Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kuanzisha BAKERY sinza

    Report Post
    Results 1 to 19 of 19
    1. #1
      Short white's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 448
      Likes Received
      14
      Likes Given
      6

      Default Kuanzisha BAKERY sinza

      Salaams JF,

      Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya uhakika kuhusu mahitaji halisi ya hizo bidhaa ninazotaka kuingiza sokoni. Pia sijafanya utafiti kuhusu ushindani wa hii biashara. Nimeamua kuchukua RISK 100% katika kuwekeza huko kwenye bakery. Kwahiyo bado sijaelewa / sijajua kama nipo njia sahihi au nimekosea. Naomba ushauri na uelewa wenu kwenu hii biashara.

      Hadi sasa nimefanikiwa kupata vitu vifuatavyo;
      - Machines- 3 Ovens ( moja kubwa inaingiza paltes 6 na nyingine mbili ni ndogo zinaingiza plates 2 kila moja); 1 Mixer aina ya B30; Shelf; 30 Oven Plates,
      -Nimepanga Jengo na kulifanyia ukarabati kulingana na mahitaji ya kazi.
      -Nimesajili jina la biashara
      -Nimeshapata na TIN
      -Nimeshapata leseni

      Vitu vinavyohitajika kwa sasa ni;
      -Connecting service line ( electricity) kwenye jengo ambalo nimeshafanya wiring
      -TFDA authorization
      -Source of more finance
      -Hard working, knowledgeable and skilled person ( Baker) ambaye ataweza kutengeneza bidhaa mbalimbali
      -Bread slicer
      -Manager and cashier
      -Marketing and sales person
      -Distributor
      Je mnaonaje wakuu? Je nipo sahihi? Nawakilisha
      araway likes this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      newazz's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th March 2009
      Posts : 160
      Rep Power : 549
      Likes Received
      43
      Likes Given
      18

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Quote By Short white

      Upo sahihi, endapo wewe unaweza kuendelea na moyo mkuu bila , kuwa na wasiwasi , kila kitu kinawezekana kwa mwenye imani na tumaini.

    4. #3
      newazz's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th March 2009
      Posts : 160
      Rep Power : 549
      Likes Received
      43
      Likes Given
      18

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Kuna ndugu ameniomba ushauri wa kununua vifaa vya bakery.

      naomba maelekezo ya vifaa umenunua wapi ? Ni hapa nchini au umeagiza nje na je ni brand gani?

      Usiwe na wasiwasi mkuu, pengine mimi ni mshindani , la hasha, hata hivyo Dar ni kubwa, kwenye soko kila mtu ana riziki yake.

    5. #4
      mutisya mutambu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st November 2010
      Location : wa kule kwetu
      Posts : 63
      Rep Power : 442
      Likes Received
      10
      Likes Given
      8

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      hongera sana! sasa kaza mwendo kuifanya kazi kwa bidii zote,utafanikiwa tu ,usihofu wala haihitaji others approval.Mungu awe nawe.tupe jina la hiyo sehemu,tuwe wateja.

    6. #5
      Short white's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 448
      Likes Received
      14
      Likes Given
      6

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Quote By newazz
      Kuna ndugu ameniomba ushauri wa kununua vifaa vya bakery.

      naomba maelekezo ya vifaa umenunua wapi ? Ni hapa nchini au umeagiza nje na je ni brand gani?

      Usiwe na wasiwasi mkuu, pengine mimi ni mshindani , la hasha, hata hivyo Dar ni kubwa, kwenye soko kila mtu ana riziki yake.
      Newazz, vifaa vya bakery vinapatikana city center opposite na JMO building kwenye duka la BAJERYA. Bajerya ni brand name ya hizo vifaa. Ahsante kwa comments zako

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Short white's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 448
      Likes Received
      14
      Likes Given
      6

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Quote By mutisya mutambu
      hongera sana! sasa kaza mwendo kuifanya kazi kwa bidii zote,utafanikiwa tu ,usihofu wala haihitaji others approval.Mungu awe nawe.tupe jina la hiyo sehemu,tuwe wateja.
      Mutisya Mutambu, nashukuru sana kwa ushauri wako na baraka zako. Nitazifanyia kazi. Ahsante

    9. #7

    10. #8
      Washawasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2006
      Location : jo'burg
      Posts : 4,004
      Rep Power : 1454
      Likes Received
      456
      Likes Given
      891

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      hongera kaka iko siku naweza nunua brand ya mkate wako nikija,
      je? mkate wako utaitwaje.
      Last edited by Washawasha; 11th May 2011 at 02:42.

