

      2. Waandaaji wahakikishe wanaoshirika wana uelewa wa kutosha wa bidhaa wanayo onyesha na si kwenda kuuza badala ya kuonyesha

      3. Watanzania wajitahidi kuja na vitu vipya kila maonyesho na si kurudia vitu ambavyo viko mitaani mida yote, kwa mabanda ya watanzania utagundua vitu kama unga wa lishe, siagi, sabuni, vikoi, shanga, na kazalika viko mitaani kwa wingi sasa kule wanaenda kuonyesha kitu gani wakati bidhaa tunazitumia mitaani?

      mwisho kabisa

      tujitahidi sana kununua bidhaa za kitanzania wakuu make zina viwango hata kuzidi za wazungu tatizo ni ubunifu na mitaji ndo tatizo

      bidhaa kama za

      1. Veta- wana bidhaa za ubora wa hali ya juu kabisa

      2. Jkt

      3. Magereza

      4. Sodo

      kama sisi tusipo nunua watapata wapi pesa za kufanyia inovaton zaidi?
      customer service ni tatizo kwa ofc nyingi hapa tz. Mimi yalinikuta nilipotembelea pspf,watoa ushauri wa masuala ya uzazi na uuzaji wa mipira ya kondom (nimewasahau jina) na benki inaitwa mkombozi.sense ya kuwa mteja ni mfalme haipo kabisa.mtu unaingia wao wanakuangalia tu kama sanamu!

    21. #19
      mito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th June 2011
      Posts : 1,031
      Rep Power : 607
      Likes Received
      434
      Likes Given
      1328

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Tena mabanda ya serikali ndo hovyo kabisa, customer care sifuri, aliyewekwa mwenyewe hana uelewa wa kutosha na vilivyomo kwenye banda lake. Utakuta wako bize na simu, kusoma magazeti na kusubiri masaa yaende waingize posho yao. Ukichunguza zaidi utakuta wanawekana kwa kujuana.

      Maonyesho hayo yamegeuzwa kuwa mahala pa kuuzia kwa sababu wafanyabiashara wanatake advantage ya loopholes zinazofumbiwa macho na serikali. Hivi mnajua kwamba bidhaa zote za kwenye maonyesho hayo zinaingizwa bila kulipiwa ushuru kwa kisingizio kwamba wanakuja kuonyesha tu na siyo kuuza! Sasa wao wanatumia hiyo nafasi kuingiza bidhaa lukuki na kuishia kuziuza huku serikali yetu isiyokuwa makini imekaa kimya na kuangalia tu huku ikipoteza mapato
      Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu!

    22. #20
      Mazingira's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st May 2009
      Posts : 1,427
      Rep Power : 793
      Likes Received
      115
      Likes Given
      387

      Default Re: Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

      Quote By KOMANDOO
      No mkuu Tatizo si ruga kwani hata wachina nao wanaongea kingereza cha kuunga uunga, Tatizo Liko kwa WABONGO, Yale mabanda yenye vitu vya muhimu huwezi kuta watu, ila kule wanako uza MABESENI, FANICHA, VIKOMBE NA KAZALIKA HUKO WAKO WA KUMWAGA

      Maonyesho yanapoteza maana, na si mahali pa kutafuta wabia wa biashara tena bali ni mahali pa kwenda kununua, Cheki mabanda ya Watanzania wako bise sana na kuweka lebo za bei na hakuna hata mwenye BUSINESS CARD NA WAKO BISE KWENYE KUUZA,
      Mkuu hili halikwepeki kwani wengi wa waenda 77 ni watu wa kipato kidogo ambao huenda huko kutafuta bidhaa za kutumia majumbani mwao zinazouzwa kwa bei rahisi. Kumbuka pia waandaaji lengo lao kubwa ni kukusanya pesa wazotumia kwa mwaka mzima hivyo hawawezi watu kuuza bidhaa maana watakuwa wamepunguza idadi ya wahudhuriaji. Hiyo ndo Bongo mkuu.
      Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...