Wadau naomba mtu yoyote mwenye mawasiliano (contacts) za Hifadhi ya Saadani anisaidie, hasa simu maana nimejaribu kutafuta website yao nimeshindwa.
Asanteni
Wadau naomba mtu yoyote mwenye mawasiliano (contacts) za Hifadhi ya Saadani anisaidie, hasa simu maana nimejaribu kutafuta website yao nimeshindwa.
Asanteni
Mkuu klik ktk hii linki
http://tanzaniatouristboard.com/tour...0OPERATORS.pdf
kuna list ya tour operators na namba zao,wapigie uliza info unazotaka or else
jaribu kucheki wizara ya utalii ktk website yao
Last edited by newmzalendo; 12th May 2011 at 19:32.
Pro bono publico - For the public good
tafuta contacts za TANAPA, (google) ukipata simu yao itakuwa rahisi kuwapata Saadan
Life is too short to waste time hating anyone.........
Tembelea www.tanzaniaparks.com,hapo utapata kila kitu,
Follow Us Here