Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: USHAURI: Ununuaji wa magari...

    Report Post
    Page 6 of 10 FirstFirst ... 45678 ... LastLast
    Results 101 to 120 of 195
    1. #1
      libaba PM's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th November 2009
      Posts : 102
      Rep Power : 506
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default USHAURI: Ununuaji wa magari...

      nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, unamagari yanayoonekana ni mazuri kwa Picha, lakini kwakua uelewa wangu juu ya biashara hii ya magari ni mdogo, naomba wenye ufahamu mnisaidie.

      Je Toyota Opa ni gari ambayo haisumbui spares..
      Je inaugonjwa wowote wakudumu ?
      wao wamesema Bei ni FOB US$ 2,200/=

      JE MPAKA IKIFIKA HAPA DAR KWA UZOEFU WENU KWA MAKADIRIO ITANIPASA NIWE NA KIASI CHA TSH NGAPI ? Baadhi ya taarifa ni hizi.

      Year / Month2001/12
      Odometer38,000 km
      Displacement1,800 cc
      Steering Right
      Transmission Automatic
      Fuel Gasoline/Petrol
      Model codeTA-ZCT10
      cerengeti likes this.
      tuendako ni kugumu, tumia kura yako kama turufu kuwashinda mafisadi nchi hii, amani na utulivu isikufanye ushidwe kujipigania, hakuna kulala mpaka kieleweke amka Tanzania

    2. #101
      Tuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2010
      Posts : 5,074
      Rep Power : 13993
      Likes Received
      2580
      Likes Given
      2484

      Default Kununua gari yard ni reliable?

      Naomba kuuliza wadau, kama gari zinazouzwa yard, Dar zipo za kuaminika. Napata shida sana nikiwaza kuagiza gari (used) toka Japan au kwingineko kwa kuwa mda wa kusubiria ni mrefu sana. Naomba kama kuna mtu ana info ya mahali Dar, naweza kupata gari za kuaminika na bei reasonable...

    3. #102
      El Toro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2009
      Location : Here in Bongoland
      Posts : 5,060
      Rep Power : 1864
      Likes Received
      476
      Likes Given
      370

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Inategemea unanunua gari ya aina gani kama ni saloon za Japan nenda show room tu zipo nyingi so utapata unayotaka kwa bei nzuri na imara kama ni 4x4 au European ca r agiza tu mwanawane
      Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs

    4. #103
      TheChoji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th April 2009
      Location : Kilimanjaro
      Posts : 368
      Rep Power : 652
      Likes Received
      111
      Likes Given
      39

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Mimi siziamini sana show room za bongo. Naona bora mtu uagize tu gari. Utaepuka mengi

    5. #104
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2723
      Likes Received
      1590
      Likes Given
      1145

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Inategemea.........zipo show rooms reliable na fake.......just like yapo makampuni reliable na fake huko Japan.........vilevile inategemea uhitaji wako gari..........ya yard unaipata on the spot(intact bila kuibiwa redio etc) ya kuagiza ni kati ya wiki 6 mpaka miezi 3(utaibiwa redio etc)......nawaaminia YOKOHAMA(kimweri road namanga) na JAZMAK(next to shoppers) katika yards za Bongo
      A compliment is something like a kiss through a veil

    6. #105
      bullet's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2009
      Location : East London
      Posts : 389
      Rep Power : 571
      Likes Received
      129
      Likes Given
      144

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Nami naomba niulize hapo hapo. Je ukinunua pale yard kuna faida nyingine zaidi ya kusave time, kutokuibiwa baadhi ya vifaa nk? Mfano vipi bei, kulinganisha na kuagiza moja kwa moja? Kuna tofauti kubwa sana?
      Maundumula likes this.

