LATEST ENTRIES
Belinda Habibu

Wizara ya Afya isipochukua hatua za haraka, itakuwa ni ndoto kuzuia vifo vinavyotokana na uzazi

April 11th, 2013 | by Belinda Habibu

Kilio cha upungufu wa vifaa tiba,wataalamu hawatoshi na miundo mbinu ya hospitali,kituo cha afya na zahanati kuwa mibovu ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua ;na kuwalinda watoto wasipate maambukizi ya virusi vya ukimwi wakati wanazaliwa itakuwa ndoto.

Stella Mwaikusa

Karibu Utete tuvuke na MV UTETE

April 8th, 2013 | by Stella Mwaikusa

MV Utete ni kivuko kinachopatikana  katika wilaya ya Rufiji mkoani pwani na kinafanya kazi zake  Mto rufiji, ambapo wakazi wa utete hutumia kivuko hicho kwenda ng’ambo ya pili sehemu zenye mashamba na makazi ya watu.

Joas Kaijage

Should our Presidents images reserve the sanctity they deserve?

April 8th, 2013 | by Joas Kaijage

It is half past three under the scorching sun in the afternoon and everyone feels quite exhausted. Our stomachs are crying for something to eat as we nervously look around for someplace we can at least get anything to cheat hunger.

Stella Mwaikusa

Mwanga wa tochi na chemli watumika kuzalisha wajawazito Rufiji

April 8th, 2013 | by Stella Mwaikusa

Mganga mkuu wa Zahanati ya Ndundunyikanza Dollo Victor, anasema kukosekana kwa umeme katika zahanati  hiyo kunamfanya afanye kazi katika mazingira magumu, hasa kwa wajawazito wanaofika hapo kwa ajili ya kujifungua.

Swaum Mustapher

Lack of Laboratory at Dakawa dispensary force pregnant women to do test at private health center

April 8th, 2013 | by Swaum Mustapher

DAKAWA dispensary in Mvomero district, Morogoro lacks laboratory which force pregnant women to do testing at the private centers.

A seven month pregnant woman, Ms Leah Yohana (27) said that the situation have forced to do testing at the private health centers and then return back to the...

Stella Mwaikusa

Mto Kiwila wasababisha majonzi Kyela

April 8th, 2013 | by Stella Mwaikusa

Wananchi wa vijiji vya Lema, Busoka na masoko vilivyopo kata ya Busale wilaya ya  Kyela, wamelalamikia kukosekana kwa daraja  la kuwawezesha kuvuka toka ng’ambo ya  kijiji kimoja na kingine, kutokana kuwepo kwa mahitaji ya msingi katika vijiji hivyo na vijiji vya ng’ambo...

Swaum Mustapher

Bugarama Village Pregnant Women deliver without knowing their HIV status

April 8th, 2013 | by Swaum Mustapher

THE loss of the HIV testing kit at the Bugarama dispensary, Kahama district in Shinyanga has made pregnant women to deliver without knowing whether they are infected or not.

Gordon Kalulunga

Serikali inajali thamani ya fedha kuliko damu salama

April 7th, 2013 | by Gordon Kalulunga

Thamani ya vifo vya watu vinavyotokana na kukosa damu haithaminiki. Bali thamani ya fedha za posho kwa watumishi wa kitengo cha damu salama ndiyo serikali inaona ni hasara kubwa.

Hali hiyo inajidhihilisha katika kitengo cha damu salama kanda ya nyanda za juu kusini inayounganisha mikoa mitano...

Stella Mwaikusa

Bagamoyo: Matumizi ya kondom bado ni kitendawili

April 6th, 2013 | by Stella Mwaikusa

Wakati nchi yetu ikiwa katika kampeni ya kuhamasisha  matumizi ya njia za uzazi wa mpango, bado baadhi ya wanawake wa vijiji vya Yombo na Kongo wilayani Bagamoyo, hawafahamu kama Kondom ni njia mojawapo ya kupanga uzazi.

Swaum Mustapher

Pregnant women in Dakawa village go with delivery tools during birth giving

April 5th, 2013 | by Swaum Mustapher

PREGNANT women in Dakawa village, Mvomero district Morogoro are asked to go with delivering tools at the health center during giving birth. Those delivering tools include pair of gloves, oxytocin injection, plastic carpet...

Stella Mwaikusa

Uchakavu wa majengo kero kwa wahudumu wa afya Rufiji

April 4th, 2013 | by Stella Mwaikusa

Wauguzi wa zahanati za Ndundunyikanza, Kipugira na Mtanza, zahanati zinazopatikana kata ya Kipugira wilaya ya Rufiji , wanalalamikia hali ya uchakavu wa nyumba zao, vyoo pamoja na majengo ya zahanati.