Business & Economic ForumThis' a place where contributors with an interest in business or economics can "meet" and discuss issues of importance to the business and economics matters. Register to comment here!
Generally poor people are more taxed.
The tax systems contribute directly to peoples' poor conditions.
When basic human needs like foods, fuel and soft drinks are taxed,
the effect go directly to the poor class.
How can poor people be rescued from these killing taxes?
Last edited by Exaud J. Makyao; 26th June 2009 at 08:06 PM..
Nafikiri ,nasema nafikiri, mtoa hoja alikuwa akimfananisha mtu masikini kwa maana ya mtu mwenye kipato kidogo kulinganisha na makundi mengine katika jamii.
Mtu wa aina hii atakuwa mkulima mdogo kabisa(subsistence peasant), na katika kundi hili wanaingia zaidi ya waTanzania 95%
Suala la kodi kwa kweli ni subjective from ones point of view.Mtu mdogo,masikini analipa kodi zote kutokana na kuwa yeye ni end user.Kwa kulinganisha tu mfanya biashara ana njia nyingi sana za si tu kutolipa kodi shihi lakini hata kuikwepa kabisa, kibiashara.
Hapa tunaenda sawa sasa, ila nataka nikusahihishe kitu kimoja mtu mdogo (end user) kodi inayo mwathili yeye pekee ni Indirect taxes, hizo ndizo anazo rundikiwa kama, VAT, stamp duty, excise duty etc. Direct taxes, end user hazimdhulu kabisa!
__________________ “Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning - GLORIA STEINEM.
Last edited by Next Level; 19th February 2009 at 02:40 PM..
Hapa tunaenda sawa sasa, ila nataka nikusahihishe kitu kimoja mtu mdogo (end user) kodi inayo mwathili yeye pekee ni Indirect taxes, hizo ndizo anazo rundikiwa kama, VAT, stamp duty, exercise duty ect. Direct taxes, end user hazimdhulu kabisa!
Sawa sawa kabisa mkuu lakini kodi ni kodi tu iwe ya Jiji, Direct or Indirect Tax,zote zinaenda kwa Pilato.

Now you are talking man!
Cheers
__________________ “Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning - GLORIA STEINEM.
My 2 cents is that the poor isnt being taxed the most, the problem is that when everyone is paying the same amount of taxes for everything, the poor suffer the most. If me being poor go into the store and buy the same thing a rich person is, we are both paying the same amount of taxes. The effect it will have on me being poor is greater than the well to do person. Even when we poor buy houses, no matter how much i make at work, my property tax is still the same as the rich person who owns houses in my neighborhood. What needs to happen is tax brackets for what people have to pay. If my property tax could come down, i would feel more relief. But since i pay the same as the rest, i suffer. Now what i really need is some suggestions on how to get rich. I wouldnt care how much tax am paying so long as i can afford it. Hehehehehe
robin
__________________
ITS NOT WHAT YOU KNOW, ITS WHAT YOU CAN PROVE.
Next Level, nadhani umetoa elimu ya kutosha, na aliye mada alitaka kutuletea siasa za ujamaa na kujitegemea na kusema eti ukimiliki kampuni wewe ni myonyaji au the recent fashionable name FISADI. Mimi nimeshaishi miaka ile ya kuitana majina and I am fed up! Mtu anayefanya boashara aachukua risk kubwa sana na pia anacontribute immensely to the coffers of the governmnet. Na ni kodi zetu zinazolipia ujenzi wa shule, mabarabara na huduma zingine muhimu. Ni kodi zetu ambazo zinafujwa ovyo na wanasiasa na wafanyakazi wabovu wa BOT (si wafanyakazi - I hate generalizing).
Sasa kulalamikia indirect tax naomba nirudie alichoeleza Next level, as long as you consume you all pay indirect taxes.
Jamani badilisheni mawazo na go and work, employ yourself, be an enterprenuer, badala ya kukaa na kusema oooh, matajiri, oooh mafisadi etc. Mi niko tayari kutoa ushauri kwa mtu kama anataka kuanzisha biashara yao, na nimeshakuwa mentor to a number of young people, lakini kukaa kulalamika will never get you far! We love to admire people like Bill Gates, lakini angekuwa mtanzania tungekuwa tumeshamwita fisadi! Just kwa sababu anafanikiwa kibiashara!
__________________
"It is said that power corrupts, but actually it's more true that power attracts the corruptible." - David Brin
Next Level, nadhani umetoa elimu ya kutosha, na aliye mada alitaka kutuletea siasa za ujamaa na kujitegemea na kusema eti ukimiliki kampuni wewe ni myonyaji au the recent fashionable name FISADI. Mimi nimeshaishi miaka ile ya kuitana majina and I am fed up! Mtu anayefanya boashara aachukua risk kubwa sana na pia anacontribute immensely to the coffers of the governmnet. Na ni kodi zetu zinazolipia ujenzi wa shule, mabarabara na huduma zingine muhimu. Ni kodi zetu ambazo zinafujwa ovyo na wanasiasa na wafanyakazi wabovu wa BOT (si wafanyakazi - I hate generalizing).
