Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: USHAURI: Ununuaji wa magari...

    Report Post
    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast
    Results 161 to 180 of 193
    1. #1
      libaba PM's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th November 2009
      Posts : 102
      Rep Power : 502
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default USHAURI: Ununuaji wa magari...

      nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, unamagari yanayoonekana ni mazuri kwa Picha, lakini kwakua uelewa wangu juu ya biashara hii ya magari ni mdogo, naomba wenye ufahamu mnisaidie.

      Je Toyota Opa ni gari ambayo haisumbui spares..
      Je inaugonjwa wowote wakudumu ?
      wao wamesema Bei ni FOB US$ 2,200/=

      JE MPAKA IKIFIKA HAPA DAR KWA UZOEFU WENU KWA MAKADIRIO ITANIPASA NIWE NA KIASI CHA TSH NGAPI ? Baadhi ya taarifa ni hizi.

      Year / Month2001/12
      Odometer38,000 km
      Displacement1,800 cc
      Steering Right
      Transmission Automatic
      Fuel Gasoline/Petrol
      Model codeTA-ZCT10
      cerengeti likes this.
      tuendako ni kugumu, tumia kura yako kama turufu kuwashinda mafisadi nchi hii, amani na utulivu isikufanye ushidwe kujipigania, hakuna kulala mpaka kieleweke amka Tanzania

    2. Miaka 50

    3. #161
      Original's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2012
      Posts : 324
      Rep Power : 426
      Likes Received
      66
      Likes Given
      265

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      jamani nimepata gari nataka kuwapelekea wazazi wangu Tanzania, ni toyota carina ya 1997, petrol, manual, 1.8L
      Nimeinunua kwa $750 na shiping cost ni $1000 mpaka dar. Tafadhali naombeni kama kuna mjuzi anayeweza kunipa gharama za utoaji wa gari hilo hapo bandarini kabla ya kulituma. Asanteni kwa msaada wenu.

    4. #162
      sithole's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 13th March 2012
      Posts : 171
      Rep Power : 396
      Likes Received
      50
      Likes Given
      30

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Gari la mwaka 1997 mkuu ukifika huku bongo utapigwa uchakavu hadi ushangae!pia mdau kama unataka kuwachukulia wazaz wako gari why uwachukulie mkweche?ingekua ni wewe ungelichukua hilo la 1997?kumbuka gari kuu kuu kwa mafundi kila siku,mara pump,mara gear haziingii,Y usiwachukulie hata Vitz ya mwaka 2004?wanaendesha hadi wanasahau kuna cha fundi wala nini!

      Huo ni mtazamo wangu tuu lakini!ila kwa hilo la 1997 kodi jiandae kupigwa 5m plus
      Tausi Mzalendo likes this.

    5. #163
      yutong's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2011
      Posts : 1,345
      Rep Power : 683
      Likes Received
      239
      Likes Given
      96

      Default Msaada: Makdirio ya Kodi kwa Toyota Caldina 2003

      Habari zenu wataalamu? Aisee natarajia kununua Gari aina ya Toyota Caldina ya mwaka 2003 na bei yake kwa mujibu wa Autorec Japan (CIF) ni USD 5,570.

      Naomba msaada jinsi ya kukalculate kodi kwa gari hiyo ili nione kama naweza kuagiza ama la kulingana na mfuko wangu. Na pia kama ushauri utakuwepo kuhusu gari hiyo.
      sambu likes this.
      Sign of Victory - R. Kelly

    6. #164
      howard's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st February 2011
      Posts : 172
      Rep Power : 451
      Likes Received
      21
      Likes Given
      12

      Default Re: Msaada: Makdirio ya Kodi kwa Toyota Caldina 2003

      ingia kwenye mtandao wa TRA upate RSP ya hiyo gari caldina then ingiza kwenye calculator yao ikupe CIF VALUe ACCORDING TO tra then ingia hapa fanya calculation:
      Imported non-utilityvehicles with engine capacity between 1000-1500 cc. The computation of dutiesand taxes will be based on the applicable rates as follows:

      -Import duty………………………………………… 25%
      -Excise duty on cubiccapacity…………………… 5%
      -Excise duty on age……………….. …………… 20%
      -VAT………………………………….……………… 18%

      Imported non-utility vehicles with engine capacity over 1500cc . The computation of duties and taxes will be based on the applicable ratesas follows:

      -Import duty………………………………………… 25%
      -Excise duty on cubiccapacity…………………… 10%
      -Excise duty on age……………….. …………… 20%
      -VAT………………………………….……………… 18%
      yutong likes this.

