SERIKALI ya kijiji cha Sambaru, wilayani Ikungi, mkoa wa Singida, imekuwa ikifanyia shughuli zake sehemu yoyote, kutokana na kutokuwa na ofisi.
Wagonjwa wanaolazwa Kinesi hatarini kumbukizwa malaria
March 26th, 2013 | by Stella MwaikusaWagonjwa wanaolazwa katika kituo cha afya cha Kinesi kilichopo kata ya Nyamunga wiayani Rotya, wako hatarini kuambukizwa malaria, kuytokama na kukosekana kwa vyandarua katika wodi mbili, zilizopo katika kituo hicho.
Choo cha serikali ya kijiji kinavyotisha!
March 26th, 2013 | by Kulwa MagwaCHOO cha ofisi ya serikali ya kijiji cha Magalata, wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, kiko katika hali mbaya kiasi kwamba mtu kukitumia lazima uvae ‘miwani ya mbao’.
Bunda: Lishe duni yadaiwa kuwa chanzo cha kupungukiwa damu
March 26th, 2013 | by Stella MwaikusaImeelezwa kwamba kukosekana kwa lishe bora kwa wajawazito na watoto katika wilaya ya Bunda, ni chanzo cha makundi hayo kupungukiwa damu.
Mpwapwa: Wanaochimba madini bila leseni kusakwa
March 26th, 2013 | by Kulwa MagwaWATU wanaofanya shughuli za uchimbaji na utafiti wa madini katika wilaya ya Mpwapwa bila vibali, wako hatarini kukamatwa na kufikishwa mahakamani kutokana na kukiuka sheria za nchi.
Baiskeli: Usafiri unaotegemewa na wajawazito Kyela
March 26th, 2013 | by Stella MwaikusaWajawazito wa vijiji vya Masoko na Busoka vinavyopatikana kata ya Busale wilaya ya Kyela, wamekuwa wakitumia usafiri wa baiskeli wakati wa kwenda kupima maendeleo ya ujauzito katika zahanati ya Lema, ambayo iko umbali wa km sita kutoka vijiji hivyo.
Utunzaji nyaraka za serikali katika kijiji cha Magalata
March 26th, 2013 | by Kulwa MagwaNYARAKA mbalimbali za serikali na kumbukumbu za ofisi ya kijiji cha Magalata, kilichoko katika wilaya ya Kishapu, ziko hatarini kuharibika na kulowana na maji iwapo mvua zitanyesha.
Historia ya Shule ya Msingi Nachingwea imebaki katika ‘kava’ la daftari…
March 26th, 2013 | by Mariam MkumbaruHistoria ya shule ya msingi Kiegei katika kata ya Kiegei wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi, imebaki katika kava moja tu la daftari, lakini shule hiyo inakabiliwa na uhaba wa vitabu, vitendea kazi vya kufundishia na walimu.
‘Hatuna daktari kwa miaka saba’
March 26th, 2013 | by Kulwa MagwaZAHANATI ya kijiji cha Magalata, wilayani Kishapu, imekuwa ikitoa huduma kwa miaka saba chini ya wauguzi wasaidizi wawili ambao kitaaluma hawapaswi kutibu wagonjwa.
Imani za kishirikina na kasi ya malaria Butiama
March 26th, 2013 | by Stella MwaikusaMganga mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Butiama, Joseph Musagara, amesema imani za kishirikina zimechangia ugonjwa wa malaria kuwa tishio katika wilaya hiyo.
Mpwapwa: Ushauri wa DC ulivyowakuna wananchi
March 26th, 2013 | by Kulwa MagwaBAADHI ya wakazi wa kata ya Lumuma, wilaya ya Mpwapwa, wameunga mkono na kupongeza ushauri waliopewa na Mkuu wa wilaya hiyo, Christopher Kangoye, kuhusu soko la vitunguu.


JamiiForums | Where we Dare to Talk Openly!
Join over 250,000 people following JamiiForums