Sasa kulalamikia indirect tax naomba nirudie alichoeleza Next level, as long as you consume you all pay indirect taxes.
Jamani badilisheni mawazo na go and work, employ yourself, be an enterprenuer, badala ya kukaa na kusema oooh, matajiri, oooh mafisadi etc. Mi niko tayari kutoa ushauri kwa mtu kama anataka kuanzisha biashara yao, na nimeshakuwa mentor to a number of young people, lakini kukaa kulalamika will never get you far! We love to admire people like Bill Gates, lakini angekuwa mtanzania tungekuwa tumeshamwita fisadi! Just kwa sababu anafanikiwa kibiashara!
Thanks man,
Unajua wabongo wakati mwingine hatupendi kuambiwa ukweli na pia tunatamaa ya mafanikio lakini hatutaki kabisa kupitia njia ya ''mateso'' i.e we just want to see good end, but don't think about the means to good end!
Thanks again for helping out on cementing my point!
Cheers man!
__________________ “Without leaps of imagination, or dreaming, we lose the excitement of possibilities. Dreaming, after all, is a form of planning - GLORIA STEINEM.
Nadhani umerukia mada bila kufikiri sawa sawa.
Ukitaka kulinganisha ulipaji wa kodi na mlipaji huwezi kuangalia tu kiasi.
Unahitaji kujua tofauti ya kiasi cha kodi na uwiano wa ulipaji.
Mfano,
Mtu mwenye shilingi millioni kumi akitozwa shilingi laki moja na mtu mmwenye shilingi elfu tano akitozwa shilingi mia tano aliyetozwa zaidi ni yule wa elifu tano.
Suala lako la TRA na vinginevyo halibadilishi ukweli.
Usipige mahesabu ya kisiasa, piga hesabu za kiuchumi mkuu.
Kwa hiyo wewe unataka watu wawe wanaadhibiwa kwa kupata mafanikio ya kifedha?
Kama Tax ni 10% hauoni mtu aliyetengeneza 100Mil anachangia Taifa kuliko mtu alitengeneza 1Mil? Sasa kwa nini Tax rate yake iongezwe zaidi ya hapo?
__________________ “Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Next Level, nadhani umetoa elimu ya kutosha, na aliye mada alitaka kutuletea siasa za ujamaa na kujitegemea na kusema eti ukimiliki kampuni wewe ni myonyaji au the recent fashionable name FISADI. Mimi nimeshaishi miaka ile ya kuitana majina and I am fed up! Mtu anayefanya boashara aachukua risk kubwa sana na pia anacontribute immensely to the coffers of the governmnet. Na ni kodi zetu zinazolipia ujenzi wa shule, mabarabara na huduma zingine muhimu. Ni kodi zetu ambazo zinafujwa ovyo na wanasiasa na wafanyakazi wabovu wa BOT (si wafanyakazi - I hate generalizing).
Sasa kulalamikia indirect tax naomba nirudie alichoeleza Next level, as long as you consume you all pay indirect taxes.
Jamani badilisheni mawazo na go and work, employ yourself, be an enterprenuer, badala ya kukaa na kusema oooh, matajiri, oooh mafisadi etc. Mi niko tayari kutoa ushauri kwa mtu kama anataka kuanzisha biashara yao, na nimeshakuwa mentor to a number of young people, lakini kukaa kulalamika will never get you far! We love to admire people like Bill Gates, lakini angekuwa mtanzania tungekuwa tumeshamwita fisadi! Just kwa sababu anafanikiwa kibiashara!
Well presented!Wengi wetu tuna mentality za kuwachukulia watu waliofanikiwa kama maadui na kuwabandika majina...hii ni tabia chafu.Kila mtu ana matatizo yake na kama kuna mtu amevunja sheria ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.
Kuna katabia ka kuwachukia wafanya biashara ambako kalianza enzi za mwalimu kuondoka vichwani mwetu inashindikana.Inabidi kufanya mageuzi ya fikra ...
__________________ SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT.
MI naamini EXAUD kuna kitu anataka kutufafanulia.Kwenye maswala ya kodi,nadhani MTUMIAJI WA ILE BIDHAA,ambae ni LAST CONSUMER kwa kingereza ndiiye mlipa kodi HALISI.sasa the last consumer can be ANYBODY,be it rich or poor.kinachosumbua hapa ni kwamba last consumers wengi ni masikini,yaani wavuja jasho na kiukweli ndio walipa kodi wengi.
Swala la TUFANYEJE,dah!ngumu sana baba.labda items nyingi zinazotumiwa na wavuja jasho zipewe EXEMPTION ya tax