    7. #165
      mzee wa busara's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th August 2011
      Posts : 68
      Rep Power : 406
      Likes Received
      9
      Likes Given
      1

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      mkuu ingia kwenye website ya TRA kuna formula ya GARI YANGU itkupa kodi unayotakiwa kulipa,kwa haraka haraka kwa hiyo gari ulioagiza andaa kama 3M ama kodi tu,

    8. FemaTV & Radio

    9. #166
      wa kupuliza's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 50
      Rep Power : 359
      Likes Received
      4
      Likes Given
      3

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      jinsi ya tra wanavyo calculate gharama za gari yako
      1.wanaangalia hyo gar wkt ikiwa mpya bei yake ilikuwa n kiac gan times(zidisha) kwa 40%(depreciation calculation) mfano hyo opal ya mwaka 2001 ikiwa mpya gharama yake n $30000 then wanazidisha kwa 40%($40000*40%)=$16000
      2.then unachukua 0.25*$16000=$4000(c
      3ka gari then imetengenezwa zaidi ya miaka 10 nyuma inachajiwa 20%(dumping fees) 20%*16000=$3200
      then jumlsha hzo cost zote $16000+$4000+$3200=$23200
      4.then chukua 0.18 zidisha kwa hyo jumla ya gharama 0.18*23200=$4176
      so $4176 ndo itakuwa chaji ya tra,samahanini ka maelezo yamekuwa marefu n sabab nmetumia kiswahil ili watu wote waelewe

    10. #167
      OMANORYX's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th September 2012
      Posts : 21
      Rep Power : 341
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

    11. #168
      kasopa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Posts : 276
      Rep Power : 498
      Likes Received
      39
      Likes Given
      99

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Mkuu hivi Oman kuna raithend au niya lefti hend. na kwanini usituwekee bei zake hapa mfano mimi nahitaji GMC dieseli injin turbochar V8 milango miwili ntaipata kwa bei gani
      A POSITIVE THINKER SEES OPPORTUNITIES IN EVERY DIFFICULTY BUT
      A NEGATIV THINKER SEES DIFFICULTIES IN EVERY OPPORTUNITY"

    12. #169
      Tausi Mzalendo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd May 2010
      Location : Solomon Island
      Posts : 1,456
      Rep Power : 887
      Likes Received
      681
      Likes Given
      865

      Default Re: nishauri juu ya kununua Gari aina ya TOYOTA OPA

      Quote By Mazingira
      Mkuu si kweli unayosema. Kwenye tradecarview magari yaliyopopale tayari makampuni yake yameonyeshwa na baei za magari yao pia na si kwamba magari yanauzwa na tradecarview, wao ni mkusanyiko tu wa makampuni mengi yanayouza magari. Uzuri wa kwenye tradecarview kuna wigo mkubwa wa kuchagua magari tofauti na hiyo beforward.jp maana nimeangalia ni wachovu kwelikweli hawana Harrier ya kuanzia mwaka 2001 hata moja, Suzuki escudo ya kuanzia mwaka 2001 hakuna hata moja na pia hawaonyeshi mileage ya magari yao kitu ambacho ni hatari maana unaweza kununua gari lililokongoroka hasa. Kuna watu kadha wa kadha niliokaribu nao wamenunua kupitia tradecarview magari mazuri kabisa kwa bei nzuri.
      Uzuri wa kununua through Tradecarview, unalindwa dhidi ya matapeli. Utatakiwa kulipia kidogo nadhani ni 5% ya value ya gari kwa huduma hii.Its worthy it maana hutapoteza pesa zako.
      Mazingira likes this.
      "You were born an original. Don't die a copy." —John Mason

    13. #170
      charger's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2010
      Posts : 1,184
      Rep Power : 667
      Likes Received
      507
      Likes Given
      267

      Default

      Quote By Prisoner 46664
      Real motor wanaaminika mkuu..imefika tayari..zote real motor na real motor jr.
      Real motors wako vizuri,ila make sure kama ni carview utumie paytrade system

    14. #171
      grafani11's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2011
      Location : Omnipotent Street
      Posts : 2,708
      Rep Power : 945
      Likes Received
      861
      Likes Given
      1312

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Haya chakarikeni mkizichoka hizo zote nawakaribisha kwenye ulimwengu wa Vogue.

    15. #172
      pono's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 557
      Rep Power : 462
      Likes Received
      75
      Likes Given
      259

      Default Re: Nahitaji gari ya kununua mark x

      milioni 22
      Quote By NGUZO
      wadau nahitaji Mark X ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea, je naweza pata kwa shs ngapi?
      NGUZO likes this.

    16. #173
      pono's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 557
      Rep Power : 462
      Likes Received
      75
      Likes Given
      259

      Default Re: Msaada: Makdirio ya Kodi kwa Toyota Caldina 2003

      achana nao hao,wana bei kuubwa sana
      Quote By yutong
      Habari zenu wataalamu? Aisee natarajia kununua Gari aina ya Toyota Caldina ya mwaka 2003 na bei yake kwa mujibu wa Autorec Japan (CIF) ni USD 5,570.

      Naomba msaada jinsi ya kukalculate kodi kwa gari hiyo ili nione kama naweza kuagiza ama la kulingana na mfuko wangu. Na pia kama ushauri utakuwepo kuhusu gari hiyo.

