Author Archive

Kilio cha msitu wa Kimboza kusikika Dar

Kilio cha msitu wa Kimboza kusikika Dar

WAKATI wananchi wa Dar es salaam wanaendelea kulalamika kuhusu upungufu mkubwa wa maji kwa matumizi ya binadamu na serikali ikinadi sera kwamba itawapatia wananchi maji ya kutosha ifikapo mwaka 2015 kwa kuboresha vyanzo vya maji, chanzo kimoja muhimu...

MKENDA kitongoji cha kihistoria

MKENDA kitongoji cha kihistoria

HUWEZI kuzungumzia historia ya Uhuru wa  Msumbiji pasipo kutaja eneo la Mkenda   lililopo Kijiji cha Nakawale Kata ya Muhukuru mkoani Ruvuma.

Eneo hilo lililopo kiasi cha  kilometa  124 kutoka Songea mjini  kwa kizazi kipya ni eneo ambalo...

Mwalimu aliyebadili maisha kwa kilimo

Mwalimu aliyebadili maisha kwa kilimo

AMESIMAMA mbele ya majengo yake na anaonesha hali ya kuridhika na maendeleo anayofanya katika ujenzi wa hoteli ya kisasa kijijini kwake.

Hoteli hiyo itaongeza kipato chake maradufu. Huu si mradi wake wa kwanza, bali ni wa tatu kwa Mwalimu Salvaus...

Mijusi aina ya GECKO hatarini kutoweka

Mijusi aina ya GECKO hatarini kutoweka

MIJUSI aina ya Gecko Williams haipatikani duniani kote, isipokuwa Kimboza kijiji cha Mwarazi wilaya ya Morogoro.

Mijusi hiyo inaweza kuonekana ya kawaida katika macho ya wengi, lakini kwa wale wanaojali mazingira na urithi wa taifa hii ni kesi...

Makumbusho ya Tanzania hayana uasili

Makumbusho ya Tanzania hayana uasili

Hili ni gogo la kihistoria ya nchi ya Msumbiji ambalo lilikuwa likitumika kwa viongozi wa nchi hiyo Eduardo  Mondrane Aliyekuwa Rais wa chama cha Frelimo na mkuu wa majeshi wa chama hicho Samora Mashel  kukaa na kujadili mbinu mbalimbali za kupambana...

Chanzo cha maji chenye madini ya chuma

Chanzo cha maji chenye madini ya chuma

Maji ya chanzo cha Lipasi yanayodaiwa kuwa na madini ya chuma, kama yanavyoonekana yanarangi ya kutu, chanzo cha Lipasi kipo katika milima ya Matogoro Songea manispaa ni miongoni mwa vyazno 9 vinavyotumiwa na SOUWASA kwaajili ya maji safi na taka katika...

Timu ya TMF ndani ya milima ya Matogoro

Timu ya TMF ndani ya milima ya Matogoro

Timu ya TMF , kutoka kushoto Mzee Ndimara , Daniel Mbega, Albano Midelo,Visencia Fuko, Latifa Ganzel pamoja na Beda Msimbe wakiwa katika chanzo cha maji cha Lipasi katika milima ya Matogoro mkoani Songea eneo ambalo waandishi wa habari ambao wako katika...

Mwalimu aliyejitoa muhanga kuishi porini

Mwalimu aliyejitoa muhanga kuishi porini

Mwalimu Salvius Nindi (40)  wa shule ya msingi  Mkenda iliopo mpakani wa Tanzania na Msumbiji akiwa katika moja  ya nyumba zake za kitalii anazojenga kwaajili ya kuboresha kipato chake.

mwalimu huyo haonyeshi masikitiko wala kusita pale alipopangiwa...

Sio binadamu, hata mbuzi ni waharibifu

Sio binadamu, hata mbuzi ni waharibifu

Katika mabonde yenye vyazno vya maji vya mto Ruvuma mbali na wananchi kupigwa marufuku shughuli za kibinadamu lakini  bado wanalima kwa kuibia, hata hata kuchunga mifugo hali ambayo inaweza kusababisha kukauka kwa maji katika vyanzo hivyo ambavyo...

Mbinu za kupata habari

Mbinu za kupata habari

Wakati mwingine inakupasa kukaa hadi katika vilabu vya pombe , unywe  hata kidogo japo hujazoea, hii inakusaidia kujua kero, matatizo na hata malalamiko ya wananchi kuliko kukaa ofisini na kusubiri kuletewa taarifa, mara nyingi unakuta taarifa sio...

Kilio toka kwa wagonga kokoto

Kilio toka kwa wagonga kokoto

Mwanamke aliyejulikana kwa jina moja Hadija akiwa na watoto wake hao, kwa sasa yeye na watoto wake wamekuwa wakijishughulisha na biashara ya kokoto ili kupata kipato kutokana na shughuli za kilimo kusitishwa katika mabonde ya milima ya Matogori wilayani...