Salaam jukwani hapa Uchumi na Biashara!
Inawezekana kulipia ankara za Makampuni ya nishati na Maji kwa fedha za kigeni? Kampuni hizi ni za umma wa Tanzania.
Salaam jukwani hapa Uchumi na Biashara!
Inawezekana kulipia ankara za Makampuni ya nishati na Maji kwa fedha za kigeni? Kampuni hizi ni za umma wa Tanzania.
Tanzania kwa sasa hatuna tena sarafu yetu.
BOT dhaifu ndiyo kiini cha kuporomoka kwa sarafu yetu, na kuifanya sarafu ya Marekani kutumika ndani ya soko la ndani.
BOT act 2006 - Ipo bubu, sijaona mahali inapoeleza ni sarafu gani inatakiwa kutumika hapa nchini. Nadhani ni wakati muafaka kwa wabunge wetu kulifanyia kazi.
http://www.bot-tz.org/AboutBOT/BOTAct2006.pdf
Follow Us Here