    11. #9
      LuCKNOVICH's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd January 2011
      Posts : 99
      Rep Power : 453
      Likes Received
      10
      Likes Given
      10

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Napita tu,nasubiri mchango wa Prime Dynamics
      LAT likes this.

    12. #10
      mwanawao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th August 2010
      Posts : 250
      Rep Power : 494
      Likes Received
      88
      Likes Given
      28

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Hongera sana kwa udhubutu wa kujaribu kufanya,,usiangalie kushindwa kamwe.., kuwa na mtazamo chanya wa kushinda maana yote yanawezekana, jipange vizuri, angalia wengine walio kwenye hiyo biashara wanafanyaje na ujifunze kwao, buni njia binafsi za ushindani ili uweze kupenya kwenye soko na kushindana na nao, mtangulize MUNGU akupe busara,hekima,maarifa na nguvu ya kuendelea kufanya (persistence) hata utakapofikia pagumu,,( put in mind that good idea, good plans,hardworking, perseverance and persistence will make you at the top of the ladder)

    13. Dio
      #11
      Dio's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th February 2011
      Posts : 1,216
      Rep Power : 662
      Likes Received
      121
      Likes Given
      11

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Hongera kaka kwa kudhubutu,kwani ni wachache wanaoweza kufanya hvyo.
      Ushauri:jitahdi kutangaza biashara yako,
      pia tafuta masoko kwnye maduka madogo madogo na makubwa,kwani kuna kuwa na ugumu kuingza bidhaa mpya sokoni kwasababu maduka takribani yote yanatayari mali inayofanana ya zako,
      kwahyo pitia ktk maduka kwa kuchunguza wanauziwaje bidhaa kama yako ili wewe uweze kupunguza kidogo ili bidhaa yako iweze kuingia sokoni.
      Then ujitahdi kutengeneza kitu cha tofauti na unaowakuta sokoni.
      Ntarudi tena baadae.
      LAT likes this.

    14. LAT
      #12
      LAT's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Posts : 4,526
      Rep Power : 1498
      Likes Received
      1156
      Likes Given
      1659

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Quote By Dio
      Hongera kaka kwa kudhubutu,kwani ni wachache wanaoweza kufanya hvyo.
      Ushauri:jitahdi kutangaza biashara yako,
      pia tafuta masoko kwnye maduka madogo madogo na makubwa,kwani kuna kuwa na ugumu kuingza bidhaa mpya sokoni kwasababu maduka takribani yote yanatayari mali inayofanana ya zako,
      kwahyo pitia ktk maduka kwa kuchunguza wanauziwaje bidhaa kama yako ili wewe uweze kupunguza kidogo ili bidhaa yako iweze kuingia sokoni.
      Then ujitahdi kutengeneza kitu cha tofauti na unaowakuta sokoni.
      Ntarudi tena baadae.
      huu ushauri ni wa great thinker .... naomba uuzingatie sana utafanikiwa
      "Esprit de Corps"

    15. #13
      Mary Chuwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th February 2011
      Posts : 178
      Rep Power : 452
      Likes Received
      27
      Likes Given
      25

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Short White hongera sana kwa kuamua kuwa mjasiriamali.
      Bidii na kutokata tamaa ndiyo kitu cha msingi changamoto kwako zifanye mlango wa kupata fursa pia.
      Ukiangalia bidhaa nyingi sana za kutoka Bakery,ikiwemo mikate,skonsi,keki na vinginevyo bado havijamlenga mtu wa kipato cha chini unaweza kubuni jinsi yakuwafikia hao ikiwa na pamoja kutengeza bidhaa watakazomudu,ikiwa ni kufungasha kwa kiasi fulani,mfano mfuko wa skonsi unakuwa na skonsi kumi unaweza kufanya nusu yake,
      sina uhakika na eneo ulilopo lakini hapo ulipo unaweza pia kuuza bidhaa zako kwa kufungua duka,ikiwa na pamoja watu kupata mikate,skonsi fresh.
      Chunguza ladha ya bidhaa nyingine za kutoka Bakery na watu wanapenda ladha ipi,kwani kuna watu wamepotea kwenye biashara hii kwa kuharibu ladha la bidhaa zao.
      Huu ni mtazamo wangu,nakutakia kila la kheri katika kufanikisha ndoto zako.

    16. #14
      Mkeshahoi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2009
      Posts : 2,250
      Rep Power : 982
      Likes Received
      200
      Likes Given
      783

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Quote By Short white
      Salaams JF,

      Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya uhakika kuhusu mahitaji halisi ya hizo bidhaa ninazotaka kuingiza sokoni. Pia sijafanya utafiti kuhusu ushindani wa hii biashara. Nimeamua kuchukua RISK 100% katika kuwekeza huko kwenye bakery. Kwahiyo bado sijaelewa / sijajua kama nipo njia sahihi au nimekosea. Naomba ushauri na uelewa wenu kwenu hii biashara.

