Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha - Page 5 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Business & Economic Forum


Business & Economic Forum This' a place where contributors with an interest in business or economics can "meet" and discuss issues of importance to the business and economics matters. Register to comment here!


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 19th November 2008, 11:36 AM  
Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha
Alnadaby Alnadaby is online now 19th November 2008, 11:36 AM

Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana uwezo wa kifedha,wanajiamini na wanaendesha shughuli zao vizuri.
Sasa labda hapa ni kutafuta sababu za hawa wasomi kuwa watu wa vitabu,data,laptop,kuendesha semina n.k lakini wakawa dhaifu inapofika suala la kutajirika,kuwa na mamlaka na kujiamini.
Mfano ni fundi viatu wa miaka ya sitini Said Salim Bakhressa maarufu kwa ice cream na bidhaa tofauti hapa nchini.AU hata Billy Gates..aliyekimbia shule akiwa grade 10...na sasa ni mmoja ya matajiri wakubwa duniani.List yao ni ndefu...kina Ford..n.k.

Je ni kitu gani cha ziada ambacho wasiokuwa na elimu ya juu...walichonacho hadi wakafanikiwa katika malengo yao,ambacho hakipatikani kwa wenye Phd..n.k?
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT.

Alnadaby
JF Senior Expert Member
Points: 154,166, Level: 100 Points: 154,166, Level: 100 Points: 154,166, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
Join Date: Thu Sep 2006
Posts: 463
Thanks: 1
Thanked 2 Times in 1 Post
Views: 1629
Reply With Quote
  #41  
Old 24th November 2008, 03:38 PM
Kweli's Avatar
Kweli Kweli is offline
Kweli has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 119,562, Level: 100 Points: 119,562, Level: 100 Points: 119,562, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Sat Jul 2007
Location: Planet Earth
Posts: 514
Thanks: 122
Thanked 106 Times in 76 Posts
Rep Power: 24
Kweli will become famous soon enoughKweli will become famous soon enoughKweli will become famous soon enoughKweli will become famous soon enoughKweli will become famous soon enoughKweli will become famous soon enoughKweli will become famous soon enoughKweli will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

Quote:
View Post
Consultants wengi wanachukua mshiko mzuri sana, so sidhani kama ni sawa kuwalabel kuwa hawajasucced.
Pia watu tunaona hao waliosucced by taking risk lakini hatuoni wote waliofeli
"According to the U.S. Small Business Administration, over 50% of
small businesses fail in the first year and 95% fail within the first
five years.? "

Mkuu,ningependa kuchangia tu kwamba hizi takwimu ni kwa vigezo vya nchi zilizoendelea, biashara ya Tanzania ina nafasi zaidi ya ku-survive kuliko ya Marekani, endapo tu itakuwa imeandaliwa na kuzingatia kanuni za kufanikiwa kibiashara, kuna tofauti nyingi baina ya kuendesha small business marekani na Bongo, In general muundo wa kibiashara ni mmoja in term of vitu muhimu kama business plans, marketing stratergy,cashflow models nk, similarity zinakomea hapo, kwani ukija katika 'market control' na 'actual cashflow' hapo ndipo inapokuja tofauti kubwa, mfano:
1. Small business owner wa Tz wengi wao mara nyingi wanaanzia kwa kumiliki 'Business Capital' wakati wale wa nchi ziloendelea kama USA wengi huanzia kwa kuchukua personal loans ama business loans kwa wale wajanja zaidi, hali ambayo inachangia kufanya faida iwe chache due to monthly repayments na interest.
2. Mfanyabiashara wa Tz mara nyingi anakuwa ameshalipia 'in advance' business premises kwa at least 6 months rent/lease ama atakuwa anamiliki hiyo sehemu, kama atakuwa amekodi hii kodi mara nyingi inatoka mfukoni katika jumla ya mtaji.
3.Makato ya tax , Insurance contribution yako juu kwa nchi zilizoendelea.
4. Labour na professional services difference, mshahara utaomlipa msaidizi wa kazi na book-keeper/accountant ni nafuu kwa Tanzania kulinganisha na Marekani.
5. Business Competition iko weak Tanzania kulinganisha na nchi kama Marekani, kama utakuwa hodari katika assessing market trend and market predictions una nafasi kubwa ya kufanikiwa Tanzania.
Ukiangalia gharama za ku-run small bussiness Marekani si vigumu kubaini kwa nini 95% zinakufa kabla hazijasimama.
Sijui takwimu za small business zikoje Tanzania lakini naamini ziko less than 95% failure kutokana na sababu hizo apo.
Reply With Quote
  #42  
Old 24th November 2008, 04:32 PM
Alnadaby Alnadaby is online now
Alnadaby has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 154,166, Level: 100 Points: 154,166, Level: 100 Points: 154,166, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Thu Sep 2006
Posts: 463
Thanks: 1
Thanked 2 Times in 1 Post
Rep Power: 24
Alnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

kuna kila sababu ya kuiependa na kuienzi JF maana nafaidika na taarifa kama hizi.kuna tofauti kati ya small business in the US na hapa Bongo.
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT.
Reply With Quote
  #43  
Old 24th November 2008, 06:42 PM
Kang's Avatar
Kang Kang is online now
Kang has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 266,921, Level: 100 Points: 266,921, Level: 100 Points: 266,921, Level: 100
Activity: 8% Activity: 8% Activity: 8%
 
