Nimesikia tangazo la Nashera hotel clouds fm kwa mara ya kwanza kunani? Malima kaua soko nini la hii hotel?
Nawasilisha.
Nimesikia tangazo la Nashera hotel clouds fm kwa mara ya kwanza kunani? Malima kaua soko nini la hii hotel?
Nawasilisha.
Mbona wanarusha matangazo yao tangu mwaka jana mwishoni.
matangazo yao yapo tangu mwaka jana
....Time is the wisest counselor!!!
King kooooooooooooooooooooooooooooo ooooooooooooo
“The more you know, the more you realize how much you don't know — the less you know, the more you think you know.”
Nimefika hapo nashera, rums zinavutia na mandhari nzuri hasa jioni
Nashera ni hoteli ya nani?
jamani achen majungu, hotel inatangazwa kabla ya ishu ya malima mimi na familia yangu 2likwenda xmas kwa kuwa tulisikia tangazo redioni na tulipelekwa kuona wanyama mbugani..king kong jarib t kuwa great thinker
responses very good! )
Mmmmmh!
Follow Us Here