      Hadi sasa nimefanikiwa kupata vitu vifuatavyo;
      - Machines- 3 Ovens ( moja kubwa inaingiza paltes 6 na nyingine mbili ni ndogo zinaingiza plates 2 kila moja); 1 Mixer aina ya B30; Shelf; 30 Oven Plates,
      -Nimepanga Jengo na kulifanyia ukarabati kulingana na mahitaji ya kazi.
      -Nimesajili jina la biashara
      -Nimeshapata na TIN
      -Nimeshapata leseni

      Vitu vinavyohitajika kwa sasa ni;
      -Connecting service line ( electricity) kwenye jengo ambalo nimeshafanya wiring
      -TFDA authorization
      -Source of more finance
      -Hard working, knowledgeable and skilled person ( Baker) ambaye ataweza kutengeneza bidhaa mbalimbali
      -Bread slicer
      -Manager and cashier
      -Marketing and sales person
      -Distributor
      Je mnaonaje wakuu? Je nipo sahihi? Nawakilisha
      You are already a business personality... why going back.. wanna be 'poor dad'?
      Hela silaha... Kisu Mzigo

    17. #15
      newmzalendo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2009
      Location : tanganyika
      Posts : 1,064
      Rep Power : 729
      Likes Received
      167
      Likes Given
      73

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Hongera kwa Kuthubutu.
      kupata baker mzuri siyo jambo rahisi,ila inawezekana kumuiba mmoja kutoka ktk bakery nyingine,hapo inabidi utembelee bakery nyingine ujue average ya mishahara ,then uanze zoezi la kupata a good baker.uichukue unemployed baker ,tafuta aliyekazini umuamishe.

      2.distribution nzuri ni via watu wa baiskeli/pikipiki.hapo ukifanikiwa kinachobaki ni smiles all the way to the bank
      Quote By Short white
      Salaams JF,

      Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya uhakika kuhusu mahitaji halisi ya hizo bidhaa ninazotaka kuingiza sokoni. Pia sijafanya utafiti kuhusu ushindani wa hii biashara. Nimeamua kuchukua RISK 100% katika kuwekeza huko kwenye bakery. Kwahiyo bado sijaelewa / sijajua kama nipo njia sahihi au nimekosea. Naomba ushauri na uelewa wenu kwenu hii biashara.

      Hadi sasa nimefanikiwa kupata vitu vifuatavyo;
      - Machines- 3 Ovens ( moja kubwa inaingiza paltes 6 na nyingine mbili ni ndogo zinaingiza plates 2 kila moja); 1 Mixer aina ya B30; Shelf; 30 Oven Plates,
      -Nimepanga Jengo na kulifanyia ukarabati kulingana na mahitaji ya kazi.
      -Nimesajili jina la biashara
      -Nimeshapata na TIN
      -Nimeshapata leseni

      Vitu vinavyohitajika kwa sasa ni;
      -Connecting service line ( electricity) kwenye jengo ambalo nimeshafanya wiring
      -TFDA authorization
      -Source of more finance
      -Hard working, knowledgeable and skilled person ( Baker) ambaye ataweza kutengeneza bidhaa mbalimbali
      -Bread slicer
      -Manager and cashier
      -Marketing and sales person
      -Distributor
      Je mnaonaje wakuu? Je nipo sahihi? Nawakilisha

    18. #16
      Twilumba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th December 2010
      Location : Kiseliani
      Posts : 1,984
      Rep Power : 839
      Likes Received
      393
      Likes Given
      64

      Good Trial Mzee, Nadhani ni mwazo mzuri sana na kikubwa hapa ni ninavyoona Jf ilivyo msaada kwa kila kitu, kwa kweli hii ni home of Great Thinker hakuna kitu una-initiate then usipate walau Mchango wa mawazo utakaosaidia kwa namna moja ama nyingine.

      My contribution:
      Fanya Utafiti wa namna unavyoweza kuongeza uimara, Decorations na ubora wa packaging Material
      Ukifanikiwa kupata Graphics designer mzuri akakusaidia ku-design ile mifuko mizuri kwa maana ya mwonekano na hata ilawa tofauti na hii iliyozoeleka Naamini itakuwa ni Moja ya bao utakalopiga.

