LATEST ENTRIES

Hofu ya Usalama kwa wafanyakazi GGM Yatanda

May 15th, 2013 | by David Azaria

SIKU chache baada ya moto kuzuka ndani ya mgodi wa Geita (GGM) na kuteketeza mali zenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 25,hofu kubwa ya kupoteza maisha imeibuka kwa uongozi na wafanyakazi wa mgodi huo.

Uchunguzi umebaini kuwa baada ya kutokea kwa tukio la moto,lilitokea jaribio la mmoja...

If we can’t give people’s priorities the attention they deserve, why ask them to prioritize?

May 14th, 2013 | by Joas Kaijage

In a move intended to empower the citizens and give them mandate to decide on their own development priorities, the government adopted the decentralization policy.


One of the key values of decentralization is embedded in the development planning process. The policy allows citizens...

Halmashauri yachunguza ambulance kukodishwa kwa wagonjwa

May 12th, 2013 | by Frank Leonard

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa imeanza uchunguzi unaohusu kituo cha afya cha Idodi,  kukodisha gari lake la kubeba wagonjwa (ambulance) wakiwemo wajawazitro kwa Sh 20,000 hadi Sh 70,000.

Hivi karibuni baadhi ya wananchi wa kijiji hicho waliulalamikia utaratibu huo wakidai kwamba...

POLISI wadaiwa kumuua mfanyabiashara wa Dhahabu,wapora mamilioni ya shilingi

May 9th, 2013 | by David Azaria

HALMASHAURI ya serikali ya kijiji cha Kanembwa Runzewe wilaya ya Bukombe mkoani Geita,imelituhumu jeshi la polisi wilayani humo kujihusisha na rushwa na ujambazi kutokana na askari wake wa kituo cha Runzewe kudaiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara wa dhahabu Yemuga Fugungu(48).

Mfanyabiashara...

ZAHANATI YAFUNGWA:Wagonjwa wakosa huduma kwa siku 8

May 9th, 2013 | by David Azaria

Na David Azaria Kishapu

WANANCHI wa kijiji na kata ya Mwadui-Lohumbo wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga,wamekosa huduma ya matibabu kwa siku nane mfululizo katika zahanati ya kijiji hicho baada ya watumishi wa zahanati hiyo kusitisha huduma za utowaji wa matibabu.

Uchunguzi uliofanywa...

POLISI wageuka ‘Majambazi’

May 9th, 2013 | by David Azaria

 

POLISI wa kituo cha Mavota kilichopo ndani ya eneo la kijiji cha Mavota, wilayani Biharamulo, katika mkoa wa Kagera, wanaolinda Mgodi wa Tulawaka wanakabiliwa na tuhuma nzito.
Wananchi wanatuhumu polisi hao kupiga, kunyang’anya fedha na mali kwa wananchi wanaojipenyeza...

Serikali yafanikiwa kudhibiti utoroshaji wa Dhahabu

May 9th, 2013 | by David Azaria

Na David Azaria Geita

SERIKALI imesema imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti utoroshaji wa madini katika migodi mikubwa iliyopo hapa nchini baada ya kuweka mfumo madhubuti wa ukaguzi kwenye migodi hiyo.

Hata hivyo imekiri kwamba imekuwa na kazi ngumu kudhibiti utoroshaji wa madini...

Athari za Ukataji wa Miti katika Msitu wa Shengena…

May 3rd, 2013 | by Belinda Habibu

“Biashara ya kupasua mbao ambayo inahatarisha kumaliza msitu wa Shengena haiwezi kwisha kwa kuwa kila siku watu wanakata miti hiyo na kuuziana wenyewe kwa wenyewe.”

Ambulance ya kituo cha afya yakodishwa kwa wajawazito

May 2nd, 2013 | by Frank Leonard

UTARATIBU wa kituo cha afya cha Idodi, wilayani Iringa wa kukodisha gari lake la kubeba wagonjwa kwa kati ya Sh 20,000 na Sh 70,000 umeelezwa kuwaumiza wananchi wa kijiji cha Kitisi.

Bunda walalamikia miundombinu ya Zahanati yao

April 26th, 2013 | by Frank Leonard

WATOA huduma wa zahanati ya Bunda, wilayani Bunda mkoani Mara wameilalamikia...

Mila na desturi, kikwazo cha wanaume kushiriki afya ya uzazi Tanzania

April 25th, 2013 | by Gordon Kalulunga

MILA na desturi ni kikwazo moja wapo kinachokwamisha malengo ya milenia ya kupunguza vifo vya wajawazito na watoto chini ya miaka mitano kufikia asilimia 75 kati ya vizazi hai 100,000 ifikapo mwaka 2015.