nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, unamagari yanayoonekana ni mazuri kwa Picha, lakini kwakua uelewa wangu juu ya biashara hii ya magari ni mdogo, naomba wenye ufahamu mnisaidie.
Je Toyota Opa ni gari ambayo haisumbui spares..
Je inaugonjwa wowote wakudumu ?
wao wamesema Bei ni FOB US$ 2,200/=
JE MPAKA IKIFIKA HAPA DAR KWA UZOEFU WENU KWA MAKADIRIO ITANIPASA NIWE NA KIASI CHA TSH NGAPI ? Baadhi ya taarifa ni hizi.
Year / Month2001/12
Odometer38,000 km
Displacement1,800 cc
Steering Right
Transmission Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Model codeTA-ZCT10
tuendako ni kugumu, tumia kura yako kama turufu kuwashinda mafisadi nchi hii, amani na utulivu isikufanye ushidwe kujipigania, hakuna kulala mpaka kieleweke amka Tanzania
If it is so, mbona tena jamaa ameongelea bima!?? ama hii bima iliyoko kwenye CIF ni ya kusafirisha tu!??
Yap, hiyo ni ya kusafirisha peke yake. Huku unakuja kulipia bima ya kuendesha gari barabarani.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
nataka hiyohiyo cheap kwa sasa...cc 660, ya 2002. lemmie check...thanks mkuu!
Good lucky with your search
Last edited by Lukolo; 30th June 2011 at 21:03.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
wanaita evaluation of used cars chek kwenye website ya tra nadhani kuna more details kuhusiana na hili
By Lukolo
Thanks mkuu. Ila kuna watu wamenitisha kwamba eti jamaa wanacalculate kwa kuangalia bei ya hiyo gari mpya kwa sasa, wanatafuta deprecion, halafu ndo wanafanyia mahesabu hapo. Inasemekana gharama uliyonunulia hawahesabii. Hapo ndo pananitia woga kidogo.
Lukolo mimi nimeangalia kwenye hiyo table yao bei suzuki kei hawana ila kwa pajero io total taxes tra ni usd 1280.00 x exchange rate na gharama za bandari na shipping line ni kama 300,000.00.
By Lukolo
Thanks mkuu. Ila kuna watu wamenitisha kwamba eti jamaa wanacalculate kwa kuangalia bei ya hiyo gari mpya kwa sasa, wanatafuta deprecion, halafu ndo wanafanyia mahesabu hapo. Inasemekana gharama uliyonunulia hawahesabii. Hapo ndo pananitia woga kidogo
Ni kweli mkuu na bei kama ambavyo nimekupa hapo juu cost retail price yao ni usd 11746.00 depreceation 75% unapata total taxes usd 1280.00
Lukolo mimi nimeangalia kwenye hiyo table yao bei suzuki kei hawana ila kwa pajero io total taxes tra ni usd 1280.00 x exchange rate na gharama za bandari na shipping line ni kama 300,000.00.
Shukurani sana MANI. Angalau nimefarijika kwamba ninaweza kumudu. Ngoja sasa nijipinde kwa ajili ya hiyo Pajero.
Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala
mimi nauza alteza gita ina mwezi 1 tangu itoke japan ina engine ya 1g, cc 1980, white imetembea km 136000 IF UA INTERESTED PM ME N IWIL SEND THE PIC TO YOU
Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..
Angalizo jamani!! Sasa hivi TRA hawafuati hiyo CIF value. Wanakokotoa kwa kufanya depreciation ya gari based na thamani yake ilipokuwa mpya na imepita miakia mmingapi toka itengenezwe. Nimeagiza gari kwa CIF haizidi $2,600 na sasa agent wangu ananiambia kodi zote ni over Tshs 10million!!!! Huu ni wizi wa mchana kabisa. Gari haijafika bado.
Jenga nyumba kwanza wewe, unawaza kununua gari halafu unaenda kupaki kituo cha polisi? Hiyo akili au matope. Halafu mkikosa hela ya mafuta mnakuwa wa kwanza kulaumu serikali imeshindwa kazi, wakati watu hamjui hata vipaumbele.

mkuu! unaendelea kutoa sumu hadi huku? vipi ile ishu ya mishahara kupanda imefikia wapi?
Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
Wana JF,
Kuna ndugu wa karibu ambaye anataka kununua gari lililotumika toka Uingereza na kulipeleka Tanzania. Kaniomba ushauri kuhusu namna ya kufanya au kama ninamfahamu dealer yeyote anayejihusisha na biashara hii. Bahati mbaya sijawahi agiza gari toka Uingereza na sijui dealer yeyote aliyepo Tanzania. Nilishawahi kuambiwa kwamba magari mengi yauzwayo toka Uingereza huwa hayawi na ubora sawa na picha za kwenye mtandao, yaani yanaweza yakawa machakavu zaidi ya yalivyooneshwa na pia ati ni ghali kununua gari Uingereza ukilinganisha na kununua Japan. Sijajua kama hivi vitu ni kweli, ila viliniogopesha toka mwanzo. Sasa tupeane ushauri kutokana na uzoefu wa watu walioagiza magari yao Uingereza, na pia kama kuna dealers wowote wanaojihusisha na uuzaji wa magari toka Uingereza (na hata Ulaya kwa jumla) naomba tufahamishane.
