For the few lucky ones who have amassed wealth from the mining and fishery industries, the resources were a real blessing. But going by plight faced by many in the mineral and fishery rich areas, it was like the God given resources were solely reserved for those who were born with a silver spoon...
Kill me quick phenomenon and the plight of young girls in Runzewe
April 12th, 2013 | by Joas KaijageWodi za watoto, wanawake na wanaume tatizo Butiama
April 12th, 2013 | by Gordon KalulungaUKOSEFU wa miundombinu ya kutosha zikiwemo wodi za watoto, wanawake na wanaume katika hospitali ya Butiama mkoani Mara ni kieelezo tosha kuwa lengo la milenia la kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya miala mitano kufikia vifo 85 kati ya vizazi hai 100,000 Tanzania haitatekelezeka.
Wananchi wamwitaji Wasira kuokoa wajawazito
April 12th, 2013 | by Gordon KalulungaBAADHI ya wananchi wa kijiji cha Kambubu kata ya Nyamang’uta wilaya ya Bunda mkoani Mara wamemuomba waziri wa nchi uratibu wa sera na Bunge Stephen Wasira kuokoa wajawazito katika kijiji cha Kambubu kutokana na kukosa imani na kituo cha afya cha Ikizu maarufu kama Nyamuswa.
Wajawazito wanahudhuria kliniki lakini wanajifungulia nyumbani na kwa wakunga wa jadi
April 12th, 2013 | by Gordon KalulungaWajawazito wengi nchini wanahudhuria Kliniki lakini wengi hawataki kujifungulia katika vituo vya afya imebainika.
Katika hospitali ya manyamanyama wilayani Bunda mkoani Mwanza asilimia 96 ya wajawazito wanahudhulia kliniki lakini wakati wa kujifungua ni asilimia 56 tu ndiyo wanaenda kujifungulia...
Ukosefu wa miundombinu bora na vifaa tiba kielelezo cha kutotekelezeka kwa malengo ya milenia kufikia 2015
April 12th, 2013 | by Gordon KalulungaSerikali ya Tanzania haipo tayari kutekeleza malengo ya milenia yanayotaka kufikia mwaka 2015 kupunguza vifo vya mama na mtoto kufikia asilimia 75 kati ya vizazi hai 100,000.
Narration of the dying at North Mara ABG
April 12th, 2013 | by Fred Okoth
Across the cavernous pits and the mountains of waste rock, the alarm wails eerily, warning that an explosion is imminent. Dozens of villagers gather silently at the edge of a pit, past the holes that have been torn in the fence, waiting for their chance. Then comes the blast. As a plume of smoke...
Ajira za watumishi wa afya Bunda zazingatia ukabila
April 12th, 2013 | by Gordon KalulungaAFYA inatafsiliwa kuwa ni ukamilifu wa binadamu kimwili, kiakili na kijamii na kutokuwepo kwa maradhi na tafsiri hiyo ipo katika sera ya afya ya taifa ya mwaka 2007.
Disorganized gemstone market ruin government/miners revenue
April 12th, 2013 | by Fred Okoth“We only benefit the middle men who mtake this precious stones at a throw away price simply because we have got no alternative since there is no centralized gemstone market,” Japhet simon, an artisanal miner at Kalalani say.
BAUXITE NI NINI NA MATUMIZI YAKE
April 11th, 2013 | by Belinda HabibuBauxite ni mchanganyiko wa madini ya chuma na aluminium,ambayo ina rangi tofauti,unaweza kuwa njano,nyekundu,nyeupe,blue na hata kahawia. Bauxite pia inapatikana zaidi katika ukanda wa kitropic
Bwana mazingira Richard Lukwaro anasema bauxite ina matumizi mengi,kutengenezea simenti,kula kwa akina...
Tears of rape victims
April 11th, 2013 | by Fred OkothTwo women are battling emotional pain after a forceful carnal knowledge by mine security officers.
Nassarian Matayo (25) a disabled woman and Neema Mollel (19) both of Kigwasi sub-village in Kalalani village in Korogwe district are still fighting back their tears as they struggle...
Wizara ya Afya isipochukua hatua za haraka, itakuwa ni ndoto kuzuia vifo vinavyotokana na uzazi
April 11th, 2013 | by Belinda HabibuKilio cha upungufu wa vifaa tiba,wataalamu hawatoshi na miundo mbinu ya hospitali,kituo cha afya na zahanati kuwa mibovu ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua ;na kuwalinda watoto wasipate maambukizi ya virusi vya ukimwi wakati wanazaliwa itakuwa ndoto.


JamiiForums | Where we Dare to Talk Openly!
Join over 250,000 people following JamiiForums