Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: USHAURI: Ununuaji wa magari...

    Report Post
    Page 4 of 10 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 194
    1. #1
      libaba PM's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th November 2009
      Posts : 102
      Rep Power : 503
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default USHAURI: Ununuaji wa magari...

      nilikua naangalia mitandao mbali mbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania, Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, unamagari yanayoonekana ni mazuri kwa Picha, lakini kwakua uelewa wangu juu ya biashara hii ya magari ni mdogo, naomba wenye ufahamu mnisaidie.

      Je Toyota Opa ni gari ambayo haisumbui spares..
      Je inaugonjwa wowote wakudumu ?
      wao wamesema Bei ni FOB US$ 2,200/=

      JE MPAKA IKIFIKA HAPA DAR KWA UZOEFU WENU KWA MAKADIRIO ITANIPASA NIWE NA KIASI CHA TSH NGAPI ? Baadhi ya taarifa ni hizi.

      Year / Month2001/12
      Odometer38,000 km
      Displacement1,800 cc
      Steering Right
      Transmission Automatic
      Fuel Gasoline/Petrol
      Model codeTA-ZCT10
      cerengeti likes this.
      tuendako ni kugumu, tumia kura yako kama turufu kuwashinda mafisadi nchi hii, amani na utulivu isikufanye ushidwe kujipigania, hakuna kulala mpaka kieleweke amka Tanzania

    2. RukaaJuu Final

    3. #61
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default Naombeni ushauri juu ya kununua gari

      Mwenzenu ninataka kuagiza gari, but nataka the most fuel economical car kwa kuzingatia hali ya foleni nchini Tanzania. Sasa nina option hizi mbili. Mitsubishi Pajero Jr (cc 1100) ya 1995 CIF yake ni around 2000, Na nyingine ni Suzuki Kei (cc 660) ya mwaka 2000 CIF yake ni 2000. Ninajua kwamba kutakuwa na ile dumping cost, but kwangu ni nafuu, kwa kuzingatia kwamba magari aina hii ya mwaka 2002 bei zake zipo juu sana. Sasa ninaomba mnishauri ipi kati ya hizi ni better? Pili kwa magari kama haya inaweza ikanigharimu bei gani kuyatoa pale bandarini? maana ile calculator ya TRA imenishinda kuitumia.
      Nitashukuru sana kwa ushauri wenu.
      Last edited by Lukolo; 30th June 2011 at 16:49.
      Mentor and Maundumula like this.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    4. #62
      mchakachuaji192's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Posts : 291
      Rep Power : 494
      Likes Received
      24
      Likes Given
      14

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Mkubwa sina uzoefu sana na hili ila nitajibu kutokana na nilivyosikia kwa wadau mbali mbali, kuwa gharama za kulitoa pale bandarini andaa mahela yanayokaribia hela ulonunulia au nusu ya bei ulonunulia, hope wengine watakuja kuongezea hapo wenye ujuzi zaidi

      Quote By Lukolo
      Mwenzenu ninataka kuagiza gari, but nataka the most fuel economical car kwa kuzingatia hali ya foleni nchini Tanzania. Sasa nina option hizi mbili. Mitsubishi Pajero Jr (cc 1100) ya 1995 CIF yake ni around 2000, Na nyingine ni Suzuki Kei (cc 660) ya mwaka 2050 CIF yake ni 2000. Ninajua kwamba kutakuwa na ile dumping cost, but kwangu ni nafuu, kwa kuzingatia kwamba magari aina hii ya mwaka 2002 bei zake zipo juu sana. Sasa ninaomba mnishauri ipi kati ya hizi ni better? Pili kwa magari kama haya inaweza ikanigharimu bei gani kuyatoa pale bandarini? maana ile calculator ya TRA imenishinda kuitumia.
      Nitashukuru sana kwa ushauri wenu.
      Lukolo likes this.
      If everything seems to be going well, you have obviously overlooked something.

