Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

    Report Post
    Page 5 of 12 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 223
    1. #1
      massai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2011
      Posts : 625
      Rep Power : 532
      Likes Received
      109
      Likes Given
      2

      Default Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

      Inaskitisha sana kuona hujuma za waziwazi zinazofanywa na mafisadi kuhujumu juhudi binafsi za wazawa katika shughuli nzima za kimaendeleo kama kinachoendelea kwenye mabasi ya Dar Express.

      Angalizo kwa hujuma anyofanyiwa mmiliki wa hayo magari ni kuwa watu wanaelewa kuwa ni mchezo mbaya anafanyiwa huyo bwana na anaefanya hayo yatajulikana tu kwani kaskazini watu huku wanachukia majungu kuliko kitu chochote kile,hayo magari yenu mmnayoleta mtapanda wenyewe na familia zenu.

    2. Miaka 50

    3. #81
      masssaiboi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2009
      Posts : 472
      Rep Power : 617
      Likes Received
      47
      Likes Given
      15

      Default

      Quote By dwight
      Sijaelewa malalamiko yako,maana hujui kujieleza
      Hajui kuandika kiswahili!!!!!!!!!!!!!!!!!

    4. #82
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,644
      Rep Power : 11270
      Likes Received
      1462
      Likes Given
      570

      Default

      Quote By masssaiboi
      Hajui kuandika kiswahili!!!!!!!!!!!!!!!!!
      Mwambie atupe tafsiri ya lugha Baba yake Ama Mamaye! Wengine inaweza ikawa ni makalimani wazuri tu!

    5. #83
      mfianchi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Location : Likulufusi
      Posts : 3,564
      Rep Power : 1219
      Likes Received
      578
      Likes Given
      1189

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Jamani watu hutumia simu kupost issues zao kwenye mtandao sasa si mnajua hizi simu zetu hasa hizi za touch screen ambazo hazina viandikio utakuta ubabonyeza W badala ya E ,kwa hiyo kukosea ni kama kawa
      MFUNGWA HACHAGUI GEREZA

    6. #84
      flora msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : under a coconut tree
      Posts : 4,120
      Rep Power : 1258
      Likes Received
      499
      Likes Given
      371

      Default

      Quote By liverpoolfc
      mkubwa!
      Yani humu ndani tuna raia ambao ni mizigo flu!
      Na kwa kuwa tupo nao hakika tuenende na hivi hivi bila shaka wanaweza elimika hapo mbeleni.

      Ama vipi tutamwomba mods aangalie hili upya!

      Happy new year 2012!
      what d'u mean!?
      Umetumia kipimo
      gan kumuona mtu
      mwingine ni mzigo!?
      How far are you sure
      ur perfect?!
      Kila mtu anatoa maon yake yale yanayokufaa yafanyie kazi yasiyokufaa yapotezee!!!

      Toa boriti jichon mwako ndipo uone kibanz jichon mwa mwenzioa!!!!!

    7. #85
      Mrembo by Nature's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2011
      Location : Ullentoppen
      Posts : 2,325
      Rep Power : 8895
      Likes Received
      1201
      Likes Given
      1402

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Quote By Rocket
      mleta mada kashindwa kufikisha ujumbe wake,pili bado kiswahili kinampa shida kuandika.
      Wewe usichoelewa nini hapo? ukiona huelewi ujue wewe kichwa nazi

    8. FemaTV & Radio

    9. #86
      babu M's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2010
      Location : Tanga
      Posts : 1,414
      Rep Power : 812
      Likes Received
      202
      Likes Given
      307

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Naomba unisaidie haya maswali:
      1. Huduma za mabasi mengine zikoje?
      2. Je huduma zao(Dar express) zilikuwa nzuri kipindi cha nyuma?

    10. #87
      Maprosoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2010
      Location : Sinza/Dar es salaam
      Posts : 2,380
      Rep Power : 1009
      Likes Received
      263
      Likes Given
      57

      Default

      Quote By Sina Nyama
      Tatizo hujui hata unasema nini...familia yangu inahusika moja kwa moja na hiyo kampuni..Filisika?? Unacheza kweli....
      Pesa ni maua!! Acha upuuzi ww usifikiri huyo na DR EXPRSS na vibasi vyake atashindwa kufilisika,anaweza kufilisika vile vile, wamefilisika wakina NJIWA atashindwa yeye.