    7. #106
      Joseph isaac's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th June 2009
      Posts : 314
      Rep Power : 573
      Likes Received
      27
      Likes Given
      8

      Default

      Quote By Tuko View Post
      Naomba kuuliza wadau, kama gari zinazouzwa yard, Dar zipo za kuaminika. Napata shida sana nikiwaza kuagiza gari (used) toka Japan au kwingineko kwa kuwa mda wa kusubiria ni mrefu sana. Naomba kama kuna mtu ana info ya mahali Dar, naweza kupata gari za kuaminika na bei reasonable...
      Ipo yard moja naifahamu ina gurantee ya miez 6 na bei zao ni resonable sana. Mm nilinunu spacio old model mil 11.mpaka leo haijanisumbua.nilipofanya research ya yard ingine bei zilikuwa juu na hamna gurantee. Na nilipo calculate tofauti ya kuagiza na kununua nikakuta ni pesa ndogo sana. ivo inagemea ww unataka nn.

    8. #107
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2723
      Likes Received
      1590
      Likes Given
      1145

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By bullet View Post
      Nami naomba niulize hapo hapo. Je ukinunua pale yard kuna faida nyingine zaidi ya kusave time, kutokuibiwa baadhi ya vifaa nk? Mfano vipi bei, kulinganisha na kuagiza moja kwa moja? Kuna tofauti kubwa sana?
      Faida ipo.......tatizo kubwa la kuagiza mwenyewe ni ushuru mzito......hawa jamaa kwa kuwa ni regular importers hupata namna ya kulipa ushuru nafuu...vilevile suala la storage charges halipo kwa kuwa wao wakitoa gari melini straight kwenye yard......ukiagiza mwenyewe linalala bandarini each day $50....ukikwama ndio hivyo tena.....halafu gari la yard una uwezo wa kulikagua wewe mwenywe unlike la internet unonyeshwa a doctored picture......ni muhimu uende na fundi wako mlikague na ulitest mpaka uridhike
      Maundumula and NYENJENKURU like this.
      A compliment is something like a kiss through a veil

    9. #108
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,853
      Rep Power : 3796
      Likes Received
      1226
      Likes Given
      592

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Mwenyewe nataka niwauzie jamaa flani wana yard yao kimeo changu cha 1996. Karibu Dar es Salaam.
      Moola's the motive

    10. #109
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,374
      Rep Power : 996
      Likes Received
      311
      Likes Given
      211

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By CAMARADERIE View Post
      Faida ipo.......tatizo kubwa la kuagiza mwenyewe ni ushuru mzito......hawa jamaa kwa kuwa ni regular importers hupata namna ya kulipa ushuru nafuu...vilevile suala la storage charges halipo kwa kuwa wao wakitoa gari melini straight kwenye yard......ukiagiza mwenyewe linalala bandarini each day $50....ukikwama ndio hivyo tena.....halafu gari la yard una uwezo wa kulikagua wewe mwenywe unlike la internet unonyeshwa a doctored picture......ni muhimu uende na fundi wako mlikague na ulitest mpaka uridhike
      Mkuu cku hizi bondage warehouse ni nyingi sana yani gari ikifika tu unapigiwa cm cku hiyo ukaichukue . manji anakula sana shavu hilo. juzi tu nimeagizia gari imefika dar imekaa wikimbili kwenye foleni ya kushusha but cku ilyoshushwa the same day nilipigiwa cmu. Nikawa nimepewa 3days za kutoa na vinginevyo wataanza kucharge warehousing fee. niliitoa cku hiyo hiyo pale Chang'ombe mkuu.
      Maundumula and Njele like this.

    11. #110
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2723
      Likes Received
      1590
      Likes Given
      1145

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By Biohazard View Post
      Mkuu cku hizi bondage warehouse ni nyingi sana yani gari ikifika tu unapigiwa cm cku hiyo ukaichukue . manji anakula sana shavu hilo. juzi tu nimeagizia gari imefika dar imekaa wikimbili kwenye foleni ya kushusha but cku ilyoshushwa the same day nilipigiwa cmu. Nikawa nimepewa 3days za kutoa na vinginevyo wataanza kucharge warehousing fee. niliitoa cku hiyo hiyo pale Chang'ombe mkuu.
      Suppose umepigiwa cmu na huna hela? Kumbuka Manji et al hupata faida kutokana na hizo storage fees.........hakuna bure hapo........yard haiwezi kukucharge storage hata kidogo
      19don likes this.
      A compliment is something like a kiss through a veil

    12. #111
      19don's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th May 2011
      Posts : 445
      Rep Power : 499
      Likes Received
      67
      Likes Given
      200

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      hebu nenda pale sinza palestina (baada ya msikiti) kuna yard zipo gari kama 10 hv nandhani ni bei ila usiludi kutuuliza mafundi wazuri wanapatikana wapi
      jino kwa jino likes this.