Join Date: Tue Jun 2008
Posts: 1,352
Thanks: 0
Thanked 109 Times in 75 Posts
Rep Power: 24
Kang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enoughKang will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

Of course tofauti ni kubwa bongo na U.S ila statistics za bongo hakuna.
Pia success stories alizozitaja nyingi ni za U.S, Ford, Gates e.t.c nilichokua nasema ni kwamba lazima tuangalie na upande wa pili sio kila mtu anayechukua risk anapata mafanikio.
__________________
“Society is like a stew. If you don't stir it up every once in a while then a layer of scum floats to the top.”
Reply With Quote
  #44  
Old 1st December 2008, 07:37 PM
Mbozi Mbozi is offline
Mbozi mpenda nchi
Junior Member
Points: 59,581, Level: 100 Points: 59,581, Level: 100 Points: 59,581, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Nov 2008
Posts: 6
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Mbozi will become famous soon enoughMbozi will become famous soon enoughMbozi will become famous soon enoughMbozi will become famous soon enoughMbozi will become famous soon enoughMbozi will become famous soon enoughMbozi will become famous soon enoughMbozi will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

Quote:
View Post
Mimi nadhani kabla sijaandika sana jaribu kuitafakari signature yangu kisha nitarudi na maelezo kidogo tu yanayoendana na hiyo slogan chini.

Angalia signature yako vizuri mzee.Maisha sio tu ku'take risk' bali ni ku 'take' CALCULATED RISK.
Reply With Quote
  #45  
Old 1st December 2008, 08:46 PM
Bubu Msemaovyo's Avatar
Bubu Msemaovyo Bubu Msemaovyo is offline
Bubu Msemaovyo a psychologist
JF Senior Expert Member
Points: 352,922, Level: 100 Points: 352,922, Level: 100 Points: 352,922, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed May 2007
Location: All around the World
Posts: 895
Thanks: 0
Thanked 3 Times in 3 Posts
Rep Power: 24
Bubu Msemaovyo will become famous soon enoughBubu Msemaovyo will become famous soon enoughBubu Msemaovyo will become famous soon enoughBubu Msemaovyo will become famous soon enoughBubu Msemaovyo will become famous soon enoughBubu Msemaovyo will become famous soon enoughBubu Msemaovyo will become famous soon enoughBubu Msemaovyo will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

Quote:
View Post
Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana uwezo wa kifedha,wanajiamini na wanaendesha shughuli zao vizuri.
Sasa labda hapa ni kutafuta sababu za hawa wasomi kuwa watu wa vitabu,data,laptop,kuendesha semina n.k lakini wakawa dhaifu inapofika suala la kutajirika,kuwa na mamlaka na kujiamini.
Mfano ni fundi viatu wa miaka ya sitini Said Salim Bakhressa maarufu kwa ice cream na bidhaa tofauti hapa nchini.AU hata Billy Gates..aliyekimbia shule akiwa grade 10...na sasa ni mmoja ya matajiri wakubwa duniani.List yao ni ndefu...kina Ford..n.k.

Je ni kitu gani cha ziada ambacho wasiokuwa na elimu ya juu...walichonacho hadi wakafanikiwa katika malengo yao,ambacho hakipatikani kwa wenye Phd..n.k?
Once you think you have nothing and you want to have you start struggling to get it. That is where your dreams come true. But once you have something and you thing that is your weapon incase you need to use it at a time you want to, you become relactant, time goes and you at the end come to realize you are too old to start afresh. Asiye na elimu huwa tayari kufanya kazi yoyote na kufanikiwa bali mwenye elimu hudonoa donoa kazi ipi impe jina, siyo pesa.
__________________
"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." Nelson Mandela
Reply With Quote
  #46  
Old 2nd December 2008, 02:52 PM
herikujua herikujua is offline
herikujua has no status.
Member
Points: 63,743, Level: 100 Points: 63,743, Level: 100 Points: 63,743, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Tue Dec 2008
Posts: 11
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
herikujua will become famous soon enoughherikujua will become famous soon enoughherikujua will become famous soon enoughherikujua will become famous soon enoughherikujua will become famous soon enoughherikujua will become famous soon enoughherikujua will become famous soon enoughherikujua will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

