Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 27 of 27
    1. #1
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25469
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

      Habari zenu wana Jamii!
      naandika habari hii kwa masikitiko, jana majira ya saa 5 asb nilienda kupata huduma ya M-Pesa pale Ubungo Plaza, nilikua naenda kutoa pesa katika account yangu. cha kushangaza yule dada aliyekua ananihudumia aliniambia nifanye process zote mpaka alipopata msg kwenye simu yake, baada ya hapo akachukua simu yangu akawa ana bonyeza bonyeza, akanipa pesa ambayo nilikuwa natoa ilikuwa ni shilingi elfu Hamsini (50,000), akaomba kitambulisho nikampa akafanya process zote akanirudishia kitambulisho pamoja na simu yangu.
      niliondoka pale na kuelekea Mlimani City,sasa nikawa nataka kununua muda wa maongezi kwa M-Pesa, kila nikajaribu ikawa inaniletea ujumbe kuwa sina Pesa ya kutosha kununua Muda wa maongezi na nilikuwa nataka kununua sh 5,000, nilijaribu mara tatu bila mafanikio nilipoangalia salio la M-Pesa ikaniambia ni sh 1370, nilipigwa na butwaa kwa sababu wakati naenda kutoa M-PESA nilikua na sh 62,250, moja kwa moja nikajua yule dada atakua amechakachua hela yangu zaidi ya shiling 11,000. sikutaka kurudi kuuliza wala kupiga simu Voda com.
      naandika hapa najua kuna watu wa Vodacom mtaona na kujua kuwa baadi ya wafanyakazi wenu sio waaminifu. na anaharibu sifa ya kampuni.
      WANA JAMVI KAMA MNATAKA KUTHIBITISHA NENDENI MKAJARIBU KUTOA PESA ZENU PALE UBUNGO PLAZA MAANA TABIA YA MTU MWIZI HAIKOMI SIKU MOJA NA NYINYI MTAKUJA KUTOA USHUHUDA..
      KUNA RAFIKI NIMEMWAMBIA AKAJARIBU KESHO NA ACC0UNT YAKE IWE NA PESA NYINGI KIDOGO ILI AWEKE MTEGO.
      NAWASILISHA

    2. Miaka 50

    3. #21
      Mwita25's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2011
      Posts : 3,852
      Rep Power : 1317
      Likes Received
      1119
      Likes Given
      43

      Default Re: Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

      yaani 11,000 tu inakutoa roho, mbona mimi nimeibiwa BLACKBERRY 2 na mademu wa club na wala huwezi kusikia eti nimelalamika kwa mtu. Acha hisia za kimaskini wewe.

    4. #22
      duda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd March 2011
      Posts : 114
      Rep Power : 435
      Likes Received
      20
      Likes Given
      15

      Default Re: Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

      ulifanya makosa ungepiga Vodacom ukaomba wakupe statement yako ya Mpesa, na ungegundua namba ya mwisho kupokea MPesa kutoka kwako ni ipi , na hapo ndo ungerudi sasa pale kwa kishondo, Yn panachimbika hujawahi ona. pole. Togo kuna dada aliwahi kuniibia vocha ,niliichuna vibaya sasa nikaomba msaada akasema ataniwekea then akajiwekea yeye, lol!! achana na namba hii bwana, alikiona cha mtema kuni na kazi akafukuzwa kisa elf 2.
      marshal and Cypher like this.

    5. #23
      Da Womanizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2010
      Location : Millionaires' Lounge
      Posts : 1,504
      Rep Power : 757
      Likes Received
      102
      Likes Given
      1282

      Default Re: Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

      Quote By Slave
      nadhani kutopata alert inaweza kuwa ni kosa lao.ila kuna mjumbe mmoja hapo juu kasema kuna wizi unaoweza tokana na mitambo.nadhani hapo napo ni muhimu.sio voda tu karibu kila kampuni sasa hivi wizi wanaufanya tena watu wanatajirika mno. (japo sina ushahidi)mfano wale ma programmer waki amua kucheza html code wakaiba tsh 100 ambayo mtu hutokuwa na uchungu kama ambavyo ulivyo fanya wewe pale ubungo. 100 kwa watu 1mil.sawa na 100ml ambazo wakiamua muda wowote wanazipata.
      Mkuu una hakika na hiyo nyekundu hapo?
      Kama unadhani aibu ni gharama jaribu fedheha

    6. #24
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25469
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default Re: Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

      Quote By duda
      ulifanya makosa ungepiga Vodacom ukaomba wakupe statement yako ya Mpesa, na ungegundua namba ya mwisho kupokea MPesa kutoka kwako ni ipi , na hapo ndo ungerudi sasa pale kwa kishondo, Yn panachimbika hujawahi ona. pole. Togo kuna dada aliwahi kuniibia vocha ,niliichuna vibaya sasa nikaomba msaada akasema ataniwekea then akajiwekea yeye, lol!! achana na namba hii bwana, alikiona cha mtema kuni na kazi akafukuzwa kisa elf 2.
      hahaa kweli we mkali, sikuwa na muda wa kufuatilia lakini next time akiniibia hata sh mia patachimbika
      Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.

    7. #25
      Manyanza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Location : Look Behind You......
      Posts : 4,419
      Rep Power : 25469
      Likes Received
      1143
      Likes Given
      909

      Default Re: Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

      Quote By Mwita25
      yaani 11,000 tu inakutoa roho, mbona mimi nimeibiwa BLACKBERRY 2 na mademu wa club na wala huwezi kusikia eti nimelalamika kwa mtu. Acha hisia za kimaskini wewe.
      ni ndogo sana hiyo kwangu mkuu, lakini ni tabia mbovu mtu anapoichukua bila ridhaa yako
      we unaleta misifa ya kijinga hapa ya kuibiwa BB club na mademu ili tukusaidiaje?
      JF mtu anapimwa kwa fikra na mawazo yake sio kwa usharobaro kama wako!
      Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Eng.inno's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 30th May 2011
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Wizi-vodafone m-pesa ubungo plaza

      [uwizi huo umetaka mwenyewe,m pesa anatakiwa abandike number yake ya uwakala ,wewe unasoma ahalafu aunamaliza mambo yote mwenyewe,sivyo utaibiwa sana lkn ple ndio kuwa mjanja mjini

    10. #27
      flora msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : under a coconut tree
      Posts : 4,121
      Rep Power : 1258
      Likes Received
      499
      Likes Given
      372

      Default

      Quote By mwita25
      yaani 11,000 tu inakutoa roho, mbona mimi nimeibiwa blackberry 2 na mademu wa club na wala huwezi kusikia eti nimelalamika kwa mtu. Acha hisia za kimaskini wewe.
      huyu akapate kikombe kwa mwasapile!

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Kongamano la katiba mpyandani ya ubungo plaza
      By TUNTEMEKE in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 20th July 2011, 08:09
    2. JK na Wajumbe wa Nyumba Kumi Ubungo Plaza
      By Sooth in forum Jamii Photos
      Replies: 19
      Last Post: 11th July 2011, 16:19
    3. Wito wa kikao kwa WanaJf Ubungo Plaza
      By apolycaripto in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 46
      Last Post: 6th March 2011, 23:08
    4. UwT, UvCCM na wanafunzi Ubungo Plaza kulikoni?
      By Kiroroma in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 5
      Last Post: 30th April 2010, 06:18
    5. Raisi kikwete anaozesha ubungo plaza kimyakimya!!
      By Pdidy in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 13
      Last Post: 27th August 2008, 10:17

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...