| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1160
|
||||||||||||
| The Following User Says Thank You to Exaud J. Makyao For This Useful Post: | ||
Emma M. (6th December 2009) | ||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
What are you trying to suggest? Do you mean the rich do not pay these taxes or they pay less because they are rich? Who are main contributors to government coffers, Businesses or the poor? Mkuu au nawe umeingia kwenye mtego wa wanasiasa uchwara. Uliza vizuri TRA nani ni walipakodi wakubwa then bring your arguments. Kwa ufupi the poor are not even able to pay taxes, how can they pay more than those who can.?? Do you know???
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Nafikiri mwenzetu anaongelea zaidi milingano mizima ya mahesabu ya uwiano. Ni kama katika ile hadithi ya kwenye kitabu cha dini, ambapo mama mjane alitoa kisenti kidogo tu kama zaka wakati mafarisayo wakatoa pesa nyingi, nabii akauliza, katika hawa aliyetoa zaidi ni nani? Ikaja gundulika yule aliyetoa kisenti kidogo ndiye aliyetoa zaidi kwa sababu alitoa senti yake ya ngama, wakati wale waliotoa hela nyingi walitoa walizosaza. Inawezekana matajiri wanalipa pesa nyingi sana kama kodi, lakini hizo pesa ni kiasi kidogo sana cha kipato chao. Wakati huo huo ukiangalia masikini, ukijumlisha kodi zote wanazolipa unakuta wanalipa asilimia kubwa zaidi ya kipato chao katika kodi. Kwa ujumla matajiri wana mbinu nyingi za kuepuka kulipa kodi na masikini wanavunjwa moyo na umasikini wao au hawajui hata kujaribu kutumia misamaha ya kodi wanayoweza kuitumia kisheria. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ukitaka kulinganisha ulipaji wa kodi na mlipaji huwezi kuangalia tu kiasi. Unahitaji kujua tofauti ya kiasi cha kodi na uwiano wa ulipaji. Mfano, Mtu mwenye shilingi millioni kumi akitozwa shilingi laki moja na mtu mmwenye shilingi elfu tano akitozwa shilingi mia tano aliyetozwa zaidi ni yule wa elifu tano. Suala lako la TRA na vinginevyo halibadilishi ukweli. Usipige mahesabu ya kisiasa, piga hesabu za kiuchumi mkuu. |
| The Following User Says Thank You to Exaud J. Makyao For This Useful Post: | ||
Emma M. (6th December 2009) | ||
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hakuna ubishi. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
BL, Exaud etc,
Kilam mmoja wenu anaweza kuwa sahihi kwa namna moja au nyingine! Kwanza kabisa naomba kabla ya kuchangia hii kitu, tutofautishe aina za kodi hapa, then kwa kila moja tuangalie kundi lipi (matajiri na masikini or walaji wa mwisho) ambalo huchangia zaidi kodi kwa taifa. Kuna makundi makubwa mawili ya kodi nayo ni; a) Direct taxes b) Indirect taxes Direct taxes ni kodi ambazo burden yake hubebwa moja kwa moja na mtu anaye lipa kodi husika. Mfano wa kodi hizo ni kama, kodi ya makampuni (corporate tax), kodi za zuio (withholding taxes), kodi zitokanazo na ajira (employment taxes e.g PAYE AS YOU EARN -PAYE), kodi kutoka kwenye investments etc. Kwa aina hizi za kodi, kadiri mtu anavyopata kipato kikubwa ndivyo anavyo changia kodi kubwa zaidi, kwa kuwa zote ziko based on asilimia fulani ya pato lako au faida yako. Hivyo, ukiangalia aina hii ya kodi watu wa kipato cha juu, wanalipa zaidi ya wale wa kipato cha chini...Mfano, katika sheria ya kodi ya mapato Mwaka 2004, (ITA 2004), kama wewe umeajiriwa na unapata mshahara pamoja na marupurupu mengine yasiyo zidi Tshs 100,000...hutakiwi kulipa kodi kabisa, wakati wanaopata kiwangu kikubwa zaidi ha hiki, hutakiwa kulipa kodi, ingawa nao wanasamehewa laki moja ya kwanza! au kama unakodisha nyumba unatakiwa kulipa 10% ya rent kama kodi ya zuio, hivyo kadiri mtu anavyopata rental income kubwa ndivyo atakavyochangia zaidi! Indirect taxes hizi ni kodi ambazo burden yake humpata mlaji wa mwisho.....sasa hapa mlaji wa mwisho si lazima awe masikini! mfano wa kodi hizi ni kama, VAT, Stamp duty, exercise duty, import duty etc. Sasa tuchukilie mfano wa mfanyabiashara (company or sole propriator) say anauza nguo ambazo kaziingiza toka nje ya nchi. Huyu bwana, akimport hutakiwa kulipa VAT (20%), Import duty (25%) etc hizo kwake anazifanya kama gharama za bidhaa (nguo) alizo agiza, so bei yake ya piece moja ya nguo itatake into account kodi hizo, kama yupo registered kwa VAT kwa mfano, atakapo uza nguo zake kwa mfano anatakiwa kucharge VAT tena ya 20% (hii si gharama yake) kwa mnunuzi wa mwisho anayeenda kuvaa nguo husika.....! mnunuzi wa mwisho hana kwa kuidamp hiyo VAT, so final consumer ndiye mlipaji halisi wa INDIRECT TAXES. Lakini, ukichukulia the fact that, wafanyabiashara kama consumers wa bidhaa na huduma mbalimbali, burden ya kodi hii nao huipata wanapo kuwa wanaincur expenses for private purposes (not for business). Hivyo, burden ya indirect tax ukilinganisha Business vs individual consumers / final consumers ndio walipa kodi wakubwa sana, lakini ukija kuangalia the fact that hata hao business people ni consumers in one way or another, utaona ulipaji kodi kwa ni mkubwa kuliko low income earners kwa sababu, high income earners ndio maspender wakubwa sana and the higher you sepend the higher you pay tax! Hayo ndio maoni yangu! Need more?
__________________
“Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning - GLORIA STEINEM. |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
a) Aina ya kodi unayozungumzia hapa b) Definition yako ya POOR PEOPLE See my comments above
__________________
“Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning - GLORIA STEINEM. Last edited by Next Level; 4th February 2009 at 01:57 PM.. |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||
|
Next Level:
Tatizo langu kubwa ni kwamba wafanyabiashara/matajiri wanalipa kodi baada ya kupata faida baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Hivyo basi mambo yao yooote ya matumizi au gharama zao za maisha (kibiashara) pia ni gharama za biashara. Lakini huyu mnyonge/mfanyakazi anapolipa PAYE etc hawamuulizi matumizi yake ni kiasi gani ili wakate kile kinachobakia, huwa anakatwa kodi hata kabla hajashika hiyo hela. Kwa maana hiyo maskini ndio wanaolipa kodi kubwa (relatively to their incomes).
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:19 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||