    11. #88
      Maprosoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2010
      Location : Sinza/Dar es salaam
      Posts : 2,380
      Rep Power : 1009
      Likes Received
      263
      Likes Given
      57

      Default

      Quote By Gama
      Ndugu yangu, mtoa mada hajatia juhudi kutupa ushahidi wa Dar express kufilisika, hii haimuhusu cos ametumwa na wale mafisadi wanaonyemelea northern circuit, waache waje, sisi wateja twamjua mtoa huduma.
      Hakuna aliye2mwa mkuu ni kweli DR EXPRSS huduma zao ni mbovu hasa vile vidada vinanyofanya kazi kw kukatia tiketi vinaongea nyodo halafu vina dharau mbhaaya,mimi nilikua msafiri mzuri sana wa hayo mabasi ila tokea siku hiyo niende kukata tiketi pale ubungo nimefika namuongelesha kidada kimoja chenyewe ndio kwanza kinaendelea kuandika sms kwnye simu!! nahisi yule mzee anakula vifanyakazi vyake. miye nimehamia KLM ........ Halafu nikujulishe 2 northern zoze hajaikamata DR EXPRSS peke yake kuna mabasi yanayotoa huduma nzuri zaidi y huyo DR EXPRSS so sioni sababu ya kusema kwamba anapigwa majungu!!

    12. #89
      dwight's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 286
      Rep Power : 490
      Likes Received
      20
      Likes Given
      3

      Default

      Ujumbe hauwezi kufika kama lugha iliyotumika si fasaha.
      Hivyo tumia lugha sanifu usijifanye mkal wakati umekosea.
      Quote By Jethro



      Nimekulia kanda ya ziwa (Mwanza) msijifanye sana ni wachambuzi wa lugha humu ndani mbona watu wa india kusema we wao wana sema vi na huko Jber south africa rrrrrr ni nyingi sana mbona wamasai wanachanganya wewe jari ujumbe kufioka na sio kuchunguza lugha wewe kama huja kutana na janga kama hilo kaaa kimya kabisa.

      Kasumba ya mtanzania kujifanya kukosoa lugha tujali ujumbe umefika au

    13. #90
      dwight's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 286
      Rep Power : 490
      Likes Received
      20
      Likes Given
      3

      Default

      Kichwa nazi tena mbovu ni wewe shabiki,watu wengi hatujaelewa.
      Quote By Mrembo by Nature
      Wewe usichoelewa nini hapo? ukiona huelewi ujue wewe kichwa nazi

    14. #91
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,883
      Rep Power : 24131
      Likes Received
      4612
      Likes Given
      2624

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Hii ni moja ya kampuni kongwe kabisa ya usafiri nadhani wao na HOOD ndio wako toka 1980. Si mara nyingi kampuni za mabasi kudumu kama hizi. nadhani mtoa mada ni mtu wa kutumwa na DAR LUX BUS SERVICE ambayo tuliijadili kitambo hapa.

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    15. #92
      Mtoboasiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th August 2009
      Location : Am at Large!
      Posts : 3,598
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1153
      Likes Given
      745

      Default

      Quote By Jethro



      Mkuu mimi sio ***** unajaua eeeh ? T 255 BLC Dar express imeingia Arusha saaa 3 usiku uliza pale standi ya Dar expresss Dreva alivyo washiwa moto na abiria na kule chalinze kulitokea niniulizeni OCD wapale Chalinze leo issue ya Dar express msiongeee kwani mimi ndie nilikuwa kwa basi najua kiliochotokea chote kama bus halitoi huduma nzuri tuwe wawazi na huyo Neema mtoto wa mwenye bus nitampa zake kesho asubuhi na mtazisikia kwa Radio kesho. Dar expresss imekuwa sanya sanya njiani.

      Hawa Huduma imekwisha hakuna cha sikukuu wala nini tukubali kuwa watanzania esp wafanya biashara tuna tamaa sana hatujui nini maana ya kutoa huduma bali twajali pesa tuuu na sio kutoa service. Dar expresss imechoka wajirekebishe wasilazimishe biashara kama mabasi hawana.

      Penye ukweli tuwe wawazi. kama kampuni fulani haifanyi vyema tunaiweka wazi humu tuache ushabiki me husafiri sana njianai huko ila kama bus limefika hatua haliwezi tioa namaba ya bus mpaka siku unayotaka ondoka ndio wapewa namba ya bus ni utapeli huo. hapa hatuna chuki binafsi bali twaelezana ukweli tuu live bila chenga.

