Kiwanda cha kuzalisha ice cream kama za bakhresa ni dola 400,000.
Lambalamba ni laki 4. Hizi za kunyonya kwenye vifuko vya plastic mtaji elfu 40. Wewe unataka kipi fafanua..Mfano Ice cream ngapi per day?,ni aina ngapi za ice cream unataka kuzitengeneza?malighafi zako ni zipi? Distribution network yako Je una mtaji kiasi gani? umeipangaje? Please fafanua tukupe majibu unayotaka

hapo nilipo bold,ndio hela/mtaji alioanzia??........embu changanua,vitu gani vinahitajika vyenye gharama hio...mtu mwenye mtaji mdogo hawezi kuanza hio business baadae akapanua ?
sarah6, hongera sana kwa nia yako.
sijawahi fanya hii biashara ila nimeifikiria sana na bado ipo kwenye mikakati yangu.
nina imani ukiwa na tshs 5m - 10m unaweza kuanza. afrika kusini zipo mashine za
ice cream (ukiwa na usd 2500 unawezapata mashine nzuri tu).
kama mfanya biashara mdogo basi eneo la biashara ni muhimu sana. ukipata
karibu na kituo kikubwa cha mabasi, karibu na shule za sekondari au chuo itakusaidia sana.
aidha ukifungua hiyo biashara mikoa yenye joto mwaka mzima ni bora kuliko mikoa ambayo
kuna miezi kuna baridi kali mfano mbeya, arusha, iringa n.k. (miezi ya baridi utapoteza biashara).
nakutakia mafanikio mema. mimi nipo njiani.
“Unless power is legitimate there can be no social order“ P. F. Drucker
Follow Us Here