Wakazi wa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko katika kipindi hiki cha mvua, yanayosababisha na ukosefu wa maji safi na salama.
Bunda: Ukosefu wa maji safi wapelekea wananchi kutumia maji machafu ya mitaro
March 14th, 2013 | by Mariam MkumbaruWakunga wa jadi 202 wapewa elimu ya afya Bunda
March 14th, 2013 | by Gordon KalulungaWAKATI mkoani Mbeya wakunga wa jadi wakizidi kudharauliwa na kukatazwa kuzalisha wajawazito, halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imewapa mafunzo wakunga wa jadi 202 kwa ajili ya kuzalisha wajawazito wanaokwenda kujifungulia kwao.
Wajawazito watembea kilomita 16 kufuata huduma
March 13th, 2013 | by Frank LeonardWAJAWAZITO wa kijiji cha Mgowelo kilichopo kata ya Mahenge wilayani Kilolo mkoani Iringa, wanalazimika kutembea kwa miguu zaidi ya kilomita 16 hadi kijiji cha Mtandika kufuata huduma za matibabu.
‘’Hakuna anayejali vifo vya wajawazito na watoto wachanga!’’
March 12th, 2013 | by Gordon KalulungaHAKUNA anayejali kama mjamzito iwe kijijini au mjini anapotaabika na mimba yake wakati mtoto anayezaliwa ni mali ya taifa. Hakuna mtaalam wa afya anayejali kuona mjamzito anateseka na kushindwa kusukuma mtoto wakati wa kujifungua na hakuna anayejali kuona watoto wachanga hasa vijijini wanapokufa baada...
Ukame, Ukosefu wa Chakula, vinavyoleta changamoto ya afya kwa waathirika wa UKIMWI huko Mwadui – Lohumbo
March 12th, 2013 | by Belinda HabibuUkame wa muda mrefu uliyoikumba vijiji vya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ni mwiba kwa waathirika wa virusi vya UKIMWI.
Utapiamlo wakithiri Wilayani Bunda, Mara
March 12th, 2013 | by Mariam MkumbaruZaidi ya watoto 294 wapo hatarini kupoteza maisha kwa kuumwa ugonjwa wa utapiamlo katika kata ya Kibara na Kisori kwenye Jimbo la Mwibara wilaya ya Bunda mkoa wa Mara.
Kishapu: Haya ndiyo yanayowapata Wanafunzi na Walimu wa Shule ya Msingi Maghalata
March 12th, 2013 | by Belinda HabibuMto Sanga unaokatisha katika kijiji cha Maghalata kwa karibu km 13, huleta usumbufu kwa wanafunzi wanaotakiwa kuvuka wakapate elimu kwa upande wa pili ambako kuna shule.
Bunda: Sababu zinazowakimbiza wajawazito ‘Leba’ hizi hapa
March 12th, 2013 | by Mariam MkumbaruSababu kubwa inayopelekea wajawazito kujifungulia kwa mkunga wa jadi pamoja na nyumbani, ni lugha chafu za manesi, ukosefu wa vifaa tiba na madawa muhimu kwa mjamzito baada ya kujifungua.
Wasiwasi wa Maambukizi ya UKIMWI Kata ya Chome – Wilayani Same
March 12th, 2013 | by Belinda Habibu“Hakuna sehemu yenye UKIMWI katika dunia hii kama ilivyo hapa Chome.”
Ni maneno ya Anna Clement anayeona mienendo ya wakazi wa eneo hili isivyokuwa mizuri, na kwa hali hiyo, maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI yatakuwa juu.
Jinsi Malaria inavyowamaliza watoto Bunda
March 11th, 2013 | by Mariam Mkumbaru"Ilikuwa saa tatu asubuhi Mwajuma Ramadhani alianza kupata joto kali mwilini, mama yake Mwajuma akaenda duka la dawa kununua panadol akampa panadol joto likapungua baada ya saa moja, mtoto akawa anacheza vizuri alijua amepona,"alisema Winifrida Chales Mama yake Mwajuma.
Government cheats artisanal miners
March 11th, 2013 | by Fred OkothAs one traverses through the dusty road from Kalalani village bus stop to Kigwasi Juu where the mining activities take place, the mood on the faces of the villagers is apathy, deep resentment as they feel cheated by the government.


JamiiForums | Where we Dare to Talk Openly!
Join over 250,000 people following JamiiForums