      DAR EXPRESS SERVICE ZAO NI POOR wabadilike huo ndio ukweli waaandishi wa habari hojini wasafili

      SUMATRA nanyi hamjui mnalo fanya ni kubebana tu huko na matajiri ni njaaaaaa huko Arusha hawapendi fake fake mtakuja umbuka. Muuwaulize waudumu wa hilo bus tajwa husika kuna mama mmoja katukana matusi mbaya kuanzia dreva mpaka waudumu hapo standi yao Arusha mpaka waka gwaya


      Mimi hoja yako siioni. Una"raramikia" kubadilishiwa gari? Ingekuwa umepewa tiketi na ukakosa kusafiri ningeelewa. Kama unaamini wana mabasi machache mbona waliweza kukupa "alternative bus" na ukasafiri? Basi kufika saa 3 usiku inaweza kutokea once in a while, na ni jambo la kawaida kama kweli wewe ni msafiri wa mara kwa mara utalijua hilo
      Hakuna kampuni duniani itakayokwepa magari yake kuharibika au kuchelewa mara moja moja.

      "Mararamiko" yako hayana mantiki unless unapigia debe mtu au watu wanaohangaishwa na ushindani wa Dar Express.

    16. #93
      ghumpi's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th November 2009
      Posts : 188
      Rep Power : 521
      Likes Received
      8
      Likes Given
      33

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Kiswahili jamani Kiswahili!!! hizi shule za academy zinatuharibia watoto. Hivi kweli R na L zina sauti moja kweli?? utaona mtu anasema "Kufirisika", mwingine naye anauliza at alisafiri "Mala" Ngapi"" we beeed to go back to school. Lol
      If you are planning for one year, plant rice. If your planning for ten years, plant trees. If you are doing it for a lifetime, educate a person.

    17. #94
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,883
      Rep Power : 24131
      Likes Received
      4612
      Likes Given
      2624

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Quote By Jethro



      Nimekulia kanda ya ziwa (Mwanza) msijifanye sana ni wachambuzi wa lugha humu ndani mbona watu wa india kusema we wao wana sema vi na huko Jber south africa rrrrrr ni nyingi sana mbona wamasai wanachanganya wewe jari ujumbe kufioka na sio kuchunguza lugha wewe kama huja kutana na janga kama hilo kaaa kimya kabisa.

      Kasumba ya mtanzania kujifanya kukosoa lugha tujali ujumbe umefika au
      Usiwe mbishi kaka KULA si sawa na KURA

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te


    18. RR
      #95
      RR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2007
      Location : Close
      Posts : 5,601
      Rep Power : 1743
      Likes Received
      1017
      Likes Given
      481

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Quote By Ngongo
      Mkuu RR sijaelewa umeandika nini "kuraramika" kiswahili cha wapi unashindwa kuandika kulalamika ? kama hiyo haitoshi umerudia tena makosa yale yale "mala ngapi" unashindwa kuandika mara ngapi ?.Tafadhali usituharibie lugha yetu adhimu.
      Read mzee...soma sentensi yangu vizuri....

      Quote By Mchaga
      Hahaha...dalili za jazba maana kwake matumizi ya L na R ni kiboko
      Umenielewa....

      Quote By Ricardo Damiano
      hili tatzo la heruf 'l' badala ya 'r' litaisha lini?
      Umakini wa kuandika.....sina shida na kuongea (labda ni beyond repair)

      Quote By andare
      laia kama hawa ndio mabingwa wa kuraramika wakati hata gali renyewe langi zake hazijui.
      Hahaaaa....

      Quote By Blaki Womani
      msome mtoa mada utajua nani kaharibu kiswahili
      Sawa BW.....(mzima weye?)


      Quote By Jethro



      Nimekulia kanda ya ziwa (Mwanza) msijifanye sana ni wachambuzi wa lugha humu ndani mbona watu wa india kusema we wao wana sema vi na huko Jber south africa rrrrrr ni nyingi sana mbona wamasai wanachanganya wewe jari ujumbe kufioka na sio kuchunguza lugha wewe kama huja kutana na janga kama hilo kaaa kimya kabisa.