    13. #112
      Idimi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2007
      Location : Ikwiriri
      Posts : 4,812
      Rep Power : 13656
      Likes Received
      934
      Likes Given
      344

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By Biohazard View Post
      Mkuu cku hizi bondage warehouse ni nyingi sana yani gari ikifika tu unapigiwa cm cku hiyo ukaichukue . manji anakula sana shavu hilo. juzi tu nimeagizia gari imefika dar imekaa wikimbili kwenye foleni ya kushusha but cku ilyoshushwa the same day nilipigiwa cmu. Nikawa nimepewa 3days za kutoa na vinginevyo wataanza kucharge warehousing fee. niliitoa cku hiyo hiyo pale Chang'ombe mkuu.
      Well said, mie mwenyewe kamkweche kangu (Noah) nilitoa hapo hapo Chang'ombe last week. SIku hizi wako kasi kidogo kuyatoa, tofauti na zamani.

      A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
      [email protected]

    14. ram is offline
      ram
      #113
      ram's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Posts : 2,043
      Rep Power : 1138
      Likes Received
      741
      Likes Given
      409

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Idimi kwanini unakufuru? Mshukuru Mungu hata kwa hicho kidogo

      Quote By Idimi View Post
      Well said, mie mwenyewe kamkweche kangu (Noah) nilitoa hapo hapo Chang'ombe last week. SIku hizi wako kasi kidogo kuyatoa, tofauti na zamani.

      Maundumula likes this.
      ''1 Samweli 7:12 - Eben-ezeri - Hata sasa BWANA ametusaidia''

    15. #114
      no name no name's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 12
      Rep Power : 376
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By Tuko View Post
      Naomba kuuliza wadau, kama gari zinazouzwa yard, Dar zipo za kuaminika. Napata shida sana nikiwaza kuagiza gari (used) toka Japan au kwingineko kwa kuwa mda wa kusubiria ni mrefu sana. Naomba kama kuna mtu ana info ya mahali Dar, naweza kupata gari za kuaminika na bei reasonable...
      Yard nyingi wanacheza na adometer, yani gari imetembea 200,000km inarudishwa hadi 70,000 km then unauziwa mbuzi kwenye gunia, gari nyingi hua zimetumika hapa bongo then wamiliki wanazidisplay yard then ikiuzwa wanamlipa commision yule mwenye yard. vile vile gari nyingi hua zinatoka uarabuni "Dubai" ambako wao sio wazalishaji wa magari, hua wananunua gari used kutoka japan au uk, wanaitumia then wana recondition kwa hiyo wewe unakua "third hand"

      Niliagiza gari zangu Nissan civillian bus mara tatu kupitia kampuni moja ya japan. kila gari ikifika ckuamini macho yangu kwa jinsi ilivyo nzima. Pia kuagiza gari ni risk sana kama hauna uzoefu. watu wengi wamelia, "sikutanii"

      nnachoweza kukusaidia, ni kukuagizia gari kwa kutumia uzoefu wangu, risk zote ntazibeba mimi. Tutafunga mkataba na ntaweka dhamana gari yangu moja, kama hiyo gari haitakuja ndani ya miezi miwili ntakurudishia pesa yako

      kama uko interested wasiliana na mimi kwa namba 0763294739,ila utanilipa commision kidogo. zaidi ya hapo nakuhakikishia gharama ya kununua hilo gari itakua chini kwa zaidi ya 3mil ukilinganisha na bei za yard.
      SnowBall likes this.

    16. #115
      no name no name's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 12
      Rep Power : 376
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By no name no name View Post

      Kukuhakikishia usalama wa pesa yako, utaituma pesa ya CIF moja kwa moja kwa muuzaji, that means mimi sitaishika pesa yako hata kidogo, then gari ikifika, tra utawalipa kwa mkono wako mwenyewe.

