Hello wadau!
Ninaomba kwa mtu yeyote mwenye idea na masuala ya picha(photo studio) ani-PM AU tuwasiliane kupitia [email protected],Ninahitaji ushauri wa kitaalamu.please,naomba msaada wenu tafadhali!!
Natanguliza shukurani za dhati kwenu.

pangu pakavu: vipi umefikia wapi na Business idea?
CDM wasipokuwa makini, watawapokea fisi ngomani badala ya binadamu- by Collezione
Follow Us Here