      Kasumba ya mtanzania kujifanya kukosoa lugha tujali ujumbe umefika au
      Mkuu ni vema kukubali makosa na ujirekebishe...sidhani kama kanda ya ziwa ndio inayokufanya uchanganye 'r" na 'l'....ingekua ni kuongea ningekubali kwamba umeathiriwa na lugha mama (japo unachanganya).....sioni uhusiano wa kukosea kuchapa (kwa vidole) na utamkaji....ni umakini tu unakosa.... (btw: wahindi ama wamasai kukosea haikupi uhalali wa wewe kukosea).
      Jambo lingine hujapangilia vizuri hoja zako.....tulia panga!


      Heri ya mwaka mpya wadau......
      Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!

    19. #96
      Mzee wa Rula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Posts : 6,361
      Rep Power : 12708
      Likes Received
      2188
      Likes Given
      1819

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Nami nichukue fursa hii kuchangia thread hii,
      Ni kweli magari ya Dar Express huduma zake zimepungua, sana na kutoridhisha. Sitapenda kuongelea kiushabiki kwa sababu sifaidiki na chochote kama watu wakipanda au wasipopanda magari hayo.

      Magari hayo ukiyaangalia hata kwa nje yana muonekano mbaya, jana nilikuwa stand kumpokea mgeni stand ya Dar Express karibu magari yote matatu yaliyokuwepo pale vioo vya dereva ni kama vilikuwa vimeng'oka na kuungwa kienyeji enyeji! Nikajiuliza magari kama haya yanapoharibika ina maana yanapelekwa garaji zisizo na kiwango, hivyo nikatilia shaka hata SERVICES ya magari hayo. Hii inathibitishwa na kuharibika kwa magari ya Dar Express njiani mara kwa mara.

      Usafi na huduma kwa ujumla hazikidhi haja, wameanza kuwa kama mabasi ya Ngorika yanavyofanya au Happy Nation!!! Wahudumu wake hawapo seriously na huduma ni kama wanafanyia mazoea na watu walisha claim ukitaka kuja Arusha ni usafiri ni Dar Express. Kwa huduma inazotoa Dar Express saizi naanza kuifananisha na iliyokuwa Scandinavia ilipozidiwa na wateja ikaanza kuvurunda!!!

      Chiluba likes this.


    20. #97
      Mtoboasiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th August 2009
      Location : Am at Large!
      Posts : 3,598
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1153
      Likes Given
      745

      Default

      Quote By RR
      Read mzee...soma sentensi yangu vizuri....



      Umenielewa....



      Umakini wa kuandika.....sina shida na kuongea (labda ni beyond repair)



      Hahaaaa....



      Sawa BW.....(mzima weye?)




      Mkuu ni vema kukubali makosa na ujirekebishe...sidhani kama kanda ya ziwa ndio inayokufanya uchanganye 'r" na 'l'....ingekua ni kuongea ningekubali kwamba umeathiriwa na lugha mama (japo unachanganya).....sioni uhusiano wa kukosea kuchapa (kwa vidole) na utamkaji....ni umakini tu unakosa.... (btw: wahindi ama wamasai kukosea haikupi uhalali wa wewe kukosea).
      Jambo lingine hujapangilia vizuri hoja zako.....tulia panga!


      Heri ywa mwaka mpya wadau......

      Pamoja na ushauri wako mzuri kwake, tatizo halipo kwenye kupangilia hoja na lugha tu, hoja yake si hoja. Utamwitaje mtu tapeli wakati amekupa huduma uliyoilipia? Kama uliambiwa utasafiri na gari X lakini muda wa kusafiri ukaambiwa ingia gari Y lenye sifa ile ile utakuwa umetapeliwa nini?

    21. #98
      Bobby's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2008
      Posts : 712
      Rep Power : 722
      Likes Received
      128
      Likes Given
      356

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Quote By Sina Nyama
      Tatizo hujui hata unasema nini...familia yangu inahusika moja kwa moja na hiyo kampuni..Filisika?? Unacheza kweli....
      Then kwa atitude hii kama familia yako inahusika moja kwa moja then mtafilisika kweli. Kwanini usiichukue hii kama positive challenge? Ni kweli usiopingika kama kweli tunataka kuwa fair kwamba huduma za Dar Express za say 3 years ago na sasa haziko sawa, zimeporomoka hasa. Sasa whether hili limetokea kwa makampuni mengine pia mimi sijui ninachojua ni kwamba huduma zenu (kama unasema ukweli) zimeshuka chini. Of course sikubaliani kwa kiwango fulani na mtoa mada, mfano neno kufilisika limetumika ndivyo sivyo, ni kama vile kuua sisimizi kwa bunduki. Lakini mapungufu yake ya mawasiliano likiwemo matumizi ya R na L yangewekwa kando na tujudge content kitu ambacho ndicho kinacho matter zaidi.