    17. #116
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2723
      Likes Received
      1590
      Likes Given
      1145

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By no name no name View Post
      Yard nyingi wanacheza na adometer, yani gari imetembea 200,000km inarudishwa hadi 70,000 km then unauziwa mbuzi kwenye gunia, gari nyingi hua zimetumika hapa bongo then wamiliki wanazidisplay yard then ikiuzwa wanamlipa commision yule mwenye yard. vile vile gari nyingi hua zinatoka uarabuni "Dubai" ambako wao sio wazalishaji wa magari, hua wananunua gari used kutoka japan au uk, wanaitumia then wana recondition kwa hiyo wewe unakua "third hand"

      Niliagiza gari zangu Nissan civillian bus mara tatu kupitia kampuni moja ya japan. kila gari ikifika ckuamini macho yangu kwa jinsi ilivyo nzima. Pia kuagiza gari ni risk sana kama hauna uzoefu. watu wengi wamelia, "sikutanii"

      nnachoweza kukusaidia, ni kukuagizia gari kwa kutumia uzoefu wangu, risk zote ntazibeba mimi. Tutafunga mkataba na ntaweka dhamana gari yangu moja, kama hiyo gari haitakuja ndani ya miezi miwili ntakurudishia pesa yako

      kama uko interested wasiliana na mimi kwa namba 0763294739,ila utanilipa commision kidogo. zaidi ya hapo nakuhakikishia gharama ya kununua hilo gari itakua chini kwa zaidi ya 3mil ukilinganisha na bei za yard.
      Model nyingi za baada ya 2003 ukifanya hili haziwaki kwa vile ni digitised au likiwaka basi liatleta shia punde tu. Halafu usifuate sana odometer mtu anaweza kukuuzia gari iliyopiga 50,000 ya ukweli lakini hakuna service wala maintanace iliyofanyika wakati unaweza pia kununua lenye 200,000(hasa toka Uk) lakini likawa limetunzwa vizuri.....hilo za la Dubai si kweli kwa kuwa Dubai hawaruhusu kuendesha used cars na pia wao wantumia upande wa kulia wa barabara na magari toka UK na Japan yanatumia kushoto
      Maundumula likes this.
      A compliment is something like a kiss through a veil

    18. #117
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 5,491
      Rep Power : 3213
      Likes Received
      1550
      Likes Given
      6701

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Naomba kujua bei ya gari hizi kwa wastan, ikiwezekana nijue tofauti ya kuagiza na kununua hapa , na nasikia kuwa Zenji bei poa je ni kweli?

      Mark 2 Grande
      Verossa
      Mark X
      Toyota Harrier

    19. #118
      Mwanamayu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2010
      Location : Manzese
      Posts : 3,049
      Rep Power : 1072
      Likes Received
      240
      Likes Given
      112

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By Tuko View Post
      Naomba kuuliza wadau, kama gari zinazouzwa yard, Dar zipo za kuaminika. Napata shida sana nikiwaza kuagiza gari (used) toka Japan au kwingineko kwa kuwa mda wa kusubiria ni mrefu sana. Naomba kama kuna mtu ana info ya mahali Dar, naweza kupata gari za kuaminika na bei reasonable...
      Sio reliable kwa sababu uwezi kupata genuine full details za hayo magari. Nenda kawaulize grade za hizo gari utapata jibu la nini ninamaanisha!