    5. #63
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By mchakachuaji192
      Mkubwa sina uzoefu sana na hili ila nitajibu kutokana na nilivyosikia kwa wadau mbali mbali, kuwa gharama za kulitoa pale bandarini andaa mahela yanayokaribia hela ulonunulia au nusu ya bei ulonunulia, hope wengine watakuja kuongezea hapo wenye ujuzi zaidi
      Thanks mkuu. Ila kuna watu wamenitisha kwamba eti jamaa wanacalculate kwa kuangalia bei ya hiyo gari mpya kwa sasa, wanatafuta deprecion, halafu ndo wanafanyia mahesabu hapo. Inasemekana gharama uliyonunulia hawahesabii. Hapo ndo pananitia woga kidogo.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    6. #64
      Pdidy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 12,283
      Rep Power : 3443
      Likes Received
      1322
      Likes Given
      855

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Jeshi la kujenga taifa wametangaza kutengeneza magar i mazuri kwa ajili ya barabara ya tanzania kwa msaada zaidi wasiliana na nyumbu watakusaidia hili
      wazo tu
      Lukolo and Maundumula like this.

    7. #65
      Domo Zege's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2010
      Posts : 576
      Rep Power : 555
      Likes Received
      87
      Likes Given
      68

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Lukolo
      Mwenzenu ninataka kuagiza gari, but nataka the most fuel economical car kwa kuzingatia hali ya foleni nchini Tanzania. Sasa nina option hizi mbili. Mitsubishi Pajero Jr (cc 1100) ya 1995 CIF yake ni around 2000, Na nyingine ni Suzuki Kei (cc 660) ya mwaka 2050 CIF yake ni 2000. Ninajua kwamba kutakuwa na ile dumping cost, but kwangu ni nafuu, kwa kuzingatia kwamba magari aina hii ya mwaka 2002 bei zake zipo juu sana. Sasa ninaomba mnishauri ipi kati ya hizi ni better? Pili kwa magari kama haya inaweza ikanigharimu bei gani kuyatoa pale bandarini? maana ile calculator ya TRA imenishinda kuitumia.
      Nitashukuru sana kwa ushauri wenu.
      Gari za mwaka huo zimeshotoka mkuu

    8. Miaka 50

    9. #66
      Wa Ndima's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2010
      Posts : 1,381
      Rep Power : 730
      Likes Received
      223
      Likes Given
      645

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      fungua hapa www.gariyangu.com kwa msaada zaidi ndugu

    10. #67
      Mentor's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,827
      Rep Power : 5240
      Likes Received
      3327
      Likes Given
      9098

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Aisee hata mimi nitaomba kuiba michango ya hii post...ninataka kununua ka Suzuki kei mkubwa cha kunitoa mbagala to posta kwa kweli...ebu nipe details unaiimport from wapi? how much?...natanguliza shukrani.
      kuhusu malipo bandarini nimeambia rates zimepanda siku hizi..ati wanacalculate kwa kutumia value ya gari ikiwa mpya not the condition it is in when bought/imported.
      Lukolo likes this.
      "Be an example.." 1 Timothy 4:12
      Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
      Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
      NACHO CHA RUWA
      !

    11. #68
      NYENJENKURU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2011
      Location : Tanganyika Masagati
      Posts : 936
      Rep Power : 606
      Likes Received
      182
      Likes Given
      359

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      CIF 2,000 USD 3,240,700 TZS
      Import Duty 500 USD 810,175 TZS
      Dumping Fee 500 USD 810,175 TZS
      Excise Duty 150 USD 243,053 TZS
      VAT 567 USD 918,738 TZS
      Total Taxes 1,717 USD 2,782,141 TZS
      Port Charges 150 USD 243,053 TZS
      L/Shipping Line 75 USD 121,526 TZS
      Total Cost
      3,942 USD 6,387,420 TZS
      Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..
      Mentor and Lukolo like this.