I think it will be good for us especially in a country like Tanzania to be specific when we talk of success, I would prefer to talk of success stories which inspires, which can be told to show to the young and also the daring that there with hard work, determination and constancy of purpose...much can be achieved, and this will be good if it shows what sort of life that particular person leads or led. This might not necessarily mean a lot of wealth...a PhD as the only goal...It might be being a farmer and being able to educate your children...being able to move from a mud brick house to a burnt brick house etc...naomba kuwakilisha
Reply With Quote
  #47  
Old 2nd December 2008, 03:19 PM
Himawari's Avatar
Himawari Himawari is offline
Himawari has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 82,861, Level: 100 Points: 82,861, Level: 100 Points: 82,861, Level: 100
Activity: 1% Activity: 1% Activity: 1%
 
Join Date: Thu Aug 2008
Location: Nippon
Posts: 352
Thanks: 9
Thanked 9 Times in 6 Posts
Rep Power: 22
Himawari will become famous soon enoughHimawari will become famous soon enoughHimawari will become famous soon enoughHimawari will become famous soon enoughHimawari will become famous soon enoughHimawari will become famous soon enoughHimawari will become famous soon enoughHimawari will become famous soon enough
Send a message via Yahoo to Himawari
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

Quote:
View Post
Natafuta ni kitu gani kilichomfanya mtu kama Henry Ford wa kwanza kufanikiwa katika kutengeneza gari na hadi kufikia karne hii magari ya Ford yakawa bado yapo


Udadisi mkuu....

.Jamii imtambue isimtambue kama kafanikiwa au la...yale magari yake ndiyo yanayodhirisha kufaulu kwake katika maisha yake na ndiyo yanayomfanya awe successiful na kutambulika baadaye kwa jamii.Achievement yake ilikuja kutambulika na jamii baadaya ya yeye binafsi ku triumph.

Kuweka malengo ya kupata ajira ya mshahara wa laki mbili,hayo hayakuwa malengo halisi bali simple wish.Lengo halisi ni kuwa na burning desire ili kupata mafanikioa in a life time si temporary wish kama hiyo ya mshahara.

Hilo la Nyerere kuwa successiful man..mimi silitambui.Success inaanzia nyumbani kwenye level ya family.Cheki familia yake utajua naotaka kusema nini.Nyerere as a man was never successiful.Alitaka kujenga Taifa la kiujamaa...where is that?Kama Rais hakuwa successiful kabisa!Mimi nataka kujua kwa nini Professor Machunda hakujenga hata kibanda...cha maana huko Ukerewe lakini mtu kama Mwita Gachuma ni tajiri mkubwa.Education ya Machunda ilikuwa na maana gani?


Hivi kwani kusoma sana ndio inamaanisha pia kufanikiwa sana kimaisha?

Je kuwa na elimu ya juu kama PhD ndio kuelimika?
Reply With Quote
  #48  
Old 2nd December 2008, 03:46 PM
Alnadaby Alnadaby is online now
Alnadaby has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 154,166, Level: 100 Points: 154,166, Level: 100 Points: 154,166, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Thu Sep 2006
Posts: 463
Thanks: 1
Thanked 2 Times in 1 Post
Rep Power: 24
Alnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enoughAlnadaby will become famous soon enough
Default Re: Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katka maisha

Quote:
View Post
[/B][/COLOR]

Hivi kwani kusoma sana ndio inamaanisha pia kufanikiwa sana kimaisha?

Je kuwa na elimu ya juu kama PhD ndio kuelimika?
Mimi nadhani mtu kufanikiwa kuna kitu zaidi ya elimu,ndiyo sababu ya kutoa mfano wa hayati Machunda na tajiri Mwita Gachuma.

Kusoma sana kunamwezesha mtu kujua mambo mengi lakini hebu angalia katika miji yetu na vijiji vyetu utashangaa kuona kuwa wengi waliofanikiwa ni wale waliotumia muda mfupi darasani.

Hii haihitaji hata kufanya research kwa sababu iko wazi kabisa.
__________________
SUCCESS USUALLY COMES TO THOSE WHO ARE TOO BUSY TO BE LOOKING FOR IT.
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
gani, katka, kinamfikisha, kitu, kwenye, maisha, mtu, ufanisi


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Kashfa ya Richmond: The FACTS FairPlayer Celebrities Forum 1354 12th March 2010 01:37 PM
* ~ * Irena Wangu * ~ * Mzee Mwanakijiji Jukwaa la Lugha 25 1st March 2010 12:41 PM
Your opinion please! Bubu Ataka Kusema Habari na Hoja mchanganyiko 4 11th June 2008 01:29 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 07:22 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com