Wana jf. Wadau narudi kwenu kwa mara nyingine bt this time nikiwa more organized. International commercial bank tunatoa mikopo mikubwa kuanzia mil 100 na kuendelea endapo tuu utakua na vigezo vyote vya muhimu...ambavyo ni.
1. Title Deed na iwepo ndani ya dsm.
2. Financial statements zinazojitosheleza za miaka mitatu nyuma.
3. Bank statements iliyoshiba ya mwaka 1 nyuma.
Mengine yanawezekana....Call 0756 517 588 anytime bt uwe umequalify. Thanx.

Reply With Quote

Follow Us Here