    12. #69
      MWENDAKULIMA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th July 2009
      Location : Partout
      Posts : 478
      Rep Power : 596
      Likes Received
      98
      Likes Given
      92

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Wa Ndima
      fungua hapa www.gariyangu.com kwa msaada zaidi ndugu
      Mkuu taxes ni hizi za "mauaji" zilizotangazwa hivi karibuni? nimejaribu kufungua hii site it's really helpful.Thanx
      Wa Ndima likes this.

    13. #70
      MWENDAKULIMA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th July 2009
      Location : Partout
      Posts : 478
      Rep Power : 596
      Likes Received
      98
      Likes Given
      92

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By NYENJENKURU
      CIF 2,000 USD 3,240,700 TZS
      Import Duty 500 USD 810,175 TZS
      Dumping Fee 500 USD 810,175 TZS
      Excise Duty 150 USD 243,053 TZS
      VAT 567 USD 918,738 TZS
      Total Taxes 1,717 USD 2,782,141 TZS
      Port Charges 150 USD 243,053 TZS
      L/Shipping Line 75 USD 121,526 TZS
      Total Cost
      3,942 USD 6,387,420 TZS

      Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..

      Kwa hiyo rushwa lazima mkuu?
      Lukolo likes this.

    14. #71
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Domo Zege
      Gari za mwaka huo zimeshotoka mkuu
      Sorry mkuu. Nilimaanishaya mwaka 2000
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    15. #72
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Wa Ndima
      fungua hapa www.gariyangu.com kwa msaada zaidi ndugu
      Heshima mbele Wa Ndima. Kabla ya kupost hapa nilifungua hiyo site, nikakuta msg inayoeleza kwamba calculations zimebadilika na wakanidirect kwenye website ya TRA. Ambako nimedownload ile calculator yao, lakini nikaona inanichanganya katika kutumia.
      Wa Ndima likes this.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    16. #73
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Mentor
      Aisee hata mimi nitaomba kuiba michango ya hii post...ninataka kununua ka Suzuki kei mkubwa cha kunitoa mbagala to posta kwa kweli...ebu nipe details unaiimport from wapi? how much?...natanguliza shukrani.
      kuhusu malipo bandarini nimeambia rates zimepanda siku hizi..ati wanacalculate kwa kutumia value ya gari ikiwa mpya not the condition it is in when bought/imported.
      Naimport from Japan, through tradecarview. itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    17. #74
      Mentor's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,827
      Rep Power : 5240
      Likes Received
      3327
      Likes Given
      9098

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By NYENJENKURU
      CIF 2,000 USD 3,240,700 TZS
      Import Duty 500 USD 810,175 TZS
      Dumping Fee 500 USD 810,175 TZS
      Excise Duty 150 USD 243,053 TZS
      VAT 567 USD 918,738 TZS
      Total Taxes 1,717 USD 2,782,141 TZS
      Port Charges 150 USD 243,053 TZS
      L/Shipping Line 75 USD 121,526 TZS
      Total Cost
      3,942 USD 6,387,420 TZS

      Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..
      Hawa unakutana nao wapi tena? si umeshainclude mambo yao kwenye jedwali?
      Btw, what does CIF stand for?
      "Be an example.." 1 Timothy 4:12
      Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
      Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
      NACHO CHA RUWA
      !

    18. #75
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By NYENJENKURU
      CIF 2,000 USD 3,240,700 TZS
      Import Duty 500 USD 810,175 TZS
      Dumping Fee 500 USD 810,175 TZS
      Excise Duty 150 USD 243,053 TZS
      VAT 567 USD 918,738 TZS
      Total Taxes 1,717 USD 2,782,141 TZS
      Port Charges 150 USD 243,053 TZS
      L/Shipping Line 75 USD 121,526 TZS
      Total Cost
      3,942 USD 6,387,420 TZS

