Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kampuni za mafuta KUGOMA sasa na hawa sijui wamehongwa wagome?

    Report Post
    Results 1 to 12 of 12
    1. #1
      mirindimo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd November 2009
      Posts : 248
      Rep Power : 534
      Likes Received
      57
      Likes Given
      12

      Default Kampuni za mafuta KUGOMA sasa na hawa sijui wamehongwa wagome?

      Baadhi ya kampuni za mafuta zimetishia kugoma iwapo hatua hazitachukuliwa kurekebisha mpango wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja ambao umebainika kukumbwa na dosari ya kuwa na mafuta yaliyochakachuliwa.

      Uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni hizo kuona hakuna hatua zilizochukuliwa ili kurekebisha dosari ya kuingizwa nchini mafuta yaliyochakachuliwa na ambayo yalisababisha kuyumba kwa biashara hiyo.

      Mapema mwezi huu, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), ilikiri kuwa shehena ya mafuta yaliyoingizwa nchini mwanzoni mwa mwaka huu ilikuwa imechakachuliwa.

      Juni 5, mwaka huu Ewura ilimwandikia Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kutaribu Uagizaji Mafuta, PIC (T) Ltd, kueleza kuwa mafuta yaliyoingizwa nchini katika kipindi cha Januari na Machi, mwaka huu yalikuwa yamechakachukuliwa kutokana na kuwa na ethanol kwa wingi.

      Barua hiyo ambayo NIPASHE inayo nakala yake inaonyesha kwamba baada ya mafuta hayo kupelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali, ilibainika kwamba katika sampuli 11 zilizopelekwa, 10 zilikutwa mafuta yana ethanol nyingi kwa kiwango ambacho hakikubaliki hata katika vigezo vya Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

      “Kutokana na unyeti na umuhimu wa biashara ya mafuta, mamlaka inataka kupata mipango yako na jinsi ya kushughulikia suala hilo,” ilifafanua barua hiyo ya Ewura.

      Uamuzi huo wa Ewura ndiyo umefanya baadhi ya wafanyabiashara kuona kuwa suala hilo linaendeshwa kisiasa bila kujali maslahi yao, hivyo kutishia uhai wao.

      “Mamlaka imekiri kuwa mafuta yaliyoingizwa nchini kipindi hicho yalikuwa yamechakachuliwa, kwa nini hatua zisichukuliwe na badala yake wahusika wanalindwa na kuombwa watoe maoni...tunakwenda wapi katika biashara ya mafuta,” alisema.


      CHANZO: NIPASHE


    2. Study Abroad

    3. #2
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,645
      Rep Power : 4015
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Are you sure jamaa wanataka kugoma?
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    4. #3
      cement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2012
      Location : Tanganyika-Dar es salaam
      Posts : 438
      Rep Power : 442
      Likes Received
      152
      Likes Given
      172

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Kweli saa ukombozi inakaribia!

    5. #4
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,388
      Rep Power : 1264
      Likes Received
      1206
      Likes Given
      1253

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      hii nchi serikali inachakachua wananchi wake..na yenyewe nayo inachakachuliwa yaani tabu tupu

    6. #5
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Yaani kila mahali hakufai,tbs sasa wanapima nini,wao wenyewe hawana viwango

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Emma.'s Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2012
      Posts : 823
      Rep Power : 511
      Likes Received
      101
      Likes Given
      0

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Maisha yanazidi kupanda serikali inahusika 99.9% tunaelekea wapi

    9. #7
      mirindimo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd November 2009
      Posts : 248
      Rep Power : 534
      Likes Received
      57
      Likes Given
      12

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Quote By ndahani
      are you sure jamaa wanataka kugoma?
      unataka nikujibu....? Kaulize ewura wanavyohaha.....hivi hujui kua ccm imechemsha na inachefua sana sasa hivi......wanakazana kuua watu na kunyanyasa wananchi...............

    10. #8
      amkawewe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 747
      Rep Power : 525
      Likes Received
      119
      Likes Given
      534

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Uchakachuzi kila sehemu, hii ni balaa

    11. #9
      ndetichia's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Mwime - Buswangili
      Posts : 18,154
      Rep Power : 5091
      Likes Received
      2760
      Likes Given
      231

      Default

      Quote By mirindimo
      Baadhi ya kampuni za mafuta zimetishia kugoma iwapo hatua hazitachukuliwa kurekebisha mpango wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja ambao umebainika kukumbwa na dosari ya kuwa na mafuta yaliyochakachuliwa.

      Uamuzi huo umefikiwa baada ya kampuni hizo kuona hakuna hatua zilizochukuliwa ili kurekebisha dosari ya kuingizwa nchini mafuta yaliyochakachuliwa na ambayo yalisababisha kuyumba kwa biashara hiyo...


      Tatizo watazungukana mbele ya safari..

    12. #10
      Blood Hurricane's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st June 2012
      Posts : 242
      Rep Power : 396
      Likes Received
      75
      Likes Given
      2

      Default Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Wagome tu. Nchi hii bila kugoma hakuna kinachoenda wala nini.

    13. #11
      BakarBakar's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1
      Likes Given
      2

      Cool Re: Kampuni za mafuta KUGOMA....sasa na hawa sijui wamehongwa wagome???????????????????????? ????

      Kwa mtondo huu wa kugomagoma kila kukicha tutafika mahala tutawagomea wake zetu kwa mambo ya ndani tu.

    14. #12
      FemaraFe's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 17th April 2012
      Location : Kenya
      Posts : 8
      Rep Power : 358
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default nolvadex

      comprar nolvadex espana es un contra-estrogeno no-esteroida que inhibe eficazmente los receptors de estrogeno en los organos tratados y los tumores que estos incorporan.

      nolvadex comprar comprar es un contra-estrogeno no-esteroida que inhibe eficazmente los receptors de estrogeno en los organos tratados y los tumores que estos incorporan.

      El mecanismo de su accion no ha sido completamente investigado aunque se sabe que la combinacion del Nolvadex con el receptor y el cofactor si tiene lugar y que se transfiere al nucleo celular previniendo la hipertrofia de las celulas que dependen de la regulacion por lado del estrogeno.

    15. Miaka 50

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...