"It's not the votes that count. It's who counts the votes" - Josef Stalin
Re: Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
una mtu unayemwamini uk? kama yupo chagua gari kwenye mtandao wa aoutotraders uk ila uwe na tumia post code ya uk ya huoyo mtu, then mtume huyo mtu akalikague kabla hujatum,a pesa, kuna makampuni ya wa tz uk wanasafirisha magari na vifaa vingine
Re: Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
By Ozzie
Wana JF,
Kuna ndugu wa karibu ambaye anataka kununua gari lililotumika toka Uingereza na kulipeleka Tanzania. Kaniomba ushauri kuhusu namna ya kufanya au kama ninamfahamu dealer yeyote anayejihusisha na biashara hii. Bahati mbaya sijawahi agiza gari toka Uingereza na sijui dealer yeyote aliyepo Tanzania. Sijajua kama hivi vitu ni kweli, ila viliniogopesha toka mwanzo. Sasa tupeane ushauri kutokana na uzoefu wa watu walioagiza magari yao Uingereza, na pia kama kuna dealers wowote wanaojihusisha na uuzaji wa magari toka Uingereza (na hata Ulaya kwa jumla) naomba tufahamishane.
Angalia WWW.AUTOTRADER.CO.UK kuna aina ya kila gari.Ungekuwa huko UK ningekushauri pia utembelee auctions
By Ozzie
Nilishawahi kuambiwa kwamba magari mengi yauzwayo toka Uingereza huwa hayawi na ubora sawa na picha za kwenye mtandao, yaani yanaweza yakawa machakavu zaidi ya yalivyooneshwa.
Si Uingereza tu, Hili tatizo lipo kila nchi kwa sababu madhumuni ni kuuza gari, wataweka picha za sehemu itakayo kuvutia.
However Mwaka wa gari, mileage, picha na wengine wanaweka maelezo gari ilikuwa inatumika kwenye mazingira ya aina gani vita kusaidia kukupa hali halisi ya gari
By Ozzie
na pia ati ni ghali kununua gari Uingereza ukilinganisha na kununua Japan.
Inategemea na aina ya gari.Kwa mafano,Scania na Jaguar ni raisi UK kuliko Japan lakini ukinunua Land Cruiser kutoka UK kuna uwezekano kwa asilimia kubwa utakuwa umeingia choo cha kike
Last edited by babu M; 11th September 2011 at 12:58.
Re: Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
By Idofi
una mtu unayemwamini uk? kama yupo chagua gari kwenye mtandao wa aoutotraders uk ila uwe na tumia post code ya uk ya huoyo mtu, then mtume huyo mtu akalikague kabla hujatum,a pesa, kuna makampuni ya wa tz uk wanasafirisha magari na vifaa vingine
Yeah, nina vijana Milton Keynes na London...
"It's not the votes that count. It's who counts the votes" - Josef Stalin
Re: Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
By babu M
Angalia WWW.AUTOTRADER.CO.UK kuna aina ya kila gari.Ungekuwa huko UK ningekushauri pia utembelee auctions
Si Uingereza tu, Hili tatizo lipo kila nchi kwa sababu madhumuni ni kuuza gari, wataweka picha za sehemu itakayo kuvutia.
However Mwaka wa gari, mileage, picha na wengine wanaweka maelezo gari ilikuwa inatumika kwenye mazingira ya aina gani vita kusaidia kukupa hali halisi ya gari
Inategemea na aina ya gari.Kwa mafano,Scania na Jaguary ni raisi UK kuliko Japan lakini ukinunua Land Cruiser kutoka UK kuna uwezekano kwa asilimia kubwa utakuwa umeingia choo cha kike
Asante sana mkuu, umenipa elimu ya kutosha
"It's not the votes that count. It's who counts the votes" - Josef Stalin
Re: Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
hayo magari ya UK, vipi kuhusu spare zake? hapa bongo zinapatinaka? mfano, BMW au volkswagen polo, hapa bongo spare zake zipo za kutosha jamani...mwenye fununu anisaidie kwasababu mimi mwenyewe nilikuwa nataka volkswagen polo toka UK au Japan....msaada please!
Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!
Re: Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
Bosi kubwa lets lalk about costs hadi unapokea gari,
ingia kwenye web ya www.gariyangu.com then feed data pia 2ko na job ya kuclear kwa port na utachajiwa only 150,000 kama uko interested contact me on [email protected] or call to 0782-100412 &0713-357020
Re: Naomba Ushauri: Jinsi ya kununua gari lililotumika toka UK kupeleka Tanzania
Advise from personal experience:
ingia website za autotraders kama ambavyo wengi wameshauri hapo juu, angalia gari unayopenda, then uwe na mtu kule akalithibitishe then ulipie, dealers wengi wanataka pounds cash. Kuhusu kutuma kua kaka yake dewji yuko london ndio kazi yake miaka mingi, sikumbuki website yake, anatuma magri tz na ni mwaminifu sana. Kuhusu spare zipo nyingi ingawa inategemea na aina ya gari, mfano Quanshai ni gari latest na zipo kule hapa tz ukileta zitasumbua maana hakuna spare hadi uagizie nje.
Nadhani nitakuwa nimekusaidia sana.
Follow Us Here