      Hiyo ndo estimate cost kama umenunua leo 30/6/2011.Bado Bima na usumbufu wa jamaa wa TRA..
      Bahati mbaya tu kwamba kitufe cha thanks kimeondolewa. But nashukuru sana mkuu. Lakini hii ni ya gari ipi? Ile yenye cc 660 au mitsubishi yenye cc 1100?
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    19. #76
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Mentor
      Hawa unakutana nao wapi tena? si umeshainclude mambo yao kwenye jedwali?
      Btw, what does CIF stand for?
      CIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.
      Mentor likes this.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    20. #77
      Wa Ndima's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th August 2010
      Posts : 1,381
      Rep Power : 730
      Likes Received
      223
      Likes Given
      645

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Lukolo
      Naimport from Japan, through tradecarview. itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.
      Ukisoma maelezo vyema ya hiyo site kuna namna na maelekezo ya jinsi ya kuagiza gari na hatua za kuchukua mkuu, ile ya TRA file ya excel hata mimi inanichanganya
      Lukolo likes this.

    21. #78
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,827
      Rep Power : 5240
      Likes Received
      3327
      Likes Given
      9098

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Lukolo
      CIF sina uhakika kuhusu kirefu chake, but inajumuisha gharama ya gari ikiwa japan, gharama ya kusafirisha hadi Tanzania, pamoja na gharama za insurance ya hiyo gari.
      If it is so, mbona tena jamaa ameongelea bima!?? ama hii bima iliyoko kwenye CIF ni ya kusafirisha tu!??
      "Be an example.." 1 Timothy 4:12
      Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
      Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
      NACHO CHA RUWA
      !

    22. #79
      Mentor's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th October 2008
      Location : On my way to Heaven!
      Posts : 5,827
      Rep Power : 5240
      Likes Received
      3327
      Likes Given
      9098

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Lukolo
      Naimport from Japan, through tradecarview. itategemea na gari unayoitaka. kama ni ya miaka ya 2002, bei zake zipo kubwa kidogo. lakini, nataka nijue kwanza gharama za bongo kabla sijajitumbukiza kuagiza. maana unaweza kujikuta unaiacha gari bandarini.
      nataka hiyohiyo cheap kwa sasa...cc 660, ya 2002. lemmie check...thanks mkuu!
      Lukolo likes this.
      "Be an example.." 1 Timothy 4:12
      Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
      Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
      NACHO CHA RUWA
      !

    23. #80
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,861
      Rep Power : 6969
      Likes Received
      2025
      Likes Given
      1552

      Default re: USHAURI: Ununuaji wa magari...

      Quote By Wa Ndima
      Ukisoma maelezo vyema ya hiyo site kuna namna na maelekezo ya jinsi ya kuagiza gari na hatua za kuchukua mkuu, ile ya TRA file ya excel hata mimi inanichanganya
      yap, nimecheki zile steps za kucalculate kodi and the likes, lakini kilichonishangaza, majibu niliyopata mwisho hayakuwa na tofauti na yale ya kwenye Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com. Hapo ndo nikashindwa kuelewa kilichoongezeka ni nini na kilichobadilika ni nini? That is why nikaja huku kuomba msaada. Otherwise kama steps zinazotumika pale zipo sahihi, basi jedwali la Nyenjenkuru linaweza kuwa limetoa majibu.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    Page 4 of 10 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    Similar Topics

    1. naoma ushauri wa kununua gari
      By Akili Kichwani in forum Matangazo madogo
      Replies: 10
      Last Post: 30th October 2011, 14:14
    2. Naombeni ushauri ya manunuzi ya gari
      By Bizzly in forum Matangazo madogo
      Replies: 2
      Last Post: 13th October 2011, 06:53
    3. NATAKA KUNUNUA TV KWENYE WEBSITE YA www.alibaba.com NAOMBENI USHAURI
      By Original Pastor in forum Matangazo madogo
      Replies: 28
      Last Post: 27th April 2010, 10:31

    User Tag List

    Tags for this Topic

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...