deleted by sss
deleted by sss
Last edited by sumasuma; 5th March 2013 at 01:14.
mkuu
1000,000 ???? ..... hii figure ielewekeje ndugu yangu
Riba ni asilimia ngapi kwanza?
hiyo ni milion moja yaani 1,000,000/= kuhusu riba piga namba zilizowekwa hapo juu, wapo watu watakujibu.mimi nimetoa taarifa tu,mkuu.
vipi issue ya dhamana... je ni lazima uwe na dhamana?
“You can get a thousand "no's" from people, and only one "yes" from God.”
suala la dhamana au kama unataka kukopa zaidi ya 1,000,000/= wasiliana na wahusika kwa kupiga simu namba zilizowekwa hapo juu na majbu utapata.
Sasa hapo ndio unapotia shaka. Kwanini usu seme tu riba ni kiasi gani. Naelewa kuna benki zingine huwa wanaweka riba zao kutokana na mkopaji mwenyewe. kuna uaminifu zaidi basi riba ndigo, benki za ulaya hivyo, sasa sijui huko bongo. Lakini kiurahisi kama unafahamu kuhusu huo mkopo basi lazima utafahamu riba. approximately
acheni utapeli jamani..
Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.
WIZI MTUPU,
second DECI
deleted by janga
Last edited by Jangakuu; 2nd March 2013 at 20:37.
Thnx bwana mkubwa, ngoja tupige simu,
ngoja nipige, nitaleta mrejesho
Mi nafanya biashara ya mkaa,,nina lesseni, ninahitaji 1,300,000
...Feedback tafadhali, Kuna aliyepata mkopo mpaka sasa??
Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!
Kwakuwa aliyekopa shilingi 500,000 atalipa shillingi 540,000 na aliyekopa 1,000,000 atalipa 1,400,000 basi inaonyesha riba ni asilimia 40%.
Lakini wakopaji wakieleza muda wa marejesho basi ndo tutajua ria hiyo ni ya mwaka au mwezi .
Follow Us Here