    20. #119
      no name no name's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 12
      Rep Power : 376
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By CAMARADERIE View Post
      Model nyingi za baada ya 2003 ukifanya hili haziwaki kwa vile ni digitised au likiwaka basi liatleta shia punde tu. Halafu usifuate sana odometer mtu anaweza kukuuzia gari iliyopiga 50,000 ya ukweli lakini hakuna service wala maintanace iliyofanyika wakati unaweza pia kununua lenye 200,000(hasa toka Uk) lakini likawa limetunzwa vizuri.....hilo za la Dubai si kweli kwa kuwa Dubai hawaruhusu kuendesha used cars na pia wao wantumia upande wa kulia wa barabara na magari toka UK na Japan yanatumia kushoto
      Magari nayajua vilivyo, lakini scientifically depreciation ya gari inategemea sana mileage, kwa jinsi nilivyo najua hiyo ni opinion ya mtu na sio fact. by the way magari mawili moja lina 50,000 na limetunzwa vizuri na jingine lina 200,000 na limetunzwa vizuri hayafanani. usiwe compromised na opinions unaponunua kitu cha gharama. Kwa kusema baadhi modeli za 2003 and above haziwezi kuchezewa adometer automatically umekubali magari mengi below 2003 yanaweza kuchezewa adometer, Vile vile hiyo sio Fact kwa sababu inategemea ni gari gani mbona kuna benz za mwaka 1998 ziko digital kwelikweli na kuna gari za above 2004 tunazijua zilichezewa adometer.

      Dubai ni kariakoo ya Uarabuni, Magari yale yanakua hayajatumika pale dubai ila yamepelekwa sokoni, kukuhakikishia nenda kwa waagizaji wengine wa magari waulize hii ishu. Take time kufanya utafiti " NO DATA NO RIGHT TO SPEAK"

      Simshauri mtu kununua gari dogo lenye 100,000 and above, hayo mambo ya "lilikua well maintained" ni kuingizana mjini tu, we utajuaje wakati alokua mmiliki wake humjui.

      After all mtu anae uza gari yard anatafuta faida kubwa, so lazima aweke cha juu 3,000,000 then anakula kiulaini.

      mfano hai " nilienda kuuliza yard zaidi ya tano bei ya nissan civillian jamaa wanaanzia 37,000,000 and above nakumbuka alikubali kunipunguzia laki mbili tu. lakini nimeagiza gari hadi kodi kila kitu nimelipa 29,000,000. na nimepata gari nzuri

      Inategemea ni supplier gani anakuuzia kule japan, kuna upuuzi mwingi ambao kama sio mzoefu sikushauri kabisa kuagiza gari nje coz unakua huajaliona physically. unapokua na supplier wa kuaminika kama nilienae mie kununua gari yard ni gharama sana.

    21. #120
      no name no name's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 12
      Rep Power : 376
      Likes Received
      2
      Likes Given
      3

      Default Re: Kununua gari yard ni reliable?

      Quote By CAMARADERIE View Post
      Model nyingi za baada ya 2003 ukifanya hili haziwaki kwa vile ni digitised au likiwaka basi liatleta shia punde tu. Halafu usifuate sana odometer mtu anaweza kukuuzia gari iliyopiga 50,000 ya ukweli lakini hakuna service wala maintanace iliyofanyika wakati unaweza pia kununua lenye 200,000(hasa toka Uk) lakini likawa limetunzwa vizuri.....hilo za la Dubai si kweli kwa kuwa Dubai hawaruhusu kuendesha used cars na pia wao wantumia upande wa kulia wa barabara na magari toka UK na Japan yanatumia kushoto
      Kuna miji ua Uarabuni ambayo imechoka kama hapa kwetu namikweche yao ambayo imekua reconditioned wanauzia kariakoo ya uarabuni "Dubai", kwa mfano sehemu kama Al Rahba, Madha, Swaihan, Abu dhabi zimechoka tu na ni RHD drivers. So kuhusu mitumba ya uarabuni sio reliable.

    Page 6 of 10 FirstFirst ... 45678 ... LastLast

    Similar Topics

    1. naoma ushauri wa kununua gari
      By Akili Kichwani in forum Matangazo madogo
      Replies: 10
      Last Post: 30th October 2011, 14:14
    2. Naombeni ushauri ya manunuzi ya gari
      By Bizzly in forum Matangazo madogo
      Replies: 2
      Last Post: 13th October 2011, 06:53
    3. NATAKA KUNUNUA TV KWENYE WEBSITE YA www.alibaba.com NAOMBENI USHAURI
      By Original Pastor in forum Matangazo madogo
      Replies: 28
      Last Post: 27th April 2010, 10:31

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...