MV Utete ni kivuko kinachopatikana katika wilaya ya Rufiji mkoani pwani na kinafanya kazi zake Mto rufiji, ambapo wakazi wa utete hutumia kivuko hicho kwenda ng’ambo ya pili sehemu zenye mashamba na makazi ya watu.
Should our Presidents images reserve the sanctity they deserve?
April 8th, 2013 | by Joas KaijageIt is half past three under the scorching sun in the afternoon and everyone feels quite exhausted. Our stomachs are crying for something to eat as we nervously look around for someplace we can at least get anything to cheat hunger.
Mwanga wa tochi na chemli watumika kuzalisha wajawazito Rufiji
April 8th, 2013 | by Stella MwaikusaMganga mkuu wa Zahanati ya Ndundunyikanza Dollo Victor, anasema kukosekana kwa umeme katika zahanati hiyo kunamfanya afanye kazi katika mazingira magumu, hasa kwa wajawazito wanaofika hapo kwa ajili ya kujifungua.
Lack of Laboratory at Dakawa dispensary force pregnant women to do test at private health center
April 8th, 2013 | by Swaum MustapherDAKAWA dispensary in Mvomero district, Morogoro lacks laboratory which force pregnant women to do testing at the private centers.
A seven month pregnant woman, Ms Leah Yohana (27) said that the situation have forced to do testing at the private health centers and then return back to the...
Mto Kiwila wasababisha majonzi Kyela
April 8th, 2013 | by Stella Mwaikusa
Wananchi wa vijiji vya Lema, Busoka na masoko vilivyopo kata ya Busale wilaya ya Kyela, wamelalamikia kukosekana kwa daraja la kuwawezesha kuvuka toka ng’ambo ya kijiji kimoja na kingine, kutokana kuwepo kwa mahitaji ya msingi katika vijiji hivyo na vijiji vya ng’ambo...
Bugarama Village Pregnant Women deliver without knowing their HIV status
April 8th, 2013 | by Swaum MustapherTHE loss of the HIV testing kit at the Bugarama dispensary, Kahama district in Shinyanga has made pregnant women to deliver without knowing whether they are infected or not.
Serikali inajali thamani ya fedha kuliko damu salama
April 7th, 2013 | by Gordon KalulungaThamani ya vifo vya watu vinavyotokana na kukosa damu haithaminiki. Bali thamani ya fedha za posho kwa watumishi wa kitengo cha damu salama ndiyo serikali inaona ni hasara kubwa.
Hali hiyo inajidhihilisha katika kitengo cha damu salama kanda ya nyanda za juu kusini inayounganisha mikoa mitano...
Bagamoyo: Matumizi ya kondom bado ni kitendawili
April 6th, 2013 | by Stella MwaikusaWakati nchi yetu ikiwa katika kampeni ya kuhamasisha matumizi ya njia za uzazi wa mpango, bado baadhi ya wanawake wa vijiji vya Yombo na Kongo wilayani Bagamoyo, hawafahamu kama Kondom ni njia mojawapo ya kupanga uzazi.
Pregnant women in Dakawa village go with delivery tools during birth giving
April 5th, 2013 | by Swaum Mustapher
PREGNANT women in Dakawa village, Mvomero district Morogoro are asked to go with delivering tools at the health center during giving birth. Those delivering tools include pair of gloves, oxytocin injection, plastic carpet...
Uchakavu wa majengo kero kwa wahudumu wa afya Rufiji
April 4th, 2013 | by Stella MwaikusaWauguzi wa zahanati za Ndundunyikanza, Kipugira na Mtanza, zahanati zinazopatikana kata ya Kipugira wilaya ya Rufiji , wanalalamikia hali ya uchakavu wa nyumba zao, vyoo pamoja na majengo ya zahanati.
Dakawa Medical attendants fail to attend night roster
April 4th, 2013 | by Swaum MustapherDAKAWA medical attendants in Mvomero district, Morogoro are accused of failure to attend night emergency patients.
The pregnant women in the area have complained on the situation by saying that they more go to the mission health centers than their village dispensary.


JamiiForums | Where we Dare to Talk Openly!
Join over 250,000 people following JamiiForums