    22. #99
      Baba_Enock's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Location : Bunju "B"
      Posts : 5,812
      Rep Power : 1898
      Likes Received
      1155
      Likes Given
      964

      Default Re: Dar express bus kuanza kufirisika !!!!!!!

      Quote By RR
      Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?
      kulalamika <> kuraramika!
      kusafili <> kusafiri!

      Habari ya Taaarime?
      Ad Majorem Dei Gloriam - "For the greater glory of God"

    23. #100
      Mtoboasiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th August 2009
      Location : Am at Large!
      Posts : 3,598
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1153
      Likes Given
      745

      Default

      Quote By Mzee wa Rula
      Nami nichukue fursa hii kuchangia thread hii,
      Ni kweli magari ya Dar Express huduma zake zimepungua, sana na kutoridhisha. Sitapenda kuongelea kiushabiki kwa sababu sifaidiki na chochote kama watu wakipanda au wasipopanda magari hayo.

      Magari hayo ukiyaangalia hata kwa nje yana muonekano mbaya, jana nilikuwa stand kumpokea mgeni stand ya Dar Express karibu magari yote matatu yaliyokuwepo pale vioo vya dereva ni kama vilikuwa vimeng'oka na kuungwa kienyeji enyeji! Nikajiuliza magari kama haya yanapoharibika ina maana yanapelekwa garaji zisizo na kiwango, hivyo nikatilia shaka hata SERVICES ya magari hayo. Hii inathibitishwa na kuharibika kwa magari ya Dar Express njiani mara kwa mara.

      Usafi na huduma kwa ujumla hazikidhi haja, wameanza kuwa kama mabasi ya Ngorika yanavyofanya au Happy Nation!!! Wahudumu wake hawapo seriously na huduma ni kama wanafanyia mazoea na watu walisha claim ukitaka kuja Arusha ni usafiri ni Dar Express. Kwa huduma inazotoa Dar Express saizi naanza kuifananisha na iliyokuwa Scandinavia ilipozidiwa na wateja ikaanza kuvurunda!!!

      Mzee wa Rula, ukijiuliza maswali wewe mwenyewe juu ya issue inayomhusu a third party na ukayatafutia majibu wewe mwenyewe almost always utakuwa na wrong conclusions.
      Kama wewe mimi sina personal interest na kampuni ya Dar Express, ila kwa kuwa nasafiri nao mara kwa mara ninaweza kukujibu. Wana mabasi brands tatu, Scania, Iriza na Mercedes Benz. Zile Scania Marco Polo karibu zote vioo vyake vime crack, na kwa kuwa magari karibu yote ya brand hiyo yana tatizo hilo hilo ni wazi kuwa ni defects toka kwa watengenezaji (kumbuka Dar Express huagiza at least mabasi 10 kwa wakati mmoja). Bahati mbaya kampuni inayotengeneza magari ya Scania (Saab) imekuwa na matatizo makubwa kiasi cha kusimamisha operations. Dar Express wamelazimika kutoa special order ya kutengenezewa vioo kuvibadilisha hivyo vibovu maana havipatikani nchini wala mahali popote pengine.

      Magari yao ni under guarantee, kwa hiyo kusema wanapeleka gereji za uchochoroni si sahihi. Halafu sidhani kuwa "muonekano" mbaya wa gari ni tatizo, labda uniambie performance maana muonekano mbaya kwako waweza kuwa mzuri kwa Bujibuji, Sikonge na kadhalika na kadhalika.

      Heri ya mwaka mpya!

    24. Study Abroad
    Page 5 of 12 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    Similar Topics

    1. T 814 BGZ Kilimanjaro Express
      By dropingcoco in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 37
      Last Post: 30th April 2011, 12:16
    2. how do you express your love
      By TIMING in forum JF Chit-Chat
      Replies: 2
      Last Post: 14th March 2011, 16:49
    3. Basi la dar express lawaka moto
      By cream.b in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 21st December 2010, 14:16

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...