LATEST ENTRIES

KAMATI YA UKIMWI YAVUNJWA WAKATI IPO JAMII INAISHI KWA VIRUSI VYA UKIMWI MWADUI LOHUMBO.

April 22nd, 2013 | by Belinda Habibu

Na: Belinda Habibu.
Kamati ya ukimwi iliyoundwa mwaka 2008, imekufa kwasababu ya wanachama wengi kuhitaji posho ambayo haijulikani itatoka wapi.
Hii ni kauli ya afisa mtendaji wa kijiji cha Mwadui Lohumbo,wilayani Kishapu, mkoa wa Shinyanga,Musiba Atanasi aliyesema tulihamasishwa na...

MRADI WA VIPEPEO UTAKAVYOWANUFAISHA WAKAZI WA SAME-KILIMANJARO.

April 22nd, 2013 | by Belinda Habibu

Wananchi wa wilaya ya Same wanaweza wakajikwamua na wimbi la umaskini kwa kujishughulisha na mradi wa vipepeo na kuviuza ndani na nje ya nchi.
Vipepeo wa kila aina wanapatikana kati msitu wa hifadhi wa Shengena uliopo Chome wilayani humo.
Msimamizi mkuu wa msitu wa Shengena Frank Mahenge...

MITOBOZANO NA UMWAGAJI WA MAJI KATIKA MIGODI MERERANI.

April 22nd, 2013 | by Belinda Habibu

Serikali imeweka utaratibu mzuri wa kuwatengea wachimbaji wadogo wa madini maeneo katika migodi mbalimbali ikiwemo ile ya Mererani, ili waweze nao kushiriki katika sekta hii.
Wachimbaji wafanyakazi ,wamiliki wa migodi (wachimbaji wadogo) wa migodi ya Mererani, wanachangamoto nyingi ikiwemo kukosa...

Sauti za wadau kuhusu nini kifanyike kuzuia Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI

April 22nd, 2013 | by Belinda Habibu

Vijana watarajiwa wa kike wenye umri wa miaka 12-15,katika wilaya ya Ushirombo mkoani Geita wanajihusisha na masuala ya ngono.

Sababu ya kiuchumi imetajwa kuwa ndio moja ya chanzo cha suala hili miongoni mwao ili wapate kipato cha kujikimu katika mahitaji mbalimbali ya kila siku kama kununua...

UPUNGUFU WA CHAKULA NA TATIZO LA MAJI MAGANZO.

April 22nd, 2013 | by Belinda Habibu

Kijiji cha Maganzo kimo katika kata ya songwa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga,ambacho kina wakazi wapatao 11868,wanaume 7349 na wanawake 4519.
Kijiji hiki kinakaribia kupewa hadhi ya kuwa mji mdogo lakini kinakabiliwa na changamoto kibao ikiwemo ya ukosefu wa chakula,ardhi kwa watu wake haitoshi...

JE UNAHIFAHAMU WILAYA YA KISARAWE

April 22nd, 2013 | by Belinda Habibu

Wilaya ya Kisarawe ina jumla ya wakazi 95,614 wanawake wakiwa 47,271 na wanaume ni 48,343,kwa mujibu wa sense ya mwaka 2002 ya watu na makazi.
Ongezeko la watu kwa mwaka ni sawa na asilimia 2.1,na kila kaya ina watu wasiozidi wanne,kufikia mwaka 2013 makisio ya watu ni 116,067 wanawake wakiwa...

KWAYA YA MT. CECILIA MERERANI YAJIZATITI KATIKA UINJILISHAJI KWA KUTUMIA WATOTO,VIJANA NA WAZEE.

April 22nd, 2013 | by Belinda Habibu

Kwaya ya Mt. Cecilia Mirerani ni kati ya kwaya kongwe hapa nchini iliyoanzishwa zaidi ya miaka 15 iliyopita ikiwa na wanakwaya 40 wakati huo.
Kwaya hii inapatikana katika mji mdogo wa Mererani,mkoani Manyara,ndani ya parokia ya Bikira Maria Malkia wa Rozari.
Pamoja na kwaya hii kuwepo...

Wajawazito wakosa Huduma za bure Hospitali Teule ya Wilaya ya Bunda

April 16th, 2013 | by Frank Leonard

WASTANI wa wajawazito 200 wanajifungua kila mwezi, katika hospitali teule ya wilaya ya Bunda (BDDH) pamoja na kuzikosa huduma wanazostahili kupata bure.

Kwa mujibu wa Sera ya Afya ya mwaka 2007, makundi maalum wakiwemo wazee wasiojiweza, walemavu, watoto wenye umri chini ya miaka mitano...

Vijana wajawazito wasimulia jinsi wanavyoishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi

April 15th, 2013 | by Frank Leonard

ASELA Mahanga (18) na Happy Mdalingwa (19), ni wakazi wa kijiji cha Ifunda Kibaoni wilayani Iringa, mkoani Iringa.

Wakati Februari mwaka huu, Asela alikuwa na ujauzito wa miezi minne, Happy  alikuwa na ujauzito wa miezi saba.

Wawili hawa wana hadithi za kweli zinazofanana;...

Bila kuzingatia ukweli na ushahidi wa utafiti wa ndani, serikali haitatekeleza malengo ya milenia kufikia mwaka 2015

April 15th, 2013 | by Gordon Kalulunga

AFYA inatafsiliwa kuwa ni ukamilifu wa binadamu kimwili, kiakili na kijamii na kutokuwepo kwa maradhi na tafsiri hiyo ipo katika sera ya afya ya taifa ya mwaka 2007.

Tunapozungumzia sera tunamaanisha kuwa ni tamko lenye kusudio la kufikia lengo au madhumuni maalum.

Nilipokuwa katika...

North Mara police harm, kill with license

April 14th, 2013 | by Fred Okoth

It was Sunday of September the 9th of 2012 when Mariam Chacha Samuel Magita (50) of Magoto village, a food vendor at Mrwambo and her three children; Ester Chacha (10), Baraka Chacha (7) and Daniel Chacha(4) met the ugly face of fate.