      Ili kuwa tofauti na washindani wako unaowakuta sokoni, unaweza kuwa unaweka hata Kiasi kidogo sana (Ujazo wa Kijiko Kimoja kikubwa cha chakula) Blue band ambazo pia unaweza kuwa umeagiza special Order kwa Watengenezaji ikiwa na Logo yako then kwenye hiyo packaging ya kate unaweka hiyo Blue band yenye logo yako.
      araway likes this.
      Intellectuals solve problems, geniuses prevent them.
      Albert Einstein.

    19. #17
      newmzalendo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2009
      Location : tanganyika
      Posts : 1,064
      Rep Power : 729
      Likes Received
      167
      Likes Given
      73

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      kuna jamaa anaitwa Thomas mikate,yeye yupo DAR, anuaza mikate mingi sana kwa kutwa,ni rafiki yangu kwa uteja kwake.
      -hana brand wala Duka la mikate yeye anauzia ktk gari lake,ni suzuki mini van,kadogo hivi rangi ya blue na pia anayo nyeusi,huwa anapaki station opposite TRA offices ,jioni na pia huwa anakuwa maeneo ya posta karibu na CRDB holland house or ifm area.

      mwaka 2009 aliniambia kuwa anapata daily profit ya 140,000. na kuwa mikate yake huwa haibaki.jaribu kumtafuta atakushauri ni mtu muelewa,ila hapendi watu wa TRA(kodi etc)walishawahi kumsumbua ndio maana hana BRAND ya mikate yake,

      inasadikika kuwa bakressa wa Azam huwa ananunua mikate yake kwa matumizi yake na wajukuu zake.
      Pro bono publico - For the public good

    20. #18
      Mama Joe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th March 2009
      Posts : 601
      Rep Power : 1041
      Likes Received
      166
      Likes Given
      214

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Quote By Short white
      Salaams JF,

      Nilipata wazo la kuanzisha bakery maeneo ya sinza. Products ni ; Mikate, Maandazi na cakes aina mbalimbali. Sikuomba au kutafuta ushauri kwa mtu yeyote. Pia sijafanya research ya uhakika kuhusu mahitaji halisi ya hizo bidhaa ninazotaka kuingiza sokoni. Pia sijafanya utafiti kuhusu ushindani wa hii biashara. Nimeamua kuchukua RISK 100% katika kuwekeza huko kwenye bakery. Kwahiyo bado sijaelewa / sijajua kama nipo njia sahihi au nimekosea. Naomba ushauri na uelewa wenu kwenu hii biashara.

      Hadi sasa nimefanikiwa kupata vitu vifuatavyo;
      - Machines- 3 Ovens ( moja kubwa inaingiza paltes 6 na nyingine mbili ni ndogo zinaingiza plates 2 kila moja); 1 Mixer aina ya B30; Shelf; 30 Oven Plates,
      -Nimepanga Jengo na kulifanyia ukarabati kulingana na mahitaji ya kazi.
      -Nimesajili jina la biashara
      -Nimeshapata na TIN
      -Nimeshapata leseni

      Vitu vinavyohitajika kwa sasa ni;
      -Connecting service line ( electricity) kwenye jengo ambalo nimeshafanya wiring
      -TFDA authorization
      -Source of more finance
      -Hard working, knowledgeable and skilled person ( Baker) ambaye ataweza kutengeneza bidhaa mbalimbali
      -Bread slicer
      -Manager and cashier
      -Marketing and sales person
      -Distributor
      Je mnaonaje wakuu? Je nipo sahihi? Nawakilisha
      Ndugu wazo zuri, ila hapo kwenye red, kwanini kimoja usishike wewe kama ndio kwanza unatafuta more finance, hadi ujue ABCs ya biashara yako ndio unawaachia watu kila kitu la sivyo mmmm

    21. #19
      Dadii's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 97
      Rep Power : 450
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default Re: Kuanzisha BAKERY sinza

      Umesahau kitu kimoja mkuu, sasa nikuchapa kazi kwa nguvu zote,high supervision bila kuleta mchezo especiallly kwa vijana wakowa kazi, pesa imeshatoka inatakiwa irudu na faida sinza ni good location, watu wa sinza hawapiki bwana utawapata tu. usisahahu na kuwawekea ka cafe kwa ajri ya chai.

    22. Study Abroad

    Similar Topics

    1. GBP Sinza hapafai
      By Rejao in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 26
      Last Post: 9th August 2011, 05:44
    2. Ushauri Kuanzisha Bakery
      By Evmem in forum Business & Economic Forum
      Replies: 4
      Last Post: 30th May 2011, 12:51
    3. Masaki na Sinza
      By Nazjaz in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 9th April 2011, 05:03
    4. Replies: 2
      Last Post: 12th October 2010, 11:57
    5. Sinza -MAkaBuRINi
      By doup in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 30
      Last Post: 31st May 2010, 16:02

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...