    17. #174
      D 007's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 31st October 2012
      Location : BOGOTA
      Posts : 145
      Rep Power : 358
      Likes Received
      107
      Likes Given
      3

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Ni gari nzur ... Spares zipo Geniune..

      lbda ushndwe kununua tu.

    18. #175
      Nteturuye's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Posts : 12
      Rep Power : 393
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Nauza Suzuki ESCUDO - Tshs 10M

      Details zake ni kama zilivyo hapa chini:-
      Make: SUZUKI
      Model: ESCUDO
      Body Type: STATION WAGON
      Colour: GREEN
      Year of manufacture: 1992
      Engine capacity: 1590 cc
      Fuel: PETROL
      Imported direct from Japan. Imetumiwa na mtu 1 tu. Muziki mkubwa, tairi mpya, regular service.
      Only serious buyers contact me ([email protected] - 0784599507 or 0713599507)
      Nimeamua kuuza kwa kuwa naenda masomoni kwa muda mrefu.
      Last edited by Nteturuye; 1st November 2012 at 19:03.

    19. #176
      Ng'ongoampoku's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th September 2012
      Posts : 38
      Rep Power : 342
      Likes Received
      4
      Likes Given
      5

      Default Re: nishauri juu ya kununua Gari aina ya TOYOTA OPA

      Quote By Caroline Danzi
      Libaba OPAL siyo mchezo, inachagua vituo vya mafuta (wewe utakuwa na undugu wa karibu na BP tu). kuhusu spare sijajua sana ila nilishawahi kusikia watu wanasema eti vifaa vyake ni aghali.

      Subiri watu wengine wachangie pia. yangu ni hayo tu

      Mkuu naomba nikujibu vizuri sana swali lako kwani mimi ni mtaalamu wa kodi na ndio tunafanya kazi za clearing and forwading, hata kama ukileta mzigo wowote bandarini lazima uwe na Agent wa kukutolea mzigo wako.

      kwanza unatakiwa ujue bei ya gari based on CIF (cost, insurance and Freight)
      ukishatumiwa tumiwa document tafuta agent wa clearing and forwarding akupe ushauri na gharama
      gharama zifuatazo pia usisahau
      shipping line charge km dola mia
      wharfage charge kama shilingi laki tatu
      agent fees kuanzia laki 2 mpka 3
      registration fee 330,000
      plate number 38,000
      kuhusu kodi yake nitakupa jibu sasa hivi
      kwa msaada zaidi nicheki [email protected]

    20. #177
      Robson Mulabwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 9th May 2011
      Posts : 118
      Rep Power : 430
      Likes Received
      29
      Likes Given
      36

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      mkuu nimeona hiyo opa kwenye page ya be forward na nimecalculate rate za tra nimepata tsh. 3830800/= kwa bei hiyo unamiliki opa yako simply ukiagiza gari yenye ukubwa wa cc zaidi ya 1500 unatoa asilimia 10 ya cif, as exercise fee, 25% ya import fee na vat 18% angalia link hii mkuu kupata gari yako Used OPA TOYOTA for Sale | BF74798 | Japanese Used Cars Exporter BE FORWARD kila la heri

    21. #178
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 466
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Wakuu naombeni msaada wa gharama za ushuru wa kuzitoa bandarini, gari toka japan aina ya Nissan Xtrail na Noah, za kuanzia mwaka 2004. Karibuni sana

    22. #179
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,896
      Rep Power : 3090
      Likes Received
      1329
      Likes Given
      5608

      Default Re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Wandugu,

      Hivi Toyota Harrier ya 1998 ambayo CC 3000 Bei Japan inauzwa USD 3990

      Hadi ikingia barabarani itakuwa kiasi gani?

    23. #180
      Gogo la choo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2012
      Posts : 306
      Rep Power : 799
      Likes Received
      106
      Likes Given
      147

      Default Re: nishauri juu ya kununua Gari aina ya TOYOTA OPA

      Quote By Mvaa Tai
      Tafuta Tshs ziwepo tayari tayari 9,004,875
      Weka mchanganuo wake hapa..wengine cc ni kizazi cha Mulugo aisee..

    Page 9 of 10 FirstFirst ... 78910 LastLast

    Similar Topics

    1. naoma ushauri wa kununua gari
      By Akili Kichwani in forum Matangazo madogo
      Replies: 10
      Last Post: 30th October 2011, 14:14
    2. Naombeni ushauri ya manunuzi ya gari
      By Bizzly in forum Matangazo madogo
      Replies: 2
      Last Post: 13th October 2011, 06:53
    3. NATAKA KUNUNUA TV KWENYE WEBSITE YA www.alibaba.com NAOMBENI USHAURI
      By Original Pastor in forum Matangazo madogo
      Replies: 28
      Last Post: 